Search results

 1. Sumve 2015

  Rais Magufuli amteua Mhandisi Julius Ndyamukama kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)

  Rais Magufuli ametengua uteuzi wa aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo Richard Mayongela na kumtaka kuripoti Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupangiwa kazi nyingine Rais amemteua aliyekuwa Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania mkoa wa Dar, Mhandisi Julius Ndyamukama kuwa Mkurugenzi Mkuu...
 2. Sumve 2015

  Mwigulu Nchemba atuma salamu kwa Tundu Lissu

  Akitoa salamu zake baada ya kukaribishwa na Mheshimiwa Rais Magufuli leo, Mheshimiwa waziri wa mambo ya ndani Ndg Mwigulu Nchemba akitumia mfano wa wimbo ambao huimbwa jeshini kwamba "asolipenda jeshi letu atoroke saa nane usiku", Amemtaka yule alotumwa na hao walomtuma kuitisha vipress...
 3. Sumve 2015

  Rais Joseph Pombe Magufuli: Mzee Kikwete umeniachia kazi ngumu

  "Haiwezekani, unaenda huku unakuta wafanyakazi hewa, ukigeuka huku unakuta balabala hewa, ukitizama kule unakuta wanafunzi hewa...yaani kila kitu ni hewahewa tu, kwa kweli mzee wangu Kikwete umeniachia mzigo mzito", haya ni maneno ya Rais wetu H.E JPM akimweleza mtangulizi wake tena bila...
 4. Sumve 2015

  Msaada..

  Galaxy S3 imezimika tu haicharge na pia haiwaki, nlilala nikaiacha charging usiku nlipoamka nikaibonyeza maana nliiacha on, haikurespond nikajaribu kuiwasha haikuwaka, nimepitia mitandaoni nimeona wanaita hilo tatizo Suden death syndrome (SDS). Mwenye uelewa juu ya hili tatizo na namna ya...
Top Bottom