Search results

 1. P

  Hivi uyu ni shetani au?

  Yani jamani nina uwezo darasani lakini nakutwa na hali ya kukata kata tamaa tu hii hali inanifanya nikiingia kwenye mitihani nakuwa napanic mf kuna mtihani nilikuwa na uwezo wa kupata 15 ya 15 lakini hadi nimejikuta nimepata 11 ya 15 nifanyeje jamani hii hali siitaki ya kukata tamaa nataka...
 2. P

  Jamani tunabishana hii rangi ni rangi gani?

  Naomba kujua hii colour maana tumebishana hatujapata majibu mwingine. Anasema kaki mwingine carrot mwingine rangi ya maziwa.
 3. P

  Which is which?

  X wangu alisema tusitafutane tukaushiane ili tusahauliane, mimi nikaamua kumute nikaona anaanza kunitumia text kwenye no ambayo siijui. Akatuma text nikamwuliza nani hakujibu na mimi sikumtafuta nikakausha jana katuma tena text hellow nikamwuliza nani akajitambulisha. Nimemmutia hadi saizi na...
 4. P

  Nifanyeje mpenzi wangu hanipi hela ya vocha ila anataka nimjibu meseji zake?

  Huyu mwanaume wangu tunasoma wote chuo jana nilimpiga kibuti kalia lia kwamba amekosa raha siku nzima kwanini yeye anachukulia mapenzi serious mimi nachukulia mzaa nimerudiananae. Amewahi kunitumia hela ya vocha siku moja tu, kila nikimwomba hela ya vocha ananiambia hana nikamuuliza mbona...
 5. P

  Nahitaji mnitie nguvu

  Kipindi hiki cha Corona kinazidi kunipa mawazo ya kukata tamaa ya kusoma na kuona tutazidi kuchelewa kumaliza nimekuwa ni mtu wa kulala tu na kuamka na kuwa na mawazo yasiyoisha 24 hrs kuhusu kusoma kwangu mbona naona kama mambo yangu hayaendi nimekuwa ni mtu wa huzuni tu naona kama kila mtu...
 6. P

  Nifanyeje

  Kuna mwanaume anaonesha kunipenda sana ila hisia zangu zinapotea kutokana na dini yake ye mwislam mi mkristu leo nimemwach anaonesha kuumia sana nifanyeje. Sent using Jamii Forums mobile app
 7. P

  Kwanini mimi nimekuwa sina furaha kama wanafunzi wengine?

  Mbona wengine wanasoma kwa furaha zote kwanini hii hali inikute mimi tu nina nini? Nilianza masomo ya kidato cha tano na cha sita kwa usajili wa private candidate nikaacha nikaona nisije nikashindwa kufaulu kutokana na muda kuwa mchache nikaamua kwenda chuo. Mwanzo nilianza kwa furaha zote...
 8. P

  Naomba kuuliza

  Hivi uyu mama mkwe ni wa aina gani ukienda nyumbani kwake ni mkarimu sana sijawahi kugombana nae niliwahi kukaa nae mwezi mmoja lakini siku nyingine nilikuwa naenda tu nakurudi pale. Nilipokwaruzana na mpenzi wangu alikuwa anasisitiza niwe mvumilivu na muda mwingine alimkemea mtoto wake kwa...
 9. P

  Tujifunze kabla hujawa kwenye ndoa usimuweke mpenzi wako openly ipo siku utajuta

  Wanawake tusiwaamini sana hawa wanaume na iwe fundisho ata kwako wewe unayesoma hii story! Nilikuwa na mahusiano na rafiki wa mpenzi wangu ambaye niliamua tu kumuacha bila sababu lakini enzi izo umri wetu ulikuwa mdogo sana age ilikuw kweny 16 hadi 17 tulipendana sana wakajua ndugu zake wakajua...
 10. P

  Naomba msaada katika hili tatizo langu la kifua na mgongo

  Kifua na mgongo vinakuwa kama vimetiwa pili pili niliwah kucheck H paylol kipimo kilikuw positive nikapewa heligo kit box mbil na lecer gelly dose zimeisha lakin sina uhafadhali na nina mawazo ya mda mrefu yasiyokoma saiz na mishipa ya shingo inauma na kichwan pia kama kunachemk nikibonyeza...
 11. P

  Unapopata changamoto za maisha uwa unachukua hatua gani?

  Ili swala langu mara nyingi naandika hapa sipati suruhisho wala sijapata ushauri mzuri naombeni mnishauri tena. Kwanini mimi nikiwa shule roho yangu inakuwa inauma sana kama inataka kunyanyuka na kuwa na uzuni sana ila mitihani nafauru sana. Mwalimu anaweza tangaza wa kwanza ana 14/15 na mi...
 12. P

  Tumezaliwa baba mmoja ila hakuna upendo kati yetu. Baba anaumia, tufanyeje?

  Tumekutana kwa baba hatupendani kila watu wanaishi kivyao. Sisi tuko wanne mama mmoja baba mmoja tunapendana wao wako wawili kwa mama yao ila inatokea tunachukiana tu ila baba anaumia sana kwa maisha tunayoishi Sent using Jamii Forums mobile app
 13. P

  Naomba msaada

  Kichwa changu baada ya kuwa na msongo wa mawazo wa mda mrefu naona kwa ndani kama kuna washa kama kizito yani hata sikielew nitumie dawa gani mwanzo hakikwepo ivyo ila sioni kama kinauma ningekunywa panadol Sent using Jamii Forums mobile app
 14. P

  Ili kurekebisha Hii elimu inayoendelea kwa mwaka huu wa Covid-19

  Itabidi shule za secondary na vyuo kutokuwa na likizo yani tukianza kusoma ni kusoma tu ili kubalance muda unaopotea. Sent using Jamii Forums mobile app
 15. P

  Naomba ufafanuzi katika hili la kusoma Diploma

  Hivi ukiwa na cheti cha chuo chochote level ngazi ya cheti ukitaka kwenda diploma unaweza somea course yoyote ukiachana na ulosoma?
 16. P

  Mwenye duka la dawa naomba kazi

  Mimi ni mwanamke nina fani mbili uhasibu na nimesoma addo pia uhasibu level ya cheti. Nina uzoefu wa miaka mitatu kwenye uuzaji wa dawa za binadamu yeyote yule atakaenihitaji ani PM. Sent using Jamii Forums mobile app
 17. P

  Naomba ushauri naumwa kuanzia shingoni hadi kifuani

  Hii hali bado inaendelea kunisumbua kuanzia shingoni hadi kifuani panauma shingoni panakuwa kama pamejibana au kama mtu ameniviriga kamba kifua kuwaka moto na mgongo kuwaka moto pia na hii yote imesababishwa na msongo wa mawazo wa muda mrefu nina last chance ya kusoma maana nilishachezea nafasi...
 18. P

  Hivi huyu ex wangu bado ananipenda au!!?

  Anasema anajutia na anajilaumu kuachana na mimi ila kwasababu isha be openly to everybody let it be kwamba tusirudiane ila anaumia kuachana na mimi na anasema tusitafutane tusije tukarudiana tena.mana tunavyoendelea kuongea hisia zake zinarudi tena kwangu ila ana mwanamke mwingine tayari. Sent...
 19. P

  Anaeweza kunicansel nikapata tena hamu ya kusoma

  Nahitaji canseling kwa yeyote anayeweza. Sent using Jamii Forums mobile app
 20. P

  Panic attack

  Naomba kujuzwa hii homa inatokana na nini na anaeafectiwa anakuaje na ataponaje. Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom