Search results

 1. Mr.Wenger

  Nini tofauti ya hizi course

  Jamani Mdogo angu anataka kusomea ualimu, sasa katika kuangalia hizi course za ualimu nimekutana na hizi course mbili.Naomba kujuzwa tofauti yake na ili aweze kuwa mwalim aombe ipi? 1. Bachelor of Education in Arts 2. Bachelor of Arts with Education
 2. Mr.Wenger

  Kwa matokeo haya huyu dogo atapata chuo?

  Jamani matokeo ya form 6 dogo amepata hivi; History D Geography D English E Sasa najiuliza atapata chuo kweli, na kama atapata ipi course nzuri ya kusomea? Mimi naifikiria Procurement & Supplies
 3. Mr.Wenger

  Mkimbie ya Hemed Phd ni moto

  Aisee wadau hii ngoma imetulia sana, japo jamaa watu hawamchukulii serious kwenye muziki lakini nasema this time mshkaji amefanya poa. Hongera kwake, mwenye nayo naomba aiweke please wadau waisikie me nimejaribu nimeshindwa ================================================
 4. Mr.Wenger

  Wateja wa hizi designs ni nani?

  Kama picha inavyojieleza hili swali hata mimi nimejiuliza lakini jibu nimepata;
 5. Mr.Wenger

  Tutafakari kidogo

 6. Mr.Wenger

  Vifurushi bora kwa wale wapakua movie usiku

  Wale wazee wa kupakua movies na series za kukesha mida ya wanga sasa wakati wa kupumzika umefika "Vodacom kazi ni kwako" [emoji23] [emoji23]
 7. Mr.Wenger

  Katuni ya leo

 8. Mr.Wenger

  Edo nae mchochezi

 9. Mr.Wenger

  Taifa Stars in Afcon 2017

 10. Mr.Wenger

  Maisha ya mwanaume ni mafupi kuliko ya mwanamke

  Wakuu, Kuna utafiti usio rasmi ya kwamba maisha (life expectancy) ya mwanaume ni mafupi kulinganisha na ya mwanamke. Kama huu utafiti una ukweli ndani yake, je nini kinaweza kuwa chanzo cha wanaume kuwa na maisha mafupi? Ni kwa sababu tunaishi maisha hatarishi au ni mipango ya Mungu? Kuna...
 11. Mr.Wenger

  Tafakari na Kipanya

 12. Mr.Wenger

  Anayejua identity ya mziki wa bongo aje

  Siku za karibuni kumezuka stories kuwa wabongo wameacha kupiga miziki ya kwao na kuwaiga wanaigeria. Mfano wa ngoma zinazotajwa kuiga ladha ya Nigeria ni kama Kokoro, Shikorobo, Mugacherere, na nyingine nyingi. Sasa nataka wataalam wanaojua identity ya mziki wa bongo waje watujuze. Binafsi...
 13. Mr.Wenger

  Wazungu wanatuchanganya sana

  Wakuu kuna mambo mengi sana wazungu wametukoroga koroga lakini me nataka kujua mambo mawili yafuatayo; 1.Usomaji wa SAA Kwanini mshale ukiwa kwenye 9 tunasema saa tatu au ikiwa kwenye 10 tunasema saa nne. Kwanini saa isisetiwe ili iweze kusomeka kama invyoonekana yaani kama mshale upo kwenye...
 14. Mr.Wenger

  Ulimwengu wa katuni

 15. Mr.Wenger

  Mwenye kujua tafsiri ya hii katuni

  Kama picha inavyojieleza, haya wataalam wenye kujua tafsiri kazi kwenu
 16. Mr.Wenger

  Moyo Mashine ni bora kuliko Aje ya Alikiba

  Mashabiki wengi wa bongo linapokuja suala la kupiga kura wanaangalia ushabiki na kuuacha ukweli, nikisikiliza lyrics za Moyo mashine wa Ben Poh nikilinganisha na lyrics za Aje wa Alikiba napata ukakasi kwanini Ben Poh hakushinda hiyo tuzo. Nafikiri kuna umuhimu kuwashirikisha wataalam wa...
 17. Mr.Wenger

  Huwa wanamchokoza wenyewe

 18. Mr.Wenger

  Bosi kamganda Dangote kaisahau Tiptop

  Huo mstari upo kwenye ngoma mpya ya Roma (rhymes of magic attractions),ngoma inaitwa "Kaa tayari".Wadau hizi tuhuma zina ukweli ndani yake? === AUDIO: Roma feat Jos Mtambo & Darasa - Kaa tayari
 19. Mr.Wenger

  Je kweli hawezi kwenda advance kwa matokeo haya?

  Mdogo wangu alirisiti mwaka jana masomo 6 majibu yakawa hivi; Kiswahili D English C Literature C History C Geography D Civics D Sasa alienda kuchukua form shule moja ya advance ipo hapa Dar lengo asome either HGK au HKL lkn ile shule wamekataa wanasema comb haijabalance na hata akienda shule...
 20. Mr.Wenger

  Naomba kujua kuhusu Ubungo Islamic

  Wakuu nataka kumpeleka mdogo wangu akachukue HGK au HKL pale Ubungo Islamic,naomba anayefahamu ada zao advance level ni kiasi gani anifahamishe.Au kama kuna mtu anaweza kurecommend shule nzuri zaidi kwa hapa Dar anijuze, iwe ya bording na ada isizidi 1.5million.
Top Bottom