Search results

 1. Marco Exavery

  LICENSE KEY

  Natafuta key za grammarly
 2. Marco Exavery

  Jinsi ya kufanya rooting ya Tecno K7

  nimefuata maelekezo naona naletwa hapa , whats wrong
 3. Marco Exavery

  Jinsi ya kufanya rooting ya Tecno K7

  Habari wadau, Nimejaribu kufanya rooting ya tecno K7 lkn anaona inafeli. Naombeni msaada nifanye nn au nitumie app ipi maana simu yangu imekuwa kero kwan kila wakati application zinastop responding hadi inakuwa kero.
 4. Marco Exavery

  Tatizo la Mirija ya Uzazi kuziba: Changamoto na tiba yake

  zipi hizo dawa mbili plz msaada wako ikiwezekana naomba contact yako
 5. Marco Exavery

  Vidonda vya homa ya usiku katika mdomo(lip) wa juu.

  29 Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Marco Exavery

  Vidonda vya homa ya usiku katika mdomo(lip) wa juu.

  29 Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Marco Exavery

  Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

  Wekeni Channel ya DW ktk vingamuzi vya anntena
 8. Marco Exavery

  How to unlock Vodafone 785?

  naomba mimi code ya vodafone v785 imei 359729059231846 svn240HPG1
 9. Marco Exavery

  Mafua mazito.

  Habari, Ndg mimi nimesumbuliwa na mafua sana nilikuwa na mafua makali nikatumia dawa top plus yakapungua lakini nikashangaa badaa ya siku kadhaa nikawa natoa makamasi mazito kwenye pua la kushoto tena makamasi yenye rangi ya kijani yenye harufu kali some time yamechukua muda sasa like 3 weeks ...
 10. Marco Exavery

  Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

  Kwan kasema hataki mimba huenda anatafuta mimba
 11. Marco Exavery

  DTV air channel

  Je hizo kadi zinaweza kupatikana bil king'amuzi??
 12. Marco Exavery

  DTV air channel

  Wadau kuna hizi tv za sumsung zenye inbiult decoder, ukiweka antenna huwa zinaonesha channel fulan lkn tatizo lngu ni kwamba channel zinaweza kuwa zinaoonekana leo baada ya siku mbili the same channel unona wanasema scrambled channel tena baada ya siku ten zinarud. Je kuna njia ya kurekebisha...
 13. Marco Exavery

  Kupata channel bure ktk star times.

  Je wadau kuna code yoyote ya kuingiza ktk ving'amuz vya star times kupata channel bure? Au ndo tuende kwenye radio tu usawa huu noma Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Marco Exavery

  Jinsi ya kudownload vitabu au article bure.

  Nilisearch lkn I think huewz download freely
 15. Marco Exavery

  Jinsi ya kudownload vitabu au article bure.

  Habari wadau, naomba msaada wa kudownload vitabu kwenye mtandao bure bila kulipia. Mfano Nataka kitabu hichi Principles of soil chemistry. Fourth edition by kim H.Tan Please naombeni msaada wetu. Asante.
 16. Marco Exavery

  App ya kupost for multiple groups

  Hivi hakuna app ambayo inaweza kunisaidia kupost labda tangazo au any event kwenye Facebook group, mfano nina tangazo nataka nipost kwenye group za Fb tangazo moja nitume kwenye group labda 100 kwa wakati mmoja.
Top Bottom