Search results

 1. Lizaboni

  Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

  Jamani jamani! Kwani Mama hawezi kuongoza bila kumhusisha na hao watangulizi wake? Binafsi namuona mama ni bora zaidi na anasimamia anachokiamini na si kucopy na kupaste
 2. Lizaboni

  Singida ndio mkoa uliopakana na mikoa mingi Tanzania

  Morogoro na Singida yote imepakana na mikoa 8
 3. Lizaboni

  Mkitaka tumsahau na tusimkumbuke kabisa Hayati Magufuli, fanyeni haya...

  Mie nashauri tuuze ndege zote za Magufuli zinazotutia hasara na tununue nyingine zenye faida Tuivunje ile Stendi ya Mbezi inayosababisha foleni turudi kwenye stendj yetu ya ubungo. Tuvunje Maflyover ya Tazara, Chang'ombe, Uhasibu ubungo nk turudi kwenye mataa yetu ya kawaida Tuvunje lile...
 4. Lizaboni

  Nitakuwa tofauti na Mh. Spika kuhusu hili la Bandari ya Bagamoyo

  Kama Wschina wana Uchungu sana na Tanzania basi wawekeze kwenye Bandari ya Lindi. Kujenga bandari Bagamoyo wakati Serikali inapanua bandari ya Dar es Salaam ni dhahiri kwamba kuna jambo limejificha nyuma yake
 5. Lizaboni

  CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

  Tunashukuru Atcl hasara kupungua kutoka Bilioni 113 hadi bilioni 60
 6. Lizaboni

  BAVICHA ninayoiota usiku na mchana

  Kumbe unaota! Basi sawa. Siku zote ndoto za mchana ni za uongo
 7. Lizaboni

  Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

  Sahihi kabisa. Kama tulipambana na Corona kwa nguvu za Mungu basi hata hili la Marekani halitusumbui.
 8. Lizaboni

  Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

  Hao Wamarekani si ndo wanawaua watu weusi kila siku huko? Nani anawachunguza?
 9. Lizaboni

  Uchaguzi 2020 Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni ushahidi wa wazi kuwa ushindi wa CCM hauna dosari zozote

  Ndugu yangu, kipigo walichokipata hawa wamechanganyikiwa. Wasamehe tu
 10. Lizaboni

  Uchaguzi 2020 Kushindwa kwa maandamano ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni ushahidi wa wazi kuwa ushindi wa CCM hauna dosari zozote

  Wadau, amani iwe kwenu. Watu hawashiriki kwenye maandamano kwa kushawishiwa. Maandamano ni utashi wa mtu na hushiriki tu kwa kuwa ameguswa. Maandamano ya kushawishiwa kwenye mikutano na waandishi wa habari ama kwenye mitandao ya kijamii siku zote hayafanikiwi. Wananchi wakiguswa hata utumie...
 11. Lizaboni

  CHADEMA tulieni huu sio wakati wa kuleta kokoro, Uongozi dhaifu wa Mwenyekiti kuishiwa mbinu na kuanza kutengeneza makundi tatizo lilianzia hapo

  Naikumbuka tu sababu ya kipuuzi kabisa ya wapinzani kususia bunge eti sababu ya Corona wakati waliendelea kuchangamana huko mitaani
 12. Lizaboni

  Uchaguzi 2020 Dar es Salaam: Watu watatu zaidi wakamatwa kuzuia maandamano

  We bado hujaenda kuandamana tu? Dah! CHADEMA bana. Walaghai sana. Nasikia Zitto Kabwe kazima simu
 13. Lizaboni

  Upinzani wote waliogombea majimbo walikuwa wamoto, sasa nani angeachwa?

  CCM ndo wenye nchi yao Tanzania. Nyie CHADEMA sijui ACT mmeletwa kutufarakanisha tu. Kwanza Wananchi tuliwakataa mwaka 1992 na yumewakataa tena mwaka 2020
Top Bottom