Search results

 1. S

  Ajali mbaya Handeni, basi la Burudani limeua 12

  R.I.P na haihai kwa majeruhi wote pamoja wana Korogwe kwa ujumla maana huo ni mcba wetu sote
 2. S

  Leo Wakuu ni Kufunguka Kuhusu Wahaya Unavyowajua!

  kweli hapo umedhihirisha jina lako Mkuu
 3. S

  Tido Mhando awa bosi Al-Jazeera Kiswahili!

  ama kweli Mungu am2pi mja wake!! Hongera sana Tido
 4. S

  Natafuta girl friend mjamzito

  kwani utamani nguvu ya mwenzako? tafuta lako shamba nawe uonyeshe uhodari wako
 5. S

  Tufundishane Ujasiriamali

  ukweli hii mada imenivutia sana wandugu, kwani mimi binafsi ninataka kuwa mjasiliamali bt cjui wapi pa kuanzia hivyo nadhani hiyo elimu itatusaidia sana endapo itapata nafasi hapa jamvini na mada mbali mbali zikatolewa na wawezeshaji.
 6. S

  Matokeo kidato cha nne 2009

  jamani naombe msaada mbona cpati matokeo!!!!
 7. S

  Kambi ya Jeshi uraiani ni kosa

  ukweli ni kwamba nasi pia tulitamani kuishi mjin lakini bahati mbaya kulikuwa kumekwishaa jaa na hata ukikipata kiwanja uwezo wa kukinunua inakuwa ni ishu kwa hela zetu za madafu ndio maana tukakimbilia huko maana enzi hizo kulikuwa ni porini hiyo ilikuwa ni 2001 na kulikuwa hakuna vurugu za...
 8. S

  Maisha Plus Tv Show ya Masoud Kipanya

  inaonekana nyinyi cyo wafuatiliaji makin wa MAISHA PLUS, bro Masoud walisema mapema sana na wala hawajakulupuka katika maamuzi yale !!
 9. S

  Biashara hii ihalalishwe ??

  biashara hii ni tatizo kubwa sanaaa katika jamii, maana huzalisha yatima wengi sana siku hadi siku. Ombi langu ni kutolewa kwa elimu kwa wanaume juu ya athari zake kwa maana wao ndio wahusika wakuu.
 10. S

  Je, Felix Mrema ni kichwa ngumu kiasi hiki?

  Inawezekana ikiwa ni hivyo ila ukweli utabaki pale pale kwamba katika hilo alimnyima haki yake ya msingi Mkewe (Milcah) maana alitakiwa kumjulisha katika maamuzi hayo kutokana na nafasi yake katika hilo.
 11. S

  Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

  Mm furaha yangu itakamilika endapo Sheria ikachukua mkondo wake wa kweli kwa hawa waheshimiwa na cyo kwa mchezo wa kuigiza. Nitapenda wapate adhabu inayo wastahili kutokana na uzembe wao kazini, na wasipate mwanya wa kukwepa kuvaa magwanda ya magereza.
 12. S

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  kwa upande wangu mm sioni ulazima wa ishu hiyo kwani pande zote mbili zimekiri kwamba ni ajali ya kawaidia kwahiyo hata iweje haiwezi kubadilisha ukweli wa mwanzo ili hali wao wenyewe familia wamekwisha tuthibitishia hivyo!!! itakayo baki ni historia tu na ushindi kwa wale waliokusudia hilo
 13. S

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  jamani wana JF nimepitia kona zote juu ya hii ishu lkn bado nina pata wasi wasi mbona cjaona post yoyote iliyotoka kwa JMUSHI au ndio niamini kwamba DEUS MALLYA ni JMUSHI?
 14. S

  Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

  Mmh!! inaonekana ni utata matatani
 15. S

  Amatus Liyumba: Balaa!

  Wana-CCM poleni ''KATIBU WA CCM MKOA WA MBEYA AMEFARIKI DUNIA '' Na yeye sijui kama wadada watasalimika japokuwa yeye alikuwa haongi gari nyekundu.
 16. S

  So you think you are important?

  hisia zako nahisi ni dume!! kwani MMkj ni m2 wa wa2 sana hana hizo sifa hata kidogo labda km ni muwe waaarabu wa pemba mwajuana kwa vilemba
 17. S

  So you think you are important?

  wapo wengine wanajitambua mama bila hata kuambiwa sababu wana jiona kwamba wao wapo tofauti na wengine
 18. S

  So you think you are important?

  Mmh!! nikweli
 19. S

  Maajabu haya Wasabato Wenye Imani Kali

  hawa watu inawezekana watakuwa ni waasi wa wasabato!! kwa maana WASABATO halisia ni watu makini sana cdhani kama wanaweza kufanya ujinga wa aina hii hata kiduchu
 20. S

  Friday the 13th - Ni kesho nini?

  jamani ninaomba nifafanulieni vizuri nini kinaendelea juu ya hii tarehe? maana nimezaliwa tarehe hii !! msaada kwenye tuta wajameni ung'eng'e kwangu haupandi kabisa
Top Bottom