Search results

 1. N

  Orodha ya ndoto karibia zote na maana yake

  Wakuu kuota umetokewa na jini ambalo limekuja mfumo wa binadamu yaani mwanamke akiwa na watoto watatu wamenitokea chooni wakati natoka mlangoni na alikua anataka hela na nikampatia hela ya noti akanirudishia chenchi, na tukaongoza kuondoka na kupiga story na kuelekea nisipokumbuka,hi ina...
 2. N

  Ajira kizungumkuti, watu 120,000 wawania nafasi 9,675 zilizotangazwa na Serikali

  Wakala wa vipimo walitangaza nafac 55 waliitwa kwenye interview walikua 955 just imagin uhaba uliopo na hapo kutakua na nafac za watu 10 labda wa viongozi,zibaki 45 ndo mpambanie,daah
 3. N

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Mwamba umeongea fact ya maana sana,sex co kwamba ndo Kila kitu ishu kupata mtu ambae iternal hisia zinaendana before sex and everything,kiukwel unahitaj kua na akil ya ziada kutambua hili unalolizungumzia coz ni wachache sana wanawake wanaojal utu wao kama sio kutoa papuch ili waonekane wanaenda...
 4. N

  Pete ya uchumba ipoje?

  Unamvisha Pete ya hela ndefu 1.2m alaf washenz wanapiga tackel zao kazaa wife anawah kukupikia na amevaa bado Pete,hapo ndo utajua hujui,mi nakumbuka nilinunua Pete ya uchumba ya elf 10000 na box ya Pete ikakamilika 15000maisha yakaenda fresh,all in all acha kutumia gharama zisizo za msingi,kama...
 5. N

  House4Rent Nyumba ya vyumba viwili na Sebule inapangishwa

  Kuna jamaa yangu anatafta chumba dable iwe kimara kama unajua mahali vipo nikuunganishe hata kama Ni nyumba yenye vyumba viwil seble na jiko,
 6. N

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Story ya kibabe unasoma lakin unahisibumeshikiwa bastola,arachuga stor zenu mnaandika kibabe,all in all imeeleweka tatzo umeuza mechi alafu huyo ulompasua ni mke wangu subiria busha la elf 3000
 7. N

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Ulimpa max ngap?Ila umeniacha mbal cjawah elewa maana ya bj na hj ,msaada plz naonaga watu wanasema ivo ila cfaham ina maanisha nin!all in all mapenz raha sana
 8. N

  Wakuu naomba kujua usahihi Wa hili jambo

  Wrong,kwani kabla ya kuungana si ilikua Tanganyika na Zanzibar so wameungana nchi mbili so kwa uelew wangu ni lazma ikishakua muuungano means ni watu wawili au zaidi so ni jamuhuri ya muungano wa watu wa Tanzania means( Zanzbar na Tanganyka)
 9. N

  Wakuu naomba kujua usahihi Wa hili jambo

  Mbona huweki mzee,Ila uhalisia ni jamuhuri ya muungano wa tanzania
 10. N

  Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

  Hapa tunduma naona Kila kitu hakifanyi kazi ,mitandao you're kasoro jf ila na yenyewe ipo slow sana
 11. N

  Yajue Majina Ya Ukoo Katika Makabila Mbalimbali Tanzania

  Kina kondo ni watu wa wap? No ukoo gani
 12. N

  Kaenda Night Club na mkewe kaishia kugongewa humo humo

  Apandacho mtu ndo huvuna,amepata alichostahil,ushauri wa bure tuu,kama unakunywa pombe na upo na mke wako sehemu za starehe hakikisha wewe kama mwanaume hunywi kulewa, lkn pia hakikisha unakaa sehem yenye nafasi ikiwezekana mkae kwa meza yenu wenyewe na oia uwe umeandaa mazi gira ya usafiri kama...
 13. N

  From nowhere nimetumiwa na mke wangu hii text

  Inaeza kuwa real kakukumbuka bt asilimia 90 za akili yangu inaonesha utamaduni wa kutumiwa text za hivo haupo so labda kakosea alikua anatuma kwa mabaharia,all in all don't trust hawa viumbe mwamini kwa asilimia 2 kati ya 100,kingine mapenzi ya mbali sio mazuri hasa kama huyo ni mkeo na una ndoa...
 14. N

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Jamani mi naomba kurudishwa taarif 4 nanunua umeme wa elf tano unit 14msaada tafadhal mnibadilishie,matumiz yangu mi ni madogo sana cna jiko la umeme ,nna friji tv redio bac naombeni msaada,nliwahi pia tuma ujumbe hapa lkin cjawai jibiwa
 15. N

  Je, ni kweli mtoto mchanga kitovu kikikatika kikaangukia kwenye uume hatoweza kusimamisha?

  Hii ishu ina ukwel ndani yake kwa mujibu wa wazee wa zaman,ila kisayansi haina uthibitisho,binafsi nliwahi sikia mtoto wa kiume ile 1200 haiamki inalala kwa mwanaume ila mwanamke anakua hawezi kuzaa mpaka ashiriki tendo na baba yake vile vile kwa mwanaume mpaka ashiri na mzaz wake,sasa hapa...
 16. N

  Ulichotegemea ndicho ulichokikuta ndani ya ndoa yako?

  Kiukweli maisha ya ndoa ni vaisi vesa, unategemea furaha ukiwa nje ukioa au kuolewa furaha ni uamue iwepo, ukubali kudhalilika, ukabali kejeli hasa kama pesa imeyumba, lakini yote yanawezekana. Niliwahi mfungulia mke wangu biashara ya m15 mi nikabaki natafuta vibarua vya kawaida, dharau zilianza...
 17. N

  Ushauri wa kiafya jinsi ya kuishi na mpenzi mwenye UKIMWI na kuanzisha familia

  Wajuvi wa mambo waje, hili swala nahic ni kupata ushaur zaidi kwa madokta, naamin pia wapo wengi wakusaidie kwa mim ambaye can taaluma ya udokta naezq kwambia uoe, wapo wengi ambao tunatoka nao lakn hawajatuambukiza mungu ametuepusha, Zaid yataka moyo, nawasilisha!
 18. N

  Wale ambao hatutaoa kamwe tujadili namna ya kuhudumiwa uzeeni

  Sawa mkuu,mkikomaa nyie kwenye ndo mtatuwakulisha,mi najiandaa kuvua gwanda
Top Bottom