Search results

 1. Uzalendo Installer

  Zambian Minister: "If bread is expensive eat kondolo (Sweet Potato)"

  Kandolo = viazi vitamu = manumbu Hiyo ni kauli ilitolewa na waziri mmoja uko Zambia pale ambapo wananchi walilalamikia mkate kupanda bei. Wananchi hawasahau, na nimeona wengi wameiweka status baada ya boss wake Lungu kupigwa chini. Tujifunze. Mla ndizi husahau, mtupa maganda hasahau. =====...
 2. Uzalendo Installer

  Niuzie Vitz au IST kwa 6 million

  Nahitaji gari nzima ya kuzungukia hapa mjini, mwenye nayo anaweza kunisaidia kwa 6 million. Nipo Dar
 3. Uzalendo Installer

  Saruji bei gani huko kwenu?

  Wasalaam, Kigamboni .... Nyati grade 32 tunanunua 15k..mpaka 16k nyati grade 42.5 hakuna kweli... camel grade 42.5 inauzwa 16k...mpaka camel imepotea... dangote grade 32 inauzwa 16k... Cha ajabu naona magari yakitoka kiwandani nyati na cement wakati majirani hatuna kitu... Nijuze kwenu uko...
 4. Uzalendo Installer

  Huu wizi kupitia Tigopesa, naomba Tigopesa mnisaidie majibu hapa

  Kuna watu wawili wamekuja kutoa pesa kwangu 'wakala' .. wa kwanza katoa 450,000 na wa pili katoa 500,000 Wote hawa namba yao ni moja 252659 234042 lakini majina ni tofauti. Mmoja jina lilikuwa 'Daniel Michael' na wa pili jina lilikuwa ' Jonh Joseph'. Wakati wa kutoa waliomba namba ya wakala na...
 5. Uzalendo Installer

  Computer4Sale TOSHIBA SATELLITE C50D-B

  HDD 320GB RAM 2GB PROCESSOR- AMD E1-2100 LOCATION: KIGAMBONI, DAR ES SALAAM PRICE: 200,000 NEGOTIATIONS: ALLOWED CONDITION: USED
 6. Uzalendo Installer

  Computer repair and maintanance, malipo baada ya matengenezo

  Habari, Natoa huduma ya matengenezo ya computer (desktop na laptop) na malipo utatoa baada ya computer yako kufanya kazi. Kama kuna kifaa kitakuwa ni cha kununua, gharama ni juu yako. Kwa wale wanaohitaji kufungiwa CCTV cameras, watahudumiwa weekend tu. Napatikana kigamboni Dar. tuwasiliane...
 7. Uzalendo Installer

  Wakala nauliza :Airtel money mnakwama wap? Igeni Tigopesa au Mpesa

  Airtel Money tunaomba muweke mfumo wa kuangalia commission zetu mawakala kama ilivyo kwa vodacom au tigopesa... Tuwe tunaweza kuangalia commission muda wowote ili tuweke hesabu zetu sawa na sio kututumia sms asubuhi za commission kila siku. Hii inatukatisha tamaa sana maana, kwanza commission...
 8. Uzalendo Installer

  Natafuta mtu anaeweza kuandika vizuri na haraka

  Natafuta mtu anayeweza kuandika vizuri kwa mkono, Mwenye utayari karibu inbox. Malipo yapo. Deadline 20th July 2019
 9. Uzalendo Installer

  MSAADA : Naomba kufanikishiwa uhamisho wa mke wangu (Mwalimu wa Primary) kuja Dar.

  Wakuu habari yenu, Nimejaribu njia zote za kupata uhamisho wa mke wangu aje Dar es Salaam lakini sijafanikiwa kabisa, Niliambiwa anatakiwa amalize miaka miwili kazini..kamaliza zamani sana kaajiliwa 2015..barua nikaandika sana lakini sijafanikifa...wengine naona wanahama bila hata kutoa jasho...
 10. Uzalendo Installer

  Uzi maalum kwa wenye maduka ya mahitaji ya nyumbani

  Nawasilisha ombi la kuwepo kwa uzi huu ambao utatuwezesha wenye maduka ya mahitaji ya nyumbani na pia wanaouza bidhaa za aina hiyo kwa bei ya jumla kuweza kutangaza bidhaa zao. Kupeana uzoefu na mbinu za kukabili changamoto mbalimbali ni miongoni mwa mambo yatakayojadiliwa kwenye uzi huu. Kwa...
 11. Uzalendo Installer

  Nahitaji kioo cha Samsung Note 2 na Samsung j7 2016

  Mwenye kioo (screen) cha simu aina ya Samsung Note 2 au Samsung J7 naomba aniuzie...Taja bei yako tutaelewana...Biashara ni maelewano. Kiwe Dar es Salaam turahisishe mambo.
 12. Uzalendo Installer

  INAUZWA BackBerry Passport for Spare

  BlackBerry passport kwa ajili ya spare inauzwa..imeharibika connector za keyboard kwenye motherboard..ukiweka motherboard nyingine inafanya kazi vizuri tu mkanda wa keyboard bado mzima kabisa pamoja na screen yake. Kama utaitengeneza ikaweza kutype ntakupa ID na password yangu..uitumie vizuri...
 13. Uzalendo Installer

  INAUZWA Fridge mtumba, SMD rework station na vinginevyo

  SMD rework station 100,000 gun yake tu ilizingua Fingerprint module for arduino 60,000 Speakers hizo 10,000 Motherboard hiyo utanipa 35,000 Mahali: kigamboni, Dar es Salaam Karibuni
 14. Uzalendo Installer

  Nauza korosho zilizobanguliwa.

  Habari, Nina kilo 10 za korosho zilizobanguliwa kutoka Mtwara, nahitaji mnunuzi wa kilo kumi zote. Bei: 23,000 Tsh kwa kilo 1. mahali: Kigamboni, Dar Es Salaam Asanteni.
 15. Uzalendo Installer

  Vyumba vinapangishwa

  -Vyumba viwili self ( yaani sebule, chumba, choo na bafu..choo na bafu vipo chumbani).. -Vipo kigamboni- vijibweni, vipo karibu na kituo cha mabasi mwembeni barabara ya darajani kama dakika 2 tu kwa miguu kutoka kituo cha basi. -Maji yapo - bure -Umeme - wapangaji wanajitegemea luku yao..jumla...
 16. Uzalendo Installer

  Maya (diwani wa vijibweni) hili tatizo mpaka lini?

  Hapa ni mtaa wa kidongoni kata ya vijibweni mtaa ambao maya wa jiji ndio diwani..maji yamejaa si tu barabarani bali hata majumbani kwetu kumejaa maji..tatizo kubwa ni ukuta uliojengwa na kuzuia mtaro wa maji uliokuwa ukipeleka maji baharini. Jana alikuja mkuu wa wilaya kimya, sasa kwenda...
 17. Uzalendo Installer

  Msaada: Uhamisho wa mwanafunzi wa kike kwenda shule yoyote ya bweni serikalini.

  habari wakuu, Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye uwezo wa kumsaidia jirani yangu (binti) anayesoma shule ya kutwa ya Temeke kidato cha tano aweze kwenda shule yeyote ya bweni ya serikali yenye mchepuo wa EGM kwa sababu mazingira yake ya kusoma ni magumu sana na huyu binti anauwezo mkubwa...
 18. Uzalendo Installer

  Msaada: Nahitaji mtu mwaminifu anayetokea China mwezi huu

  Naomba mtu yeyote anaetokea china mwezi huu wa january nimuagize parcel yangu ya electronics components. Vifaa nimenunua ebay under free shipping lakini huwa vinachukua muda mrefu kufika, kama kuna mtu anaweza nisaidia kunibebea au kama ipo njia nyingine rahisi naomba kujuzwa pia lakini iwe...
 19. Uzalendo Installer

  Kampuni nzuri kwa kufanya field za IT

  Habari wanajukwaa, Naombwa kujuzwa kampuni nzuri kwa ajili ya kufanya field za IT ambayo itamfanya anayefunzwa walau kupata ujuzi. Ukiandika jina la kampuni na mahala ilipo nitashukuru. Asante
 20. Uzalendo Installer

  CAT 1400 CCA 200AMP Maintainance free battery inauzwa

  Battery ni jipya kabisa..bei ni 900k
Top Bottom