Search results

 1. Ibrah

  House4Rent Nyumba inapangishwa Kisota Kigamboni

  Nyumba ya vyumba 3 self contained inapangishwa Kisota-Kigamboni barabaraya Damian do Amsi. Nyumba imeungana na nyingine 3 ambazo zinatumia geti moja, kila moja ina mita yake ya luku ila maji mna-share (mita moja nyumba mbili). Ina master bedroom na vyumba viwili vya kulala, jiko, dinning na...
 2. Ibrah

  Plot4Sale Premier Plot For Sale at Mwongozo Kigamboni

  Kiwanja kizuri kinauzwa Mwongozo, Kigamboni karibu na nyumba za NSSF na NHC. PLOT DETAILS Plot no: 336, kinayo hati ya miaka 99 (attached) Location: Mwongozo, Kigamboni; Karibu na nymba za NSSF na NHC; Kiwanja kimezungukwa na barabara pande zote, kinafaa kwa matumizi ya biashara kama ujenzi...
 3. Ibrah

  Nyumba inapangishwa Kisota, Kigamboni.

  Nyumba ya vyumba 3, yenye master bedroom 1, choo cha ndani, dinning, sitting na jiko. Kila chumba kina kabati la nguo. Inapangishwa Kisota, Kigamboni, kilometa 8 kutoka Feri ( kilometa 6 Feri-Maweni, Kilometa 2 Maweni-Kisota), ina umeme (Luku) na maji. Pia kuna water reserve tank. Imo ndani...
 4. Ibrah

  5 Acres Plot for Sale at Iyumbu Estate Center, Dodoma

  Kiwanja chenye ukubwa wa ekari 5.2 kinauzwa Dodoma mkabala na NHC Iyumbu Estate Centre ambapo rais alizindua mradi wa Iyumbu Estate Center na kununua nyumba 60. Mradi wa NHC ni nyumba 300. Eneo liko kilometer 2 kutoka UDom Administration block. Kiwanja kina hati ya miaka 33 iliyotolewa na CDA...
 5. Ibrah

  Car4Sale Suzuki Escudo

  Gari linauzwa, Suzuki Escudo T936AXG, Manual gear, Cc 1600. Liliagizwa kutoka Japan 2008, liko kwenye hali nzuri. Bei inaanzia 6.0m (malewano yapo). Gari lipo Kisota, Kigamboni, Dar es Salaam Piga: 0787377511/0719055711
 6. Ibrah

  Hostel available at Universirt of Iringa

  Vyumba/Hostel vinapatikana mita 300 kutoka Chuo Kikuu cha Iringa (Tumaini University). Kila Chumba kinajitegemea (self contained), kuna maji ya pre paid meter na umeme wa LUKU. Mawasiliano, 0787 377511
 7. Ibrah

  Car4Sale Suzuki Escudo for sale in Dar

  Wanajamvi, nauuza gari langu SUZUKI ESCUDO 1.6. Make: Suzuki Escudo CC: 1,600 Transfer: Manual Year of Manufacture: 1993 Color: Metalic Greeen Milage: 198000 Imported in 2008 Stutus: Good, well maintained with regular service NB: Gari lipo kwenye hali nzuri, unaliwasha na unakwenda popote...
 8. Ibrah

  Nyumba inapangishwa Njiro Arusha

  Nyumba inapangishwa Arusha, Njiro kwa Msola. Nyumba ina vyumba 4, viwili ni master na viwili kawaida, iko kwenye kiwanja cha 40 x 40 na kuna parking ya kutosha, uzio wa seng'enge. Ina storage tanks za Lita elfu 25, umeme wa Tanesco, maji ya Auwsa, iko karibu na nyumba za Tanapa na inafaa kwa...
 9. Ibrah

  Self contained rooms for students at UoI [Tumaini Iringa]

  Wadau, kwa wale wenye ndugu zao watakaojiunga na Chuo Kikuu cha Iringa [zamani Tumaini University Iringa], kuna vyumba vichache vinapatikana umbali wa mita mia tatu [300 meters] kutoka Chuoni. Vyumba hivyo ni self contained, Umeme wa Luku, maji na tanki la kuhifadhi maji, Uzio na geti, pamoja...
 10. Ibrah

  Jaji Nyalali, Jaji Kisanga hawakutukanwa; kwa nini Jaji Warioba anadhalilishwa hivi?

  Wadau, naomba tuchangie kwa ufupi na maneno machache. Je, tunadhani kuwa Majaji Nyalali na Kisanga ambao Tume walizoongoza zilipendekeza Muungano wa Serikali tatu, lkn haikuleta malumbano, matusi na kashfa kwa Majaji hao. Lkn Tume ya Jaji Warioba ilipokuja na pendekezo hilo hilo imekuwa nongwa...
 11. Ibrah

  Rooms Available; for students at University of Iringa (Tumaini)

  Wadau, kuna vyumba kwa ajili ya wanafunzi University of Iringa (Tumaini University). Vyumba ni self contained, maji na umeme. Nyumba ina maji na umeme na imezungushiwa uzio na kuna mlinzi wa usiku. Baadhi ya vyumba kuna kitanda cha double decker vya futi 2.5. Ni umbali wa mita mia tatu...
 12. Ibrah

  House for Lease at Usa River Arusha, Ideal for Office or Residential

  One storey house, with 3 self contained rooms is available for lease at Usa River (Leganga) in Arusha. The house is ideal for Office or Residential. The house has got a specious car park of 4 cars at a time, 200 meters from Arusha-Moshi Road. Call: 0784 470717 (Mzee Magoha)
 13. Ibrah

  Rooms for students available, Tumaini University Iringa

  Wadau, kuna vyumba-self contained vinapatikana mita 300 kutoka Tumaini University Iringa. Nyumba ina maji, umeme na mlinzi. Kila chumba kina vitanda 3, double deck na kitanda kingine kimoja kwa kadiri ya mahitaji ya mpangaji. Anayehitaji apige 0719 055711/ 0768 264320
 14. Ibrah

  Utawala unaomwaga damu za watu wake kujihalalisha unajiangusha wenyewe, ni historia!

  Idd Amin Dada, Jean Baptiste Bedel Bokasa, Saddam Hussein, Al Assad, Nero nk. Sikuamini na siamini kama Serikali yetu imemwaga damu ya Dk Ulimboka ili kuondoa 'udhia' na kunusuru damu za Watanzania wagonjwa kumwagika. Nimeshawahi kusikia kuwa Serikali hulazimika 'kuwapoteza' watu wake ili...
 15. Ibrah

  Najitoa mhanga, najenga Kigamboni liwalo na liwe!

  Nimesubiri miaka 4, walituzuia kujenga nyumba kwenye maeneo/viwanja vyetu ati kuna mradi wa kuiendeleza Kigamboni . Wamepita na kuchukua majina kwa ajili ya tathmini lkn majina yetu wengine hayakutoka. Wakatuambia tupeleke majina na picha lkn bado hakuna kilichofanyika. Ukizingatia si wote ni...
 16. Ibrah

  Kutofutiwa usajili JUMIKI Z'bar; SMZ ni Wahafidhina?

  Miaka michache iliyopita, Maalim Seif Shariff Hamad aliwahi kuleta mjadala kwa kusema tatizo la SMZ ni Wahafidhina walioko Serikalini. Sijui alimaanisha kama ni Uhafidhina wa Kidini au Kisiasa, ingawa yaweza kuwa ni wa aina zote au mojawapo. Yaliyotokea Zanzibar wiki ilopita, maandamano na...
 17. Ibrah

  Hivi kweli Watanzania ndio tumefika hapa!

  MWANANCHI leo limeripoti kuwa wakazi wa Handeni wamefanyia mapokezi makubwa, Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Kigoda na kumpongeza kwa kufanya uamuzi wa kumsimamisha kazi Bw Ekerege aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TBS. Wiki iliyopita magazeti yaliripoti kufanyiwa mapokezi makubwa kuwapongeza...
 18. Ibrah

  Hivi Watanzania ndio tumefika hapa!

  MWANANCHI leo limeripoti kuwa wakazi wa Handeni wamefanyia mapokezi makubwa, Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Kigoda na kumpongeza kwa kufanya uamuzi wa kumsimamisha kazi Bw Ekerege aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TBS. Wiki iliyopita magazeti yaliripoti kufanyiwa mapokezi makubwa kuwapongeza...
 19. Ibrah

  King'amuzi cha Abu Dhabi Sports ni vipi?

  Kuna fundi wa madishi amenijulisha juu ya King'amuzi cha Abu Dhabi Sport. Ameniambia kuwa ni cha michezo tu na kupitia Abu Dhabi sports decorder nitapata hata ligi za soka za Amerika Kusini. Amedai kuwa king'amuzi hicho ni nafuu sana kwa kuwa kinalipiwa Usd 100/- kwa mwaka, ingawa gharama zake...
 20. Ibrah

  Hivi wanawake mna matatizo gani? (kwa wanawake tu).

  Rais Jacob Zuma ametangazwa kuoa mke wa sita. Kwa sasa ana wake wa ndoa 3 baada ya ndoa nyingine 2 kusambaratika. Pamoja na huyu mke mpya ambaye umri wake ni mdogo kuliko baadhi ya watoto wa Zuma, binti huyo (mke mpya) na sifa ya umalaya (aliwahi kubaka) bado amekubali kujitosa. Hii inanifanya...
Top Bottom