Search results

 1. Z

  Chama cha Jubilee chatishia kumtimua kazi Makamu wa Rais Dkt. William Rutto kwa dharau na jeuri dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta

  Mkuu: Unacho kisema ni sawa, lakini si Wa-kalenjin wote wanampa support William S. Ruto. Ni baadhi tu.
 2. Z

  Dkt. Hassan Abbas usipambane na Kikwete siyo saizi yako. Acha kupotosha umma kwa njaa zako

  Mkuu: Ni dalili ya uungwana pindi mtu anapokosea kusahihishwa pasipo kumumunya maneno na aliye kosea ni vyema kukiri, hayati Mzee wetu Benjamin Mkapa ametufundisha hivyo.
 3. Z

  Tanzia ya Dkt. Dau kwa rafiki yake hayati Benjamin William Mkapa

  Mkuu: Ni vyema ungetofautisha kati ya wasifu na kongole na mahali panapo stahili kutumika.
 4. Z

  Tanzia ya Dkt. Dau kwa rafiki yake hayati Benjamin William Mkapa

  Mkuu: Wasifu wa mtu una andikwa au kusomwa pindi jambo lolote linapo tokea ikiwa ni pamoja na hili la Ta-azia.
 5. Z

  Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

  So.. If that's the case...then it's his personal effects. But Govt. standing orders does not merit such a kind of abuse to it's properties.
 6. Z

  Paul Makonda kukabidhi Ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge

  Mkuu: Kwani alitengeneza kwa fedha zake.
 7. Z

  TANZIA Prof. Wamba Dia Wamba afariki dunia

  Hivi Madame Elaine yupo DRC. Nakumbuka, alibahatika kupata watoto watatu Phillipe Wamba(1971-2002) James Wamba na Kolo Wamba. RIP Prof. Wamba deeply remembered by the then UDSM phylosophical club.
 8. Z

  Colin Powell: Donald Trump ni muongo nitampigia kura Joe Biden

  😃😃😃 Kutegemea ukweli kutoka kwa mwanasiasa ni sawa na:- Kutafuta bikra ktk wodi ya wazazi.
 9. Z

  Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

  Mkuu: Huyu jamaa hakuna alichofanya hapo MSD zaidi ya kujisifu na ubadhilifu tu. Hivi karibuni kumefanyika Special Financial Audits zaidi ya tatu mfululizo. Malalamiko ya wateja yalizidi. Wateja walikuwa wanadeposit pesa zao lkn mahitaji hawapati na pesa hawarudishiwi na hazionekani sasa hao...
 10. Z

  Nimejenga ujenzi rahisi kwa Milioni 7 tu

  Kwenye mchanganuo wako mbona hakuna matofari?
 11. Z

  Mtifuano kortini mgogoro familia ya Marealle

  Wadau: Hii habari mbona inaanzia katikati, nini chanzo halisi kilicho pelekea kadhia hii kuwa hivi?
 12. Z

  Kauli ya Mh Rais, kutotaka kukaa muda mrefu ofisini, ndiyo tuseme anang'atuka mwaka huu?

  Mkuu: Hilo neno kaswida sidhani hapa limetumika ipasavyo. Ni vyema kujiepusha na maneno/lugha usiyo ifahamu sawa sawa.
 13. Z

  Benard Membe hajafukuzwa CCM, hatima yake ni NEC

  Wacha Uongo wewe CCM ni chama chetu wote, hivi nani asiyejua mamlaka ya CC na NEC.
 14. Z

  Rais Putin kubaki madarakani mpaka mwaka 2036

  Wewe humtakii mema Rais wetu JPM. Miongoni mwa kazi ngumu ni hiyo ya u-Rais. Hebu mtazame tu alivyo zeeka ktk hii miaka miaka minne na nusu, sasa fikiria hiyo miaka 15 ijayo (2035) atakuwaje, Ni vyema tuwe na huruma kwa Bin-Adam wenzetu. Mawazo na maoni haya kuhusu kazi za uongozi wa nchi...
 15. Z

  Meneja wa TANROADS nchini asema daraja la Kiyegeya limekatika kwa uchakavu. Je, Waziri Mkuu kumuondoa Meneja TANROADS-Morogoro alimuonea?

  Ha Ha Haaaa!!!!! Ktk. miradi ya ujenzi yenye aibu kubwa nchini ni Barabara inayopita Jangwani-Dar es Salaam, yakiwemo na majengo na miundombinu ya karakana ya BRT (Mwendokasi) yaliyo jengwa maeneo hayo.
Top Bottom