Search results

 1. P

  Uongo wa Masoud Othman waumbuliwa. Kadanganya taifa kwamba "+259" ndiyo "Code" ya Zanzibar na "+255" ni ya Tanganyika wakati sivyo

  Mkuu, Pambana na aliyeandika hiyo makala gazetini na siyo mimi niliyevutiwa nayo. Bahati nzuri contact zake kaonyesha.
 2. P

  Uongo wa Masoud Othman waumbuliwa. Kadanganya taifa kwamba "+259" ndiyo "Code" ya Zanzibar na "+255" ni ya Tanganyika wakati sivyo

  TITLE: UKWELI KUHUSU NAMBA YA SIMU YA KIMATAIFA "+259" ANALYST: JOSEPH MAGATA Cell: +255 75 4710684 PUBLICATION: RAIA MWEMA, pg. 12 Juni 8, mwaka huu Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Masoud Othman Masoud alitoa hotuba ambayo sehemu ninayoinukuu anasema, "Kwenye serikali hiihii ambayo...
 3. P

  Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

  Hoja siyo ku criticise. Hoja ni kwamba jamaa humu wametoa maelezo yanayoeleweka hadi tusioelewa tumeelewa. Mimi mmojawapo sikuwa naelewa lakini niliposoma thread hii nimeelewa. Tabu ni baadhi yenu kama wewe mmeng'ang'ania kilichomo kichwani na ambacho ni wrong. Kwanza waliotuelewesha hadi...
 4. P

  Corona: Vita ya kiuchumi Tanzania dhidi ya nani?

  Magobe, Hivi upo. Ulipotea siku nyingi.
 5. P

  Askofu Severine Niwemugizi: Kukosekana kwa taarifa na takwimu za kuaminika kuhusu hali ya Korona kuna hasara zaidi kuliko faida

  Ndiyo hivyohivyo. Niwemugizi ksongea kiroho. Halafu mapunguwani wanakimbilia kidunia. Pia usidhani utaratibu wa kumteua kardinali ni sawa na rais kumteua waziri.
 6. P

  Askofu Severine Niwemugizi: Kukosekana kwa taarifa na takwimu za kuaminika kuhusu hali ya Korona kuna hasara zaidi kuliko faida

  Watakatifu mashahidi wa Uganda walipewa utakatifu kwa kusuguana na watawala. Kigezo cha ujasiri katika kanisa katoliki ni kukemea viongozi wanaojidhani wameshindikana kama akina Hitler, Napoleon, Gorbechov.
 7. P

  Askofu Severine Niwemugizi: Kukosekana kwa taarifa na takwimu za kuaminika kuhusu hali ya Korona kuna hasara zaidi kuliko faida

  Usidhani kila mtu ni mbumbumbu kama MATAGA wenzako. Muda wa miaka sita wa NiweMugizi uliisha. Halafu upumbavu wako unadhani ukardinali unarithiwa.
 8. P

  Wizara ya elimu boresheni mtaala elimu ya msingi

  Kwani mahakamani ni mahali pa waliosomea sheria au ni mahali pa mimi na wewe kupata haki?
 9. P

  Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

  Hajawahi kuomba fadhira yoyote toka serikalini. Kama ni ile ndege ni JPM alijipendekeza mwenyewe kuipeleka. Kanisa lisingekosa ndege ya kumsafirisha toka Moshi hadi Dar. Vilevile jiulize kwa nini alianguka wakati jajawahi kuugua hivyo maishani mwake.
 10. P

  Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

  Fuata ulichoagizwa na kanisa. Kama huwezi toka katika Kanisa Katoliki jiunge na Dini iliyoanzishwa na Serikali.
 11. P

  Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

  Nani anasumbuliwa. Si ni wewe usiyetaka ukweli anaousema Askofu.
 12. P

  Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

  Askofu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi wa jimbo Katoliki la D'Salaam ametoa hotuba nzito akiwa kanisani kuonya kuhusu corona. Kasema kanisani kwamba corona ipo na watu wanaangamia kwa corona. Kasema mengi na ninaamini mmeiona. Lakini hiyo mliyoiona imekatwa sehemu kadhaa. Kwa mfano kuna sehemu...
 13. P

  TANZIA Mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe afariki dunia

  President of Zanzibar is at far right of the picture
 14. P

  TANZIA Mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe afariki dunia

  Willy Ladislaus Mbuga ni mwandishi wa habari aliyepoga picha maarufu ya Rais Nyerere akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar. Leo amefariki dunia. Tukio hili la kuchanganya udongo wengi huliona tu kwenye picha ile. Kosa kubwa nchini ni kudhani tukio lile lilitokea siku ya muungani yaani...
Top Bottom