Search results

 1. K

  Hii haikuwa hutuba ya Rais bali historia ya nchi tokea tupate Uhuru......

  Nimefuatilia hutuba ya Mh. Rais aliyoitoa leo na kufadhaishwa saana na aina hutuba aliyoitoa . Hakika hii imekuwa ni historia ya nchi yetu na sio hutuba. Nashauri atafutiwe washauri na waandaaji weredi wa hotuba za Marais...Kwa kifupi Hutuba ya Rais uzungumzia "current issues vis a vis mambo...
 2. K

  Ukistaajabu ya Musa utaona ya Bunge kuoneshwa LIVE leo bila uwepo wa wapinzani bungeni

  Nimeona kwenye mitandao mbalimbali watu wakianza kusifia serikali ya awamu hii kuruhusu bunge live kama njia moja wapo ya kusahihisha makosa yaliyokuwa yanafanywa na serikali ya "Mwendazake". Jambo ambalo pengine hao wasifiaji wanatakiwa kuelewa kama kweli "hawajatumwa" kuwa kilichosababisha...
 3. K

  Kauli ya Manara ifanyiwe kazi; kwanini Yanga & Simba hawezi shinda bila kubebwa kwa penati na kadi nyekundu kwa wapinzani wao?

  Nilikuwa naangalia mechi baina ya Yanga na Ruvu na mpira ulikuwa umebalance huku Ruvu wakimiliki mchezo vyema hadi pale referee kwa mapenzi binafsi alipoamua kuharibu mpira kwa kuwazawadia Yanga penati ya bure bila kufuata kanuni 17 za mpira wa miguu achilia mbali kumtoa nje mchezaji wa Ruvu...
 4. K

  Ni wakati sasa kuondokana na viongozi "wachuuzi wa mpira wa miguu" kwenye vilabu vyetu

  Baada ya Simba kufungwa jana na wabotswana tumeona kauli za haraka haraka kutoka kwa viongozi wa Simba kuandika mambo ambayo mimi naweza sema ni upuuzi. Kwa kuangalia comments za wapenzi wa soka wakijaribu kujaribu viongozi kwa ujinga walioandika (nimeweka baadhi hapo chini) nadhani ni wakati...
 5. K

  Yanga wagomea kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamini wa ligi NBC mechi ya KMC

  Katika mechi yao leo na KMC. Yanga wamevaa jezi isiyokuwa na nembo ya ya mdhamini tofauti na timu nyingine kama tulivyoona katika mechi nyingine zilichezwa leo. Wadau wengi wa soka tunasubiri kusikia kauli ya TFF. Kwani hili ni tukio kubwa saana kwa mustakabari wa soka letu. Kuna mtu kaniuma...
 6. K

  Video: Lalamiko la Kocha wa Yanga halijaja "gafla" limeandaliwa. FF wasiliache lipite tu

  Baadhi ya viongozi wa timu hizi kubwa hasa Simba na Yanga wamekuwa na desturi ya kutengeneza mazingira ya kuonyesha kuwa wanaonewa pale mambo yanapoanza kuwaendea kombo kwenye mashindano mbali mbali kwa lengo la kutafuta huruma ya Mashabiki wao. Huu mkakati umesadia kuleta amani ya mda ndani ya...
 7. K

  Tetesi: Sababu ya TFF kuweka viingilio juu mechi ngao ya hisani Simba vs Yanga yabainika

  kunatetesi kwamba TFF wameamua kuweka viingilio vikubwa mechi ya leo kati ya Simba na Yanga ili kukidhi matakwa ya mdhamini wa mechi ya leo ni AZAM, ambaye inasemekana ndiye aliyeshinda tenda ya kuonyesha mechi ya leo (utaratibu wa kumpata nao ulikuwa ni kuzungumkuti) kwani uligubikwa na...
 8. K

  R.I.P Zacharia Hans Poppe: Historia fupi ya Jabari lilotaka Kumpindua Mwalimu Nyerere

  Kama anavyotambulishwa, jina lake ni Zacharia Hans Poppe, ambaye alizaliwa mwaka 1956 mjini Dar es Salaam na kukulia mkoani Iringa. - Baada ya kumaliza elimu ya sekondari, Zacharia alijiunga na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambako alifikia cheo cha Kapteni - Kabla ya kuachishwa kazi na...
 9. K

  KIlichowaponza Yanga mechi dhidi ya Rivers united chabanika...

  Maandalizi hafifu ndani ya uwanja huku nguvu kubwa ikiwekwa katika kutimiza malengo ya wadhamini ambayo ni kuuuza bidhaa zao kwa kuwekeza zaidi katika njia ambazo kwao walizani zitaweza kutangaza bidhaa za Club zaidi na sio uwanjani... Vingozi wa Club Yanga kuingiliwa katika unendeshaji wa Club...
 10. K

  Yanga acheni utapeli, Mechi za Club bingwa hazitakiwi kuwa na watazamaji

  Nimeona na kusikia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii leo Club ya Yanga wakitangaza viingilio vya mechi yao ya Jumapili ili khali wakijua wazi kuna zuio kutoka CAF kwa vilabu vyoote vinavyoshiriki michuano ya CAF kutoingiza watazamaji.. Jambo la kushangaza pamoja na maagizo hayo bado...
 11. K

  Sports Arena WASAFI Redio: Kipindi kimepoteza weledi baada ya kuondoka kwa Maulid Kitenge

  Niimekuwa nikifuatilia kipindi cha michezo cha Wasafi redio baada ya kuondoka kwa Mkuu wa idara ya michezo ya WASAFI Redio Maulid wa Kitenge kutokana na mapenzi niliyokuwa nayo na Redio hiyo hasa kutokana na kuleta hamasa za kufa mtu kwa redio nyingine za zamani lakini ninachoambulia sasa ni...
 12. K

  Wimbo mpya wa SIMBA SC - Simba ni noma noma kweli....

 13. K

  Kipigo cha ZANACO chamvuruga kabisa Manara, aingia mitini na kukwepa kipindi cha redio asubuhi hii

  Leo hii Msemaji wa Club ya Yanga Ndg. Haji Manara ali maarufu Msukule au Miss Buzza alikuwa amealikwa kwenye kipindi cha joto la asubuhi kinachaandaliwa na Gerald Hando kupitia redio EfM. Mpaka sasa bado anasubiriwa na hajaonekana na kipindi kiltakiwa kuanza saa moja kamili asubuhi (1:00)...
 14. K

  Koffi Olomide ametekeleza matwakwa ya mkataba; wapenzi wa Yanga amkeni

  Nimeona kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii MISUKULE wakilalamika kuwa mwanamuziki Koffi OLomide a.k.a Papaa Ngwasuma hakuwatendea haki jana (katika tamasha la wananchi). Kuwasaidia tu ni kwamba Papaa ametekeleza matakwa ya mkataba alioingia na wenye timu yao (GSM). Yeye kama mwanamuziki...
 15. K

  Yanga Day 2021: Tamasha la Koffi Olomide kufana leo Uwanja wa Mkapa

  Tamasha la Mwanamuziki wa Kikongo lililoandaliwa a Club ya Yanga kama sehemu ya kusherekea mafanikio yao ya ligi katika msimu uliopita kwa kuweza kumaliza nafasi ya pili nyuma ya Mabingwa wa Ligi kuu SImba linatarajia kufana na kujaza wapenzi wengi wa muziki wa Kikongo. Vile vile Club ya Yanga...
 16. K

  Mwezi wa tisa utakuwa ni mwezi wa balaa na mtifuano ndani ya Club ya Yanga

  Wanakutana na Wanigeria kwenye Club bingwa Africa (1st Leg/2nd Leg) 10-12 September / 17-19 September 2021-WATATOLEWA Wanakutana na SImba Ngao ya Hisani- WATAFUNGWA Unadhani nani atakuwa wa kwanza kuchinjiwa baharini?, Kwa kuwa bado GSM anaendelea kuwa na nguvu na bado anataka kuendelea...
 17. K

  Tofauti kubwa ya dhamira baina viongozi wa Yanga na Simba ni hii hapa

  Ni kweli timu zote mbili kwa hivi sasa zinaendeshwa na wawekezaji wenye malengo binafsi zaidi tofauti na hapo awali walipokuwa pembeni wakisaidia kama wafadhili. Lakini ukifanya tathimini zaidi utagundua kuwa timu hizi mbili ambazo ni kubwa hapa nchini zina malengo tofauti kwa sasa katika...
 18. K

  Athari za TFF kutoa ruhusa klabu za Ligi Kuu Kusajili Wachezaji 12 wa kigeni

  kwa hatua hii bila shaka itauwa vipaji vya soka la vijana wetu kwani ni wazi sasa vilabu havitakuwa tena na mda wa kupoteza wa kulea vijana ili hali kuna soko tayari nje nje la vijana kutoka nje waliolelewa vizuri na wapo tayari kutoa matokeo mazuri (ikumbukwe lengo kuu la wamiliki wa vilabu...
 19. K

  #COVID19 HATARI: Hakuna Corona Tanzania linapokuja suala la mechi ya Simba na Yanga

  Nimefuatilia uhamasishaji wa mechi hizi za watani wa jadi (Ile iliyopita juzi juzi) na hii inayofanyika Jumapili hii kule Kigoma. Maswali ni mengi kuliko majibu linapokuja suala la jukumu la Serikali kupitia Wizara ya Afya/Habari na michezo/BMT/TFF kuhamasisha wananchi wajikinge na hili janga...
 20. K

  Rais Samia atangaza kupunguza kodi 1% ya makato ya Mishahara ya wafanyakazi kutoka 9% mpaka 8%..

  Asante mama
Top Bottom