Search results

 1. S

  Masheikh kurundikwa Magereza bila kufunguliwa kesi Mahakamani nchini Tanzania, nini hatma yake?

  Sio tu masheikh wa uamsho ambao walikamatwa na SMZ na kuletwa Tanganyika kuendelea na mashitaka yao ya ugaidi lakini Serikali ya awamu ya tano ilivyoingia madarakani kesi zote zikasimamishwa na hakuna tena kupelekwa mahakamani isipokua ni mateso ya hali ya juu ambayo huwezi kuamini ukiambiwa...
 2. S

  Uhusiano kati ya Tanzania na Kenya kulikoni?

  Habari wakuu, Kwa kweli mafahali wanapopigana nyasi huumia. Ni ukweli usiojificha Tanzania na Kenya Hatuna uhusiano mzuri wa kidiplomasia na unazidi kutetereka. Athari zake tunazipata Sisi wananchi haswa Wakulima wa mpunga na mahindi. Wakuu, tujue kila magunia matatu ya mpunga au mahindi...
 3. S

  Maalim Seif you need to know the Question before trying to answer it

  Mzee wangu Seif Sharif Hamad Unahitaji kujua swali kwanza kabla ya kujaribu kujibu, maana ukisha jua swali linauliza nini basi utakua umepata nusu ya Jibu. Vinginevyo kila siku tutakua tunakuoneni mkidhalilika ndani ya nchi yenu Kumbuka mafundisho ya kiislamu yanayosema '' 'MTU MUUMIN HAWEZI...
 4. S

  Uchaguzi 2020 Watanzania wanamuunga mkono Lissu ni kwa sababu ya sera?

  Mamilioni ya Watanzania wake kwa waume, vijana kwa wazee, masikini na matajiri wametokea kumpenda na kuonyesha hadharani ni jinsi gani wanavyomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Tundu Lissu. Nini haswa siri ya mafanikio? Kwa sababu ya sera zake nzuri na ahadi zinazotekelezeka...
Top Bottom