Search results

 1. Mkikuyu- Akili timamu

  Tanzania register trade surplus with kenya

  Congrats Tanzania, the foundation of wisdom by hayati mwalimu nyerere and sacrifices by John pombe Magufuli to impliment mwalimu's vision is now brearing Fruits!! On the shoulders of these 2 great Giants stands mama samia suluhu, who is steadfastly implementing JPM's industrialization agenda
 2. Mkikuyu- Akili timamu

  Mademu wakali na baa nzuri Nairobi

  Boss, unaishi nairobi gani? Jonny walker na jameson za kariobangi zimejaa top clubs za tao. Ama wewe ni mgeni mjini?
 3. Mkikuyu- Akili timamu

  Larry Madowo gets Promoted to International Correspondent months after joining CNN

  Yaani hadi leo bado jamaa ameajiriwa? eti yeye hungojea payslip 🤣 🤣 🤣 Heri Sk macharia(citizen tv kenya) ama diamond (wasafi) This is just a slave pthooo! wacha nikae na ukikuyu wangu, mbeca ni kuoya kuoya
 4. Mkikuyu- Akili timamu

  Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

  Diamond hajui Kidhungu, japo anajitahidi sana..Wenye wanampiga ni wivu tuu..mwezi Jana nilikuwa Congo DRC kinshaha lingala ilipaa kwa klabu, Bongo za Simba wa Africa mashariki zilinitoa huzuni ya kwetu kiambuu..nikaona nipo tu nyumbani
 5. Mkikuyu- Akili timamu

  Inside revolutionary Kenyan-made water buses

  Kumbe ni boti..Endeni muone zile za azam
 6. Mkikuyu- Akili timamu

  Nairobi kaa kado jionee dogo wa Dar walivyo Bobea kwa Technologia!

  Duuh, Kuna sura nyingine ya Dar ambayo hatuonyeshwi hadharani..Dogo hapa wamejituma kwa Technologia kinyama.. Walivyo wa siri hawa wenzetu wa bongo, hatujui kama dogo wao wanaunda vifaa vya nuclear! Tena sikiza Ki- English chao wanavyo kitoa na pua..Aisee!
 7. Mkikuyu- Akili timamu

  Japanese working in kenya will no longer pay Taxes..Meanwhile more taxes added on kenyans

  Rasmi sasa: Ukoloni mambo Leo..Nchi ya kijinga
 8. Mkikuyu- Akili timamu

  BBI process declared unconstitutional by high court

  BBI is a very good document for Kenyatta's Robot voters and Raila's Cows. BBI clearly defines the likes of you as slaves so that you don't have misplaced ideas that you are citizens in country owned by Mzungus and 3 Big families. BBI lazima itapita mpende msipende, loans will not repay...
 9. Mkikuyu- Akili timamu

  Duh! Hivi mtakuwa mnamhujumu Rais Samia au vipi, shughuli zikwame siku tano bandarini!

  Hivi Hamna madawa ya wanaougua ukimwi kisa shirika lenu la KEMSA limepigwa pin na wafadhili wa marekani sababu ya ufisadi lakini bado MNA roho ya kutia pua kwa mambo ya nchi nyingine.. Aisee, watu wajipee shughuli bana
 10. Mkikuyu- Akili timamu

  Mama Samia Suluhu karibu Nairobi, kweli umedhamiria kurekebisha

  Fantastic, Tanzania welcomes investors..let them come, employ Tanzanians, pay taxes an buy tz made goods to build their factories/ offices
 11. Mkikuyu- Akili timamu

  Kenya yapiga hela ndefu kutokana na mauzo ya zao la parachichi, mlitucheka sana tulipoanza kupambana

  Kwetu Muranga, mostly kangema, kahuro, kiharu and kigumo...sinili kwambia wewe rasta naweza kuajiri kama shamba boy wangu 🤣 🤣 🤣 🤣
 12. Mkikuyu- Akili timamu

  Illegally imported maize from Tanzania impounded in Kuria West

  Hasara kwa mkenya aliye ingiza mahindi, njaa kwa wazungu feki wa kibera
 13. Mkikuyu- Akili timamu

  Uganda -Tanzania Oil Pipeline is still in the dark

  Uko serious? Uchimbe mafuta kwa Bei hiyo yote alafu uuze below market rate nyumbani?
 14. Mkikuyu- Akili timamu

  Agriculture: Kenya vs Tanzania

  Thīndīgua in Gīkūyū..Pronounced as 'Thendegua' and written as so for the benefit of non Nyūmba ya Mūmbi people...Any questions?
 15. Mkikuyu- Akili timamu

  Uganda -Tanzania Oil Pipeline is still in the dark

  Wakenya wajinga sana, Kwa hizo pesa zenu mingi si mkopeshe Total mchukue riba na malipo ya mkopo miaka 20? Badala ya kuona fursa nyie Matajiri mnakuja huku na vijembe, Taarabu na vinginevyo
 16. Mkikuyu- Akili timamu

  Nairobi watu wanaishi kama mbwa

  Eti curfew ni ya kuzuia COVID, Sasa ona misongamano kama ngo'mbe zikiingia Cattle dip...Mijasho, kupumuliana, ute kila mahali. Nchi ya kishetani
 17. Mkikuyu- Akili timamu

  Nairobi watu wanaishi kama mbwa

  Hii ni nchi ya aina gani?
 18. Mkikuyu- Akili timamu

  KPA starts moving Equipment from Mombasa port to Lamu port

  Halafu uweke mzigo lamu halafu? Eti watu wa nchi zingine wakujie? Hehehe kwani hamjui ETA is king of shipping business? Jaribuni hio biashara muone
Top Bottom