Search results

 1. Mjuzi Wenu

  Car4Sale Gari aina ya alteza inauzwa kwa 5 Millions

  Gari ipo katika hali nzuri tuwasiliane whatsap kwa namba 0692235221
 2. Mjuzi Wenu

  Car4Sale Gari aina ya Vits inauzwa kwa Milioni 4

  Gari halina shida yoyote Ni rangi tuuu inaweza ikarudiwa ili gari iwe Bora zaidi Bei 4million Kwa mawasiliano nivheck whatsaup kupitia 0692235221
 3. Mjuzi Wenu

  Vyumba na hostel kwa wanafunzi wa udsm, water institute na ardhi University

  Kuna vyumba na hostel vipo karibu na vyuo tajwa hapo juu kwa bei tofauti Tuwasiliane kupitia whatsap number 0692235221 Nawasilisha
 4. Mjuzi Wenu

  Mshahara wa Mechanical Technician

  Wakuu ningependa kujua mshahara wa mechanical technician kwa mtu mwenye elimu ya diploma na hii ni kutokana ni interview moja niliyofanya huku wakinilalanikia kuwa nimetaja kiasi kikubwa sana ambacho si kiwango cha mtu mwenye diploma
 5. Mjuzi Wenu

  Mechanical Engineer natafuta kazi

  Mimi ni muhitimu wa shahada ya uhandisi mitambo nimebobe katika kudesign kwa kutumia software mbali mbali kama Solidwork, Autocad na Automation studio kwa mifumo ya hydroulic au pneumatic. Pia nina ujuzi mkubwa katika kutatua matatizo ya mashine mbali mbali hususani Diesel engine. Pia...
 6. Mjuzi Wenu

  Car wash pembezoni mwa mlimani city

  Wakuu mimi ni kijana ambaye nina ujuzi wa kutengeneza magari licha ya kwamba sina uzoefu wa kutosha katika hii fani pia ni mwanafunzi wa mechanical engineering ngazi ya diploma. Hivyo nimetokea kushawishika zaidi na kazi ya kuosha magari maana mara nyingi nikipita upande wa mlimani city...
 7. Mjuzi Wenu

  Vyumba na hostel za nje kwa vyuo vya UDSM, NIT, Water Institute na Ardhi University

  Kutokana na maswali mengi kwa wanafunzi wanaotarajia kuanza vyuo mbali katika jiji la Dar es salaam watakaotafuta hostel za nje pamoja na vyumba kwa wale wote watakaokosa au kutohitaji hostel za chuoni hivyo nimeona nije kutoa msaada kwa wanafunzi wenzangu hususani kwa wale watokao mikoani ili...
Top Bottom