Search results

 1. Annah simbeye

  House4Sale Jengo linauzwa Mlamleni Pwani

  Nipe no yako hatuwez shindwana
 2. Annah simbeye

  House4Sale Jengo linauzwa Mlamleni Pwani

  Jengo linauzwa lipo mlamleni pwan lipo karibu na shule na hospital pia lipo barabaran ni eneo lenye watu wengi
 3. Annah simbeye

  House4Sale Jengo linauzwa Mlamleni Pwani

  Jengo linauzwa lipo Mlamleni pwan lilianza kujengwa kwa ajili ya frem jengo lipo karibu na shule na hospital ni barabaran na ni eneo lenye watu wengi.
 4. Annah simbeye

  Natafuta ajira, elimu yangu ni kidato cha sita

  Habari waja Jamii Forums mimi ni binti wa miaka 22 natafuta kazi yoyote elimu yangu ni form six pia nimesoma pharmaceutical science mwaka wa pili nilishndwa kumaliza kutokana na kukosa ada. Naomba umnisaidie kupata kazi yoyote itakayonisaidia kujikim kimaisha na baadae nirudi kumalizia elimu yangu.
 5. Annah simbeye

  Natafuta kazi, nimesoma pharmaceutical science

  Mimi ni bint wa miaka 21 natafuta ajira nimesoma pharmaceutical science miaka miwili ila mwaka wa pili semester ya mwisho nimeshindwa kufanya mtihani kwa kukosa Ada. Natafuta ajira yoyote.
Top Bottom