Search results

 1. Igombe fisherman

  Wakala kaniwezesha kukwepa tozo haramu za miamala

  Niko pande za west lake reginal huku. Sasa kale kamanzi langu ka jiji la mawe kakaomba tafu. Nikikumbuka matozo na nini na hela inayotakkiwa ni 140k basi nikashuka tu kwa wakala. Maana hela zote juzi nilizitoa ili nione mayaga. Nilipofika kwa wakala akaniuliza Wakala: unayemtumia anaitoa...
 2. Igombe fisherman

  Rawama Rebeka zinanifanya nijihisi mwenye makosa

  Sauti yako imekuwa ikijirudia kila Mara ubongoni mwangu pale ulipotaja majina kama mrushaka, kayanga kaisho na mengine yaliyokuwa yakiwakirisha miji ya huko kwenu wilayani Karagwe. We siyo ndugu yangu siyo MTU wa kabila langu sikuishi na wewe sana maana hatukuwahi kukaa pamoja hata kwa siku 30...
 3. Igombe fisherman

  Binti kaa mbali mita thousand hili goma la machizi nisijeonekana natafuta kiki

  Siku kadhaa hapo nyuma kuliletwa na uzi unaoongelea bikra. Uzi huo ulisema bikra ni kapu la ndoa. Uzi ule ulijadiliwa kwa mihemuko kwa kufuata jinsia kwa kila mmoja. mpaka uzi ule ulifika mbali kwa watu kutukanana na kuonana wabaya bila sababu za msingi. Ila nilipotazama mwanamke mmoja japo...
 4. Igombe fisherman

  Nahisi jamiiforums imesababisha airtel wakasikia kilio chetu

  Juzi jumatano nimejiunga kifurushi cha wiki cha UN cha airtel cha tsh 5000 nikitegemea sitonunua tena vocha kwa ajiri ya kuwapigia jamaa ndugu na marafiki. Ila kitu cha kushangaza jana tarehe 19/12/2019 napiga simu naambiwa huduma katika sim card yangu zimethitishwa. Wakati ninadakika zaidi ya...
 5. Igombe fisherman

  Dhana ya wanawake hawapendani kwangu naiona ni kinyume

  Nimekuwa nikipita humu jamiiforums na kukuta mada nyingi zikizungumzia kuwa wanawake hawapendani. Lakini kila nikikumbuka mfumo wa mtaani wa maisha huwa ni tofauti.Mfano Kwa wale tuliosoma shule za kule vijijini za kata tunakumbuka usafiri wa kwenda shule ulikuwa ni baiskeli. Sasa inapotokea...
 6. Igombe fisherman

  Mnikaribishe ndugu zangu

  Hodihodi wana jamiiforums. Nimekuwa msomaji mzuri wa hapa kwa takribani kama miaka miwili nwishoo nimeamua kuwa mwanachama na mimi. Mnikaribishe kama hamtojari
Top Bottom