Search results

 1. AKILI TATU

  Msaada jinsi ya kuweka blog banner ambayo ni responsive

  Wanabodi habari, naomba kufahamishwa namna ya kuset blog ads banner katika mfumo wa responsive maana Kila nikiweka kwenye simu muonekano wake unakuwa mbaya ..ni code Gani nafaa kuweka..!? Pia naomba msaada wa kujua namna ya kuset slide ads banner kwenye blog...yani natengeneza vipi haya...
 2. AKILI TATU

  Msaada wa lodge au motel karibu na Ubungo terminal

  Wandugu..natazamia kupata ugeni hivi karibuni..msaada mwenye kujua affordable lodge au motel karibu na Ubungo bus terminal ..nimesearch google sijaona affordable . Rent ianzie 20-35
 3. AKILI TATU

  Msemaji wa zamani wa Simba Asha Muhaji amefariki dunia

  Aliyekuwa msemaji wa Simba miaka ya 2010-12 Asha Muhaji ametangulia mbele ya haki mchana huu. mungu amrehemu Asha Muhaji enzi za uhai wake ====== Dar es Salaam. Aliyekuwa afisa habari wa Simba SC na mwandishi wa habari za michezo, Asha Muhaji amefariki dunia mchana wa leo, Jumatano. Asha...
 4. AKILI TATU

  Facebook Instant Articles for Blogspot(msaada mwenye kuijua)

  Wadau niaje..naomba mwenye kujua Facebook Instant Articles namna ya kujiunga kupitia blogspot maana Mimi najaribu inakwamia.kwenye RSS feed
 5. AKILI TATU

  Yanayofanyika Zanzibar kwanini yanashindikana Tanzania bara?

  Wanabodi habari, kuna msemo mnyonge mnmyongeni haki yake mpeni Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kushirikiana na mfuko wa hifadhi Zanzibar wanaboresha makazi ya raia wa hali ya chini kabisa huko fukweni Zanzibar. Wanachokifanya wanaingia mikataba na wakazi wa maeneo hayo, mkataba...
 6. AKILI TATU

  Senegal vs Tanzania Live streaming Link

  Kwa msiokuwa na Azam TV na DSTV link ya kuangalia live streaming hii hapo chini SENEGAL vs TANZANIA |Live Streaming Link
 7. AKILI TATU

  Tanzania vs Zimbabwe | Live Streaming Link

  Jameni linki hii hapo kwa mabo hamuna Azam TV ..nasikia pia kumbe haitaonyeshwa Azam TV\ So link hii hapo chini kwa live streaming Tanzania vs Zimbabwe | Live Streaming Link
 8. AKILI TATU

  Liverpool vs Tottenham | Live Streaming Link

  Kwa tusiokuwa na DSTV walla pesa ya vibanda umiza link ya leo kutazama mechi hii hapo chini Liverpool vs Tottenham | Live Streaming Link
 9. AKILI TATU

  Kodi zetu zinatafunwaa vilivyo, Makonda atatoa zawadi ya Mil 10

  Wadau kama kichwa kisemavyo..napatwa ukakasi kutafakari juu ya hali ya ghafla ya mahaba na ukaribu anaojaribu kuuonyesha Mkuu wa Mkoa was DSM na goli kipa wa Simba Aishi Manula.. Alianza kumsifia (japo kusifia sio dhambi) baada ya mechi na TP Mazembe Congo ambapo DAB alisema kiwango cha Manula...
 10. AKILI TATU

  Chelsea vs Arsenal live streaming link

  Wazee kwa ambao hatua DSTV ..Star time tucheki zetu fainal kupitia link hiyo hapo chini Chelsea vs Arsenal | Live Streaming Link
 11. AKILI TATU

  Man City vs Watford live streaming link

  Kwa akina sie tusiokuwa na DSTV wala muda wa kwenda vibanda umiza..nimekutana na link hiyo hapo kwa ajili ya Live streaming karibuni tucheki football Man City vs Watford | Live Streaming Link
 12. AKILI TATU

  Liverpool vs Wolverhampton Live streaming Link

  Link Hii hapo kwa tusiokuwa na DSTV Liverpool vs Wolverhamton | Live streaming Link
 13. AKILI TATU

  Leicester City vs Chelsea live streaming Link

  Kwa tusiokuwa na DSTV tutazame game hapa kwa pamoja Leicester City Vs Chelsea | Live Streaming Link
 14. AKILI TATU

  Mashabiki wa Liverpool walipoweka mtu kati Manara leo

  Jamaa kakamatika na wenye mji aisee
 15. AKILI TATU

  Jipime IQ yako tujue kama wewe ni kichwaaa au jibichwaa

  Link hii hapo mie nimeshajipima nimejigundua.... http://www.brainmetrix.com/free-iq-test/
 16. AKILI TATU

  Valencia vs Arsenal Live Streaming Link

  Kwa mashabiki wa Arsenal msiokuwa na DSTV link yenu ya Live Streaming Hii hapo VALENCIA vs ARSENAL | Live Streaming Link
 17. AKILI TATU

  Chelsea vs Frankfurt Live streaming Link

  Kwa tusiokuwa na DSTV link ya Live Streming hii hapo chini CHELSEA vs FRANKFURT |Live Streaming Link
 18. AKILI TATU

  Tanzania imetajwa kwenye Ligi ya Seria A ya ITALI

  Wadau ...nimesikia Jina Tanzania yetu limetajwa kwenye matangazo ya ligi ya Italia ya Seria A ..Wametaja Tanzania sijuiii niii niii hukoo..yani nimeskia Tanzania kabisaa yaniii....tunazidi kupaa jameni...
 19. AKILI TATU

  Kikwete azidi kupasua anga; huyu hapa Afrika Kusini

  Mzee wa akili za kuambiwa,,huyooooo chiiiiiiiiiii
 20. AKILI TATU

  Ajax va Tottenham live streaming link

  Wandugu tusio kuwa na DSTV link ya kutazama live streaming hiyo hapo AJAX vs Tottenham | Live Streaming
Top Bottom