Search results

 1. R

  Vijana wa bodaboda tuache mchezo na usalama wa Rais

  Bodaboda,Bajaj,toyo ni janga la taifa.
 2. R

  Kama nia ni kupambana na ugaidi, kwanini watuhumiwa wa Uamsho wako nje kisha anashikiliwa Mbowe?

  Uamsho walishikiliwa tu,hata kesi yao haikuzungumzwa miaka yote ile ni kuwanyima haki.
 3. R

  Rais Samia Suluhu Hassan: Hii ni Serikali ya Awamu ya 6

  Hata Zanzibar tangu mapinduzi ni miaka hamsini na Saba, lakini kuna Rais wa awamu ya name. Rais Abeid Karume,Abdu Jumbe,Ali Hassan Mwinyi,Idriss Abdul Wakil,Salmin Amour Juma,Ali Mohamed Shein na Hussein Ally Mwinyi
 4. R

  Wakazi wa Temeke tunaimba tujengewe barabara kama za wilaya ya Kinondoni

  Mheshimiwa Raia alitoa fedha kila be jimbo za ukarabati wa barabaz za mitaani na hasa kata ya mbagala ukitoa barabara za mradi wa dmdp,kuna hata ndogo tuliziorodhesha kwa matendo kata mbagala kuwapa tarura hadi leo kimya!!!
 5. R

  Sehemu zilizo na wazawa kuendelea ni ngumu

  Hata kigamboni kulikua na wazawa,mbona kumebadilika? Kubwa ni fulsa na wakati tu.
 6. R

  Barabara Mbadala Kilwa Road

  Ipo ramani ya barabara kutoka nyuma ya polisi mbagala maturubai, mangaya ambayo sasa imejengwa kwa lami, kupitia mtaa wa Serenge transfomer,kuvusha bonde hadi mashine ya maji mtoni chini,unakutana na barabara ya mtoni Azimio kwenda buza.Hilo jukumu la Tanroads
 7. R

  Yupo wapi Angela Kairuki?

  Mfizigo kama sio mfuatiliaji wa muundo wa serikali kupitia vyombo vya habari,basi utawauliza mawaziri wengi ambao hawakurudi katika nafasi zao.
 8. R

  Wizara ya Elimu kutotoa vyeti vya kumaliza elimu ya msingi na sekondari kulikoni?

  Sio kuombwa tu kazini , lakini pia kuna fursa mbali mbali, vijana wanapatiwa kwa kutambulika kama alisoma na kuhitimu shule husika
 9. R

  Wizara ya Elimu kutotoa vyeti vya kumaliza elimu ya msingi na sekondari kulikoni?

  No kweli zakazaka,ila wamesema maganda yanatoka wizarani yakiwa empty,yanapelekwa mashuleni na yanajazwa huko na picha ya muhusika inabandikwa juu na inagongwa muhuri wa shule.ila wizara wanatoa na picha ya mwanafunzi ikiwa imeskaniwa kabisa wameanza 2019,sasa swali langu hawa wa kipindi Hilo...
 10. R

  Wizara ya Elimu kutotoa vyeti vya kumaliza elimu ya msingi na sekondari kulikoni?

  Habari za leo wadau wa jamii forum,wanafunzi waliomaliza shule za msingi na sekondari mwaka 2014 hadi 2018 wizara haikutoa vyeti vya kumaliza elimu (leaving certificate),jambo ambalo kwa maoni yangu serikali haikuwatendea haki vijana hao,kwani kuna fursa nyingi wanazikosa kwani barua za...
 11. R

  Historia ya soko kuu la Kariakoo

  Huo mwaka wa ujenzi hata mm naona sio sawa,nakumbuka mwaka uliojengwa soko Hilo kwa muonekano wa sasa no huo 1974 -1975 na kampuni ya Mecco na lilifunguliwa rasmi na Mwalim Julius Nyerere, na eneo lililowekwa mahema ya shughuli hiyo ni upande wa magharibi mwa soko kwenye lango kuu la...
 12. R

  Samia Suluhu Hassan atambulike Kwa nafasi yake "Rais" na sio jinsia "Mama"

  Mimi naona hakuna ukakasi kumuita Mama!!,hicho katika kiswahili tuweza sema,ni'kisifa', au waingereza huita Madam!!! ni neno linaloashiria Heshima.
 13. R

  Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

  Robinson hakuna udhaifu wowote ,kumbuka Hayati JPM alimuamini mama hata akampendekeza yeye kuwa mgombea mwenza mara mbili,wacha mama yetu apige kazi!!!
 14. R

  Huenda Kesho ni sikukuu ya Idd je, mitandaoni na mtaani patakuwa shwari kama sasa hivi?

  Radio sauti ya quraan ambayo ni ya bakwata wametangaza muda huu kuwa kesho wanatimiza siku ya 30,hivyo sikukuu ijumaa.
 15. R

  Yaliyojiri msiba wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif

  Pole sana, wewe ulitaka wazike wiki ijayo, ili iundwe kamati ya mazishi, kamati ya mashada, kamati ya nguo za maiti, kamati ya sanduku la kuzikia, kamati ya chakula pilau, wali mweupe, kamati ya usafiri, kamati ya kwaya mapambio, kamati ya usafiri, utasubiri sana!!
 16. R

  Rais Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki, barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana

  Aje aone,kata mbagala, uwanja umenunuliwa kwa pesa nyingi, ijengwe sekondari ya kata, hadi leo kizungu mkuti, wataalam wanasema hapafai kujengwa shule eneo hilo,manispaa Temeke waliponunua hawakujua hilo.!!!
 17. R

  CUF: Vikwazo vya Marekani na Uingereza dhidi ya Tanzania

  Asante kwa kutukumbusha kuwa bado mpo!!
Top Bottom