Search results

 1. fungafunga

  Uwezekano wa kilimo cha Karafuu, Tanga, Lindi na Mtwara

  Ndugu wanajamvi. Naomba wataalamu wa kilimo wanijibu swali hili muhimu ambalo nimekuwa nikijiuliza kwa miaka mingi. Kama karafuu inastawi vizuri unguja na pemba ambayo ni kisiwa chenye hali ya hewa na udongo unaofanana na pwani ya tanzania bara hasa mikoa ya Tanga, Lindi na Mtwara. Hivi hakuna...
 2. fungafunga

  Nimeishi ughaibuni (Ireland) miaka 10, nikachuma pesa huko nikarudi kuwekeza nyumbani Tanzania

  Jamaa anaandaa mazingira ya kumuumiza mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 3. fungafunga

  Dar Village Project in Dar es Salaam

  Hongera Zadock
 4. fungafunga

  Mwenye kuijua Handeni anisaidie, nataka kufanya Kilimo cha Mahindi

  Njoo kusini hasa lindi. Maeneo yapo ni makubwa na maji yapo. Wasukuma wanahamia kwa kasi sana. Chukua maneno yangu utanishukuru baadae...
 5. fungafunga

  Dar es Salaam biashara zinakufa kwa kasi sana

  Jipige kifua mara tatu huku ukirudia maneno haya.. “ee mwenyezi MUNGU unihurumie kwakuwa mimi ni mchawi”[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 6. fungafunga

  Je, ni kweli Moshi na Arusha ndo inaongoza kwa kuwa na mafundi rangi wazuri wa magari?

  Moshi/Arusha ni level nyingine.. Peleka gari huko hutajutia..
 7. fungafunga

  Plot4Sale Shamba la Korosho (Ekari 13) linauzwa-Manyoni

  Aise kwanza nikupe pole kama ulivyosema kwa matatizo yaliyokufikisha kutaka kufanya maamuzi haya.. Ninaumia kwakuwa naijua korosho, nipo katika sector ya korosho na mimi ni mkulima wa korosho. Hiyo bei unayouza ndugu yangu kwa wasiojua wanaweza sema ni kubwa mno lakini ushauri wangu kwako ni...
 8. fungafunga

  Kipi bora kati ya kununua nyumba au kujenga nyumba?

  Umetoa ushauri mzuri sana!!
 9. fungafunga

  Kilimo kwa njia ya mtandao

  Kujulikana huko hakutoshi kunifanya niwaamini kuwa siyo wapigaji.. nasema hivii. Hakuna kilimo hapa tanzania ambacho wewe utatoa hela ili mwingine alime, apalilie, avune, auze halafu akupe faida. Hayupo wa hivyo.
 10. fungafunga

  Mkopo wa kumalizia ujenzi wa nyumba

  Thanks!! Ntawatafuta.
 11. fungafunga

  Mkopo wa kumalizia ujenzi wa nyumba

  Socrates! Wewe nielekeze ni taasisi ipi inatoa mkopo wenye masharti nafuu. Hayo mengine niachie..
 12. fungafunga

  Mkopo wa kumalizia ujenzi wa nyumba

  Wana JF. Naomba msaada kwa kufahamishwa ni wapi ninaweza kupata mkopo wa riba nafuu wa kumalizia ujenzi (finishing) ya jengo langu. Vigezo viwe riba nafuu na muda wa kutosha kulipa deni (kuanzia miaka 3-5) Natanguliza shukurani.
 13. fungafunga

  Dah! Kanisa litammiss Askofu Gwajima katika doctrine ya wokovu

  [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inamaana unataka kutuambia hashindi??
 14. fungafunga

  Nataka kununua tractor hii, ushauri tafadhali

  Nataka kununua MF 2904WD ya HP 77. mwenye uzoefu nayo katika matumizi ya mafuta na spea anipe ushauri tafadhali
 15. fungafunga

  Kilimo na JATU: Je, kuna ukweli wowote?

  Za kuambiwa changanya na zako..... Mimi hata kabla ya kuambiwa, akili yangu na jinsi ninavyokijua kilimo, nakuhakikishia tu kuwa hilo haliwezekani. Hata ulaya ambako bima za kilimo zipo effective, bado mkulima/mwekezaji hajawai hakikishiwa unono wa faida ya namna hiyo..
 16. fungafunga

  Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

  Kwa uelewa wangu mdogo, suala la nafasi kati ya mti na mti lina mambo mengi sana ya kuangalia kabla hujaamua kufuata ushauri wa wataalamu. Wataalamu wa chuo cha maendeleo ya korosho pale naliendele mtwara wanasisitiza umbali kati ya mti na mti kuwa mita 12 na mstari na mstari pia kuwa mita 12...
Top Bottom