Search results

 1. AbouZakariya

  Tuliyaishi haya zamani yetu... Sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

  Enzi hizo hili gazeti lilisomwa kwa kuazimwa azimwa hata na mtaa mzima.
 2. AbouZakariya

  Tuliyaishi haya zamani yetu... Sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

  Nakumbuka enzi hizo kukizaliwa mtoto lazima kununuliwe mbereko au mbebeo ya mtoto.
 3. AbouZakariya

  Kutii sheria linapokuwa suala gumu zaidi kuliko kuvunja sheria

  Mkuu Siri ya Sifuri, hiyo ya daladala kuingia na abiria wake katika kituo cha kujaza mafuta hilo jambo ni la hatari mnooo lakini hakuna anayejali si abiria wala dereva wala watoa huduma vituo vya mafuta. Nakumbuka kisa, siku moja asubuhi na mapema nilipanda daladala pale terminal mbagala, dereva...
 4. AbouZakariya

  Je, kuna namna yoyote ya kukuza umeme wa solar?

  Ahsante mkuu kwa elimu, ubarikiwe sana tu.
 5. AbouZakariya

  Hivi ndivyo unavyouzwa bila hata ya wewe mwenyewe kujua

  Hivi tukishatoka woote katika mitandao ya kijamii huoni biashara yako ya vitabu itapotea vilevile? Kwa maana utatufikiaje sasa bila hiyo mitandao ya kijamii. We are at the point of no return.
 6. AbouZakariya

  Natafuta mke wa miaka 40 hadi 48 asiye na mtoto

  [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4]
 7. AbouZakariya

  Wakongwe wa JamiiForums tujuane

  19 march 2013.
 8. AbouZakariya

  Je, kuna namna yoyote ya kukuza umeme wa solar?

  Mkuu naomba fafanua kidogo hapo, mono ni ipi na poly ni ipi na utazitambuaje na ipi ni bora zaidi katika hizo?
 9. AbouZakariya

  Msaada: Mwenye uzoefu kuagiza vitu kutoka Alibaba

  Iwe hivi Tumia watu wenye uzoefu na uadilifu wakuagizie mzigo.
 10. AbouZakariya

  Ufugaji wa wadudu kama chakula cha mifugo na binadamu kilimo kilichokosa nafasi Tanzania

  Yawezezekana mhudhurishaji wa hii mada ukawa tayari ni mwenye elimu ya jambo hili, basi ni vyema nawe ukatoa mchango wako kwa kuielimisha jamii juu ya faida za kufuga wadudu kwa ajili ya chakula cha bin adam na mifugo pia.
 11. AbouZakariya

  Wazazi, mnajua kama vijana na binti zenu wameoa na kuolewa huko vyuoni?

  [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 12. AbouZakariya

  Njooni hapa mliowahi kulipwa fidia baada ya ajali

  Aisee shirima? in (chaggas voice) huyu kaacha watoto, wazazi, wategemezi wengine pamoja na madeni, vipi tuacheeee?, hata hivyo hata kama hayo yote hayapo tambua hili jambo lipo kisheria, kama sheria inatupa hiyo nafasi ni lazima tuitumie, huyu ni ndugu yetu wala hakuna ubaya kula pesa itokanayo...
 13. AbouZakariya

  Employee Share Option Plan-Mfumo wa malipo kupitia Haki za Umiliki(HISA)

  Hii imekaa njema sana, ila sijui kina kanjibhai wataichukuliaje
 14. AbouZakariya

  Njooni hapa mliowahi kulipwa fidia baada ya ajali

  Mkuu umenikumbusha jambo la muhimu mno, last week tumezika bint yetu ambaye alipata ajali maeneo ya nanenane dom, lakini hatukufikria chochote kutokana na mstuko wa ule msiba, ngoja tuanze kufuatilia tuone.
 15. AbouZakariya

  Njooni hapa mliowahi kulipwa fidia baada ya ajali

  Ahsante kwa elimu, lakini inakuwaje mfano nikigongwa na gari au ndugu yangu kagongwa na gari na akafa taratibu zimakuwaje?
 16. AbouZakariya

  Ijue sayansi ya upara na uwezekano mkubwa wa kuutibu kwake

  Kunaweza tokea mlipuko usio na madhara
Top Bottom