Search results

 1. M

  Kwa hili JK unatutania!

  Mmmmmmmmmhhh MARK MANJI??HUYU SI MDOGO WAKE YUSSUF MANJI??INAONEKANA HAWA MANJI'S HATARI SANA KWENYE SWALA LA MILO...HAYAA JK TUKUACHIE NA MANJ ZAKO
 2. M

  Serikali na Hatima ya ATCL

  THERE IS NO DOUBT THIS YR CHRISTMASS HASS BEEN UNPLEASANT TO ATCL WORKERS AND THEIR FAMILIES..IN VIEW OF BITTING DOUBLE -DIGIT INFLATION,THE POOR WORKERS WILL FIND THIS FESTIVE TOO LONG TO BEAR SUPRISINGLY ,TH AIRLINES OBVIOUS SHUTDOWN HAS RESULTED IN FINGER POINTING WITH EACH BLAMEING THE...
 3. M

  Merry Christmas and Happy New Year to you all

  Merry xmass mgonja,nsalimie wote huko keko cheers merry xmass n happynew yr hakimu mwankenja kila la kheri wote tunatumaini yote ni mapenzi ya mungu kusherehekea huko ooooooooohhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh jf members 2
 4. M

  Serikali na Hatima ya ATCL

  Tuhuma za wafanyakazi atcl zifanyiwe kazi haraka sana -------------------------------------------------------------------------------- Tuhuma za wafanyakazi ATCL zifanyiwe kazi haraka Basil Msongo Daily News; Sunday,December 14, 2008 @09:42 Najivunia kuwa Mtanzania, naipenda nchi...
 5. M

  albino akikuibia SIMU kariakoo utamkimbiza??madhara yake unajua???

  Tutangaze hali ya hatari mauaji ya albino Faraja Mgwabati Daily News; Sunday,December 14, 2008 @20:03 VITENDO vya mauaji ya albino nchini kwa imani za kishirikina, vimevuka mipaka na kulifanya jambo hilo siyo tena la kubembelezana, bali nguvu inahitajika kutumika kuondoa aibu hii...
 6. M

  Benzi la Daniel Arap Moi lililoibwa Kenya lakamatwa Arusha

  Benzi la Daniel Arap Moi lililoibwa Kenya lakamatwa Arusha Na Hemed Kivuyo,Arusha WIZI wa magari katika ukanda wa Afrika Mashariki, sasa umekithiri baada ya wezi kuiba gari aina ya Mercedes Benz linalomilikiwa na rais mstaafu wa Kenya, Daniel Arap Moi. Kuibwa kwa gari hilo ni moja ya...
 7. M

  Mu-Iraqi Amrushia Bush Viatu Hadharani!!!!

  Mwandishi amrushia Rais Bush viatu akwepa mara mbili
 8. M

  Hee!!!MGONJA KULIA X-MASS KEKO!!YALAAH!!

  Jamani si angemlaza tu mpaka january 2..aone mwaka mpya unakuwaje akiwa keko!!!!!mhhhhhhhhhhhhhhh sijui nani atalia newyr keko!!! Keko keko weeeeeeeeee keko mbona unatupenda hivyo hata ubagui jamani nimeamini kweli jela haina mwenyewe
 9. M

  Hee!!!MGONJA KULIA X-MASS KEKO!!YALAAH!!

  *Mwingine aongezwa katika orodha ya ufisadi wa EPA Na Nora Damian Mahakama ya Kisutu Jumatatu yalikuwa eneo la pilikapilika kwa mara nyingine baada ya aliyekuwa katibu mkuu wa Wizara ya Fedha na Uchumi, Gray Mgonja kupandishwa kizimbani akituhumiwa kutumia vibaya ofisi na kuisababishia...
 10. M

  albino akikuibia SIMU kariakoo utamkimbiza??madhara yake unajua???

  Mi nadhani watu watanza kukuwashia moto wewe kabla ya kujibu alikuwa anataka mkono wangu!!!
 11. M

  albino akikuibia SIMU kariakoo utamkimbiza??madhara yake unajua???

  ndugu wenzangu ni hali ya kusikitisha sana inayowzukia hawa ndugu zetu albino's...imefika sasa hata watoto albino's ukiwakuta wanavuka barabarani ukawafwata kuwasaidia wanakimbia kama mwewe........ inasikitisha sana JK kutokuwa makini na hili..nimekaa nikafikiria wote ni binadamu na tuna hisia...
 12. M

  Serikali na Hatima ya ATCL

  mimi bado nawashangaa hawa ndugu zetu wa TCAA...how come rubani anatoka shulen ana masaa 250 tu anakuja moja kwa moja kurusha ndeege yenye abiria 150...je mnalijua hili endapo PILOT AKIZIDIWA hamna kitu tena...tunaokota ..........***** ???
 13. M

  Serikali na Hatima ya ATCL

  -------------------------------------------------------------------------------- Je hayo magari yatatolewa lini??na aliehusika kuyaleta na kushindwakuyatoa aliwajibika??? kuna fununu kuna baadhi ya waliohusika katika kuleta magari haya ama kwa kwenda kuyaangalia ama kusaini kati ya moja ya...
 14. M

  Serikali na Hatima ya ATCL

  KULETA MARUBANI WASIO NA RATES ndugu mwenyekiti..kumekuwa na malalamiko ya ajabu ajabu huko kwenye kampuni yako!!!kuhusu hawa marubani wa kizungu mnaowaleta..labda kwa taarifa yako tu kuna kampuni inaitwa easyway...kampuni hii imekuwa ikiwafanyia trainning wanafunzi wanaotoka fresh from school...
 15. M

  Serikali na Hatima ya ATCL

  AJIRA MBOVU swala la ajira nahisi si la kuongelea sana maana hata wewe umehusika kuna baadhi ya watu walikuja kwako ukawaelekeza waende kumuona dav na hivi sasa wamejazana matokeo yake ..umejaza watu ambao si qualified kwa minajili ya kujuana na uswahiba...mwisho unafikia kulalamika hmna pesa...
 16. M

  Serikali na Hatima ya ATCL

  Nimesoma gazeti la leo likanikumbusha mbali sana kuna maswali nilikuwa naulizwa nikiwa darasa la tano na saba majibu ni....MUSTAPHA NYANGANYI leo hii kwa bahati mbaya naskitika kupingana na yule yule mabae kwa wakti huo niliona bila kujaza jina lake ningefeli masomo darasani na si mwingine...
 17. M

  ATCL: Another Richmond!

  Mpita Njia has no status. JF Senior & Premium Member Join Date: Mon Mar 2008 Posts: 1,385 Rep Power: 23 Thanks: 436 Thanked 988 Times in 516 Posts Credits: 123,689 Re: Tcaa ichunguzwe upya-atcl scandle...
 18. M

  Serikali na Hatima ya ATCL

  Mambo yatakuwa mazuri muda si mrefu how?????? toka mwaka 47.... kifanisi inabidi uelezee kivipi kama unalalamika huna hela na ndio sababu je unaenda kupata hela ama???tatizo moja ndugu zanguni hasa nyie waandishi wa habari nakumbuka hata mzee wangu alishwahi kuwaambia hili pindi nikiwa...
 19. M

  Serikali na Hatima ya ATCL

  Is a politician as ussual!!!!kama atoach siasa zake za mitaani za kila siku hilo shirika hata sioni litaishia wapi!!!!!tatizo moja amezidi kuweka uswahiba kila sehemu esp sehemu za milo..kama mnakumbuka yeye ndie alieforce matatizo ya mahujaji!!alipoambiwa haiwezekani akasema inawezekana akala...
 20. M

  ATCL: Another Richmond!

  Tuhuma za wafanyakazi ATCL zifanyiwe kazi haraka Basil Msongo Daily News; Sunday,December 14, 2008 @09:42 Najivunia kuwa Mtanzania, naipenda nchi yangu, wakati wowote nipo tayari kuitetea sifa ya nchi hii na kamwe sitamuonea haya ye yote aliye kikwazo cha maendeleo ya Tanzania aidha kwa...
Top Bottom