Search results

 1. Mshawa

  28 Sept Ni siku ya Kichaa cha Mbwa/Paka duniani (World Rabies Day)

  Leo ni siku maalum kwa ajili ya kumbukumbu ya siku ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa/Paka duniani. Ni siku pekee tunakumbushwa kuhakikisha tunautokomeza ugonjwa huu unao adhiri mbwa/paka na binadamu kwa kuhakikisha unawapatia mbwa/Paka wako chanjo ya kuzuia kichaa cha mbwa. Sambamba na hilo mpatie...
 2. Mshawa

  Biashara ya ngozi na mazao yake hapa Tanzania na ngambo

  Wasalaam wana Jf, Ndugu zangu nina ombi kwenu hasa kwa anayefahamu uwepo ama (Viability) ya hii biashara ya ngozi, nimehamasika sana kusindika ngozi ikiwa ni njia moja wapo ya kuiongezea dhamani ngozi za wanyama kama ngombe, mbuzi, n.k ila sina mwongozo ama uelewa wowote wa wapi nitapata soko...
 3. Mshawa

  The fate of Aging on Human Body....

  One of the myths of aging is that intelligence diminishes with age. Early studies that used intelligence tests designed for children revealed that older people scored lower than young adults. However, these tests relied heavily on skills commonly used in school classrooms, such as...
 4. Mshawa

  Idara ya kilimo/mifugo manispaa ya Temeke wezi..

  Idara hii yenye wafanyakazi zaidi ya 80, haina tija yoyote kwa walipa kodi wa nchi hii, hasa wa manispaa ya Temeke kutokana na kukosekana kwa uadilifu katika matumizi ya fedha za uma, ufanisi mbovu wa kazi, elimu duni ya wagani, kujuana kwingi, watendaji duni... TAMISEMI iimulike hii idara...
 5. Mshawa

  wakuu msaada kuhusu pc tafadhali....

  ni notebook, nilibadili window juzi na kuweka ultimate, nimeitumia bila tatizo kwa siku 2. sasa tangu asubuhi nikiiwasha unakuja ujumbe usemao bootmgr is compressed press ctrl+alt+del to restart. nimefanya hivyo bila mafanikio, je naweza kutatuaje hili tatizo? regards....
 6. Mshawa

  Hivi kuna umuhimu gani wa kuvaa pete ya ndoa kidoleni muda wote?

  Tokea utotoni hadi sasa sijawahi kuvaa hata saa ya mkononi, ukiachilia cheni za shingoni, naona kama tabu, sasa tabu imekuja kuwa hii pete ya ndoa, nataka kuitoa kwa kuwa nahisi ni kama foreign body kwenye mwili wangu (irritant object) na mke wangu hataki niivue, je kuna ulazima wowote wa...
 7. Mshawa

  Anahitajika mtaalam wa Animals breeding

  Mahala pa kazi ni hapa Tanzania, mshahara wa kuanzia ni 2 million, pamoja na usafiri na malazi, awe na driving licence, awe pia na uzoefu wa miaka 2 katika kazi hiyo, awe na at least B. sc animals breeding na kuendelea...
 8. Mshawa

  Chademaaa.... KAMATA MWIZI MEEEN...!!

  Ukiacha kauli mbiu ya Peoples poweeeerrr tumepata kauli mbiu mpya kutoka kwa mch. Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini.... na wezi wenyewe wa kukamata ni ccm, Chademaaa..... Kamata mwizi meeeeeeeeeen....
 9. Mshawa

  Vodacom M~pesa unreliable network

  Nilikua nauamini na kuutegemea mtandao huu wa vodacom m~pesa ila kwa siku hizi 2 umenifanya nikose imani na wamenisababishia usumbufu ambao sijui nani atanilipa nimehamisha fedha kwenda kwa wakala imepita saa 1 sasa hazijafika tatizo network to hell...aarrrgghh
 10. Mshawa

  Mapaja na hips artificial

  Kuna suruali za kike zimeingia mitaani ambazo zina vaccum (nafasi) ambapo baada ya kuvaliwa na ku~pump hujaa na kumwongezea mwili, (hips, mapaja) yake hivyo wakwere wa wa wanawake wakae sawa....
 11. Mshawa

  Tbs, Tfda, na Tume ya Ushindani vyombo vyote hivi vya nini??...

  Nimekua nikijiuliza bila majibu juu ya umuhimu, na uwepo wa vyombo vyote hivi hapa Tanzania, Ni kwa nini serikali isiwe na chombo kimoja kati ya Tbs(Tanzania Bureau of Standards) Tfda(Tanzania Food and Drugs Authority) na Tume ya Taifa ya ushindani katika shughuli hizi za VIWANGO na UBORA...
 12. Mshawa

  Farasi 4 wanahitajika...

  Wawe na umri wa miaka 3 hadi 3.5, wale wa rangi ya brown, madume ambao hawajahasiwa wawili, na majike ambayo yana uzazi mawili, wakiwa wamepewa mafunzo na wazuri zaidi, wawe wanapatikana hapahapa Tanzania na recodi zao za matibabu ziwepo, ikiwa unafahamu, ama kujua mahali wanapouzwa na bei...
 13. Mshawa

  Farasi 4 wanahitajika...

  Wawe na umri wa miaka 3 hadi 3.5, wale wa rangi ya brown, wakiwa wamepewa mafunzo watafaa zaidi, ikiwa unao ama unajua wanapoweza kupatikana hapahapa Tanzania tafadhali nijulishe, kwa pm bei, na namna ya kuwapata, Best regards.
 14. Mshawa

  Natafuta mwanamke moja hapa mzaliwa wa marangu wa kuwowaa!

  Nipo SERIOUS, umri wangu ni miaka 28, nina elimu ya form 4, ni mwajiriwa serikalini, nahitaji aliye na umri usiozidi miaka 28, na awe amehitimu 4m 4 na kuendelea, dini yoyote, pls asiwe mfupi, wala mweusi. <br /> Nawasilisha.
Top Bottom