Search results

 1. Trendz

  Waazimishaji vifaa vya ujenzi ni changamoto

  Habarini, Nina kiproject kidogo cha kujenga nyumba ya kujihifadhi familia ikiwa na kitu cha kufanyika mkoani Dar Es Salaam. Ni vyumba viwili upande wa kiume na upande wa kike tu, upande wa kike kuna master, upande kiumeni hakuna. Watatumia public toilet hahaha Kiwanja kipo sehemu ya udongo...
 2. Trendz

  Naomba kufahamishwa gharama ya Floor slab

  Habarini za saa hizi wana JF, Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila watoto na wageni watalala upande wa chini. Sasa nilikuwa naomba kujua gharama za kupandisha slab na...
 3. Trendz

  Je, ufugaji Samaki Morogoro Unalipa?

  Habarini ndugu zangu! Nafikiria kuanza biashara ya ufugaji wa samaki kwa mkoa wa morogoro mjini. Nina passion na ufugaji wa samaki sana ni kitu napenda kutoka moyoni ila najiuliza, Je masoko yanapatikana kwa urahisi? Na Je sio kazi inayofanyika na watu wengi? Shukrani
 4. Trendz

  Natafuta Mabati yaliyotumika (Mabati Used)

  Habarini ndugu zangu! Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu, natafuta mabati yaliyotumika. Kwa mtu yeyote mwenye nayo naomba tufanye mawasiliano nahitaji kama mabati 50. Pia natafuta ceiling boards USED, matofali USED, mbao USED. Mahali vinapohitajika ni Morogoro. Asanteni!
Top Bottom