Search results

 1. Tanki

  Wapi nitapata Dinamo ya kutoa 12Volt kwa hapa Dar ( Msaada tutani )

  Wakuu, husikeni na kichwa Cha hii thread. Mkinipa Bei zake ntashukuru zaida
 2. Tanki

  Mafundi umeme wa magari someni hapa jamani

  Nina Altonator ya gari. Kwenye hii Altonator Kuna haya maandishi. NISANI 23100 70N 12 V. Sasa, Nikaichukua Altonator Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye bolt na Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye body ya Altonator. Kisha ule waya wa bolt nikafunga Kwenye terminal ya chanya ya betri. Then ule wa...
 3. Tanki

  Ndugu zangu naombeni msaada kuhusiana na skrill

  Juzi juzi tu hapa nilifungua account. Baada tu ya kuifungua nikadeposit pesa USD 10 na cent 50. Ni kama elfu 24 hivi. Hiyo hela niliideposit kutoka kwenye mastar card ya M-PESA. Hela ikaingia na nikaiona kabisa balance USD 10.50 Nia yangu nilikuwa nataka deposit tena kutoka skrill kwenda kwa...
 4. Tanki

  MSAADA, Ñahitaji power invetor

  Wakuu habari zeunu. Kijana wenu nahitaji invetor NDOGO kabisa maana nataka kutumia kwa ajili ya laptop tu. Ubavu wangu ni Elfu 30 cash niko nayo hapa. Naweza kuja kuifuata popote kwa hapa Dar. Mawasiliano 0769616581
 5. Tanki

  Msaada wakuu hii simu ina mapepo au?

  Wakuu habari za muda huu. ninan shida hapa kwenye hiisimu yangu ambayo ni tecno W3. Hii simu sasa hivi nikiiweka tu betri inajiwasha yenyewe kabla hata sijaiwasha. Na ikijiwasha inaandika tu neno tecno arafu inaganda hivyo hivyo baada sekunde kama kumi hivi inajizima na kujiwasha tena...
 6. Tanki

  Msaada jamani: Euro truck simulator 2 inanigomea

  Wakuu, msaada kwenye tuta. Hapo mwanzo hii game Euro truck simulator 2 nilikuwa naicheza vizuri kabisa kwenye hii laptop yangu ya Lenovo T420 Core i5. Nimeicheza kwa miezi kadhaa hadi now. Sasa juzi nilikuwa napunguza punguza vitu ili kupata space. Baada ya hapo ndo shida nadhani ikaanza...
 7. Tanki

  Hii Adobe photoshop CS6 mbona inanichanganya wakuu

  Wakuu, nina adobe photoshop CS6. Hii ina size ya MB 73 tu. Inafanya kazi vema tu. Niliidownload kutoka kwa muhindi fulani huko Youtube. Sasa nikitafuta adobe nyingine naona ipo yenye size ya GB 1 na ushee hivi. Sasa naomba kuuliza, hii yangu ya MB 73 ni feki au tofauti na hii yenye size kubwa ni...
 8. Tanki

  kwakweli nimekwama! msaada kwenye tuta wakuu.

  Habari za muda huu wakuu, Wale wakuu wa kudownload huku na kule bila shaka watakuwa wanaijua website ya www.1337X. Humu kuna apps nazihitaji. Ila tatizo ni kwamba nashindwa kudownload. Nimedownlosd Uttorrent version 3.5.5 but kwenye site ya 1337x kwenye download si natakiwa kuchagua torrent...
 9. Tanki

  Naomba msaada kuhusu hii software

  Wakuu habari, Natumia pc ya miaka ya nyuma hivi, ni Lenovo T420 Core i5, Ram 4GB HDD 320 Graphic card 3000 Nimedownload software ya Blender ila inakataa ku-run inaniambia graphic card haikudhi. Nilichoamua kufanya ni kutafuta blender ya miaka ya nyuma nyuma. Nikaipata Blender Version ya 2.60...
 10. Tanki

  Namna gani unaweza kuongeza fake follower kwenye Instagram (10k, 20k na kuendelea)

  Wakuu, Zipo app nyingi tu za kuongeza followers, zingine kuongeza likes. Ila kwa bahati mbaya nyingi zinazingua. Je, ni app gani ya kwenye simu au hata software ya pc ambayo naweza kuitumia kuongeza followers hata 5k, 10k? n.k Naomba kuwasilisha wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
 11. Tanki

  Hii laptop inaweza kufanya 3D animation?

  Wakuu, natumia Lenovo T420 Core i5, HDD 320, Ram 4 GB. Graphic card 3000. Je, naweza kufanya 3D animation? Kama naweza je ni app/ software gani itaweza run kwenye hii pc? Na kama siwezi je kwanini na unashauri nini nifanye ili niiwezeshe iweze kufanya 3D animation?? Na je vipi kuhusu 2D...
 12. Tanki

  Msaada jamani, Nahitaji link ya kudownload FL STUDIO 12 Cracked

  Wakuu, nimezurura sana mtandaoni kupata Fl studio iliyo cracked. Naambulia kupata demo tu. Naombeni msaada wazee. Au hata muungwana mmoja akinipa Activation Key zake nitashukuru Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Tanki

  Msaada jamani. Nakosa raha na hii Laptop aina ya Lenovo Thinkpad T420 (Core i5)

  Habari zenu ndugu zangu. Naomba niende direct kwenye mada. Ila kwanza nimeweka picha hapo za kuonyesha specification za hii laptop yangu ya LENOVO THINKPAD T420 (Core i5) Historia fupi, hii laptop ilikuwa ikitumika ofisini kwetu kwa muda wa miaka kadhaa. Ilikuwa ni kwa shughuli za kiofisi tu...
 14. Tanki

  MSAADA: Je, hizi specifications za hii laptop itaweza kweli ku-run hizi program (Software)

  Wakuu habari za muda huu. Nimeweka picha za specifications za hii Laptop. Naomba kujua, je Software zifuatazo zita-run kwenye hii pc. Blender Euro truck simulator 2 Adobe illustrator Adobe aftet effects Sent using Jamii Forums mobile app
 15. Tanki

  Je, wewe ni mfanyabiashara?, Kama jibu NDIO basi hii inakuhusu

  Karibu, ( Chini nimekuwekea baadhi tu ya picha ili uone. ) Ok, kwanza naomba nikuambie wewe mfanya biashara kwamba katika dunia hii ya leo ya utandawazi BIASHARA NI MATANGAZO. Pengine unaweza ukawa unaona biashara yako haiendi vile utakavyo wakati una bidhaa nzuri sana na zenye ubora. Jaribu...
 16. Tanki

  FURSA nchini COMORO: Mfanya biashara, soma hapa

  Huenda unafanya biashara na raia wa Comoro au ulijaribu ila ukakutana na changamoto za hapa na pale. Au pengine ulikuwa unatamani kufanya biashara aidha kuuza au kununua bidhaa kutoka Comoro. Kuwa na amani, suluhisho limepatikana. Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro na ubalozi wa Comoro nchini...
 17. Tanki

  Wajasiliamali wanawake waliopo Dar es salaam hii inawahusu

  ( Kwa WAJASILIAMALI WANAWAKE waishio Dar es salaam ) 10 women,6 months coaching inaletwa kwenu na kampuni ya Yellow heels consulting ( Kampuni mahususi kwaajili ya kukuza na kubadili biashara za Wanawake tu. Ikiongozwa na Grolia ( The boss lady ) Je, wewe ni mwanamke mpambanaji??? Kama jibu ni...
 18. Tanki

  Pendeza, kuwa smart kwa vitu ORIGINAL 2019

  Haya sasa, mzigo mpya umeingia. Hereni, mikufu, cheni, pete Original kutoka nchini Ufaransa ( Paris ). Havipauki wala hazichubuki. Bei: Reja reja Elfu 10. Bei ya jumla Elfu 8 Pia zipo za rejareja Elfu 5 na jumla ni Elfu 3 na mia tano. Pia tunazo saa ORIGINAL kabisa aina zote. Za kiume na za...
 19. Tanki

  ( Picha ) Mwanajamiiforum unayependa kuwa smart basi hii inakuhusu.

  *TANGAZO..[emoji350]..TANGAZO* Mwana jamiifurums, unakaribishwa kupendeza kwa vitu Original kwenye duka liitwalo[emoji116] [emoji707]&[emoji713] JEWELRY lililopo paleeee.... maeneo ya Kariakoo - Mtaa wa Tandamti. Vitu kama Saa za kiume na za kike, mikufu, pete, vidani, cheni hapa ndo nyumbani...
Top Bottom