Search results

 1. herman joshua

  Kutolea mifano ligi yetu na Ligi 5 bora duniani ni kuoneana

  Katika pitapita zangu kwenye live score nkakutana na mechi za ligi kuu ya Congo league 1. Nlichokutana nacho naona ni vichekeshi kuliko hata kwenye ligi yetu, kama inavyoonesha hapo katika msimamo, kunatimu ishacheza mechi saba nyingine ndo kwanza inamechi tatu. Hizi ndo leveal zetu sasa mambo...
 2. herman joshua

  Kwani namba za Harmonize zimekaaje kwa upande huu?

  Tuachane na mambo ya tuzo, tumpe muda kwanza ila vp katka hz namba Au WASAFI nako huku wanahusika kwa namna flan kumshusha Mmakonde? Tusishau wimbo wa mwisho wa Diamond ni waah ila bado list zinakimbizwa na vijana wake. Swala la kumfananisha Harmo na Mond lipigwe marufuku
 3. herman joshua

  Live Music ina ladha yake

  Nilikuwa nacheki Live Show music ya R. Kelly , nikaja kuangalia ya Jay Z , Beyonce, JLo & Eminem, nimegundua ni kwanini wenzetu wajaza sana kwenye show zao. Mziki wa live ni mtamu jamani
 4. herman joshua

  Diamond na saa fake

  Swala la Diamond kuvaa saa fake limekuwa kuuubwa ila bado kitu saa aliyovaa ni very expensive inakadiriwa kuwa na gharama ya $130. Kupitia ukurasa wake wa Instergram Diamond alipost picha akiwa kavaa saa hiyo baada ya masaa machache ukurusa unaotambulika kama fake watch ukurasa unaofuatiliwa na...
 5. herman joshua

  Namna COVID19 inavyotuathiri Mabaharia

  Kulingana na swala la gonjwa hili la civid 19 mukusanyiko mbalimbali imezuiliwa ili kuthibiti kuenea kwa hili gonjwa hatari la covid 19 Misiba imekuwa n mingi afu ya kishua ambayo kwa siku za nyuma tulikuwa tunafaidika nayo ila now days hali imechange kutokana na kutoruhusiwa mkusanyiko ko...
 6. herman joshua

  Ebu leo Tukumbushane kuhusu maandiko ya Mungu

  Naomba andiko kutoka kwenye bible or quruan unalolipenda na kulikumbuka mda wote me naanza na Mithali 1:10 Mwanangu wenye dhambi wakikushawishi wewe usikubali
 7. herman joshua

  Mmakonde sasa Rasmi EA Radio/Tv

  Ni mda sasa toka mmakonde atoke WCB na kuanza harakati zake za kimuziki akijitegemea Alikuwa ameshaweka mambo yake sawa na media mbalimbali ambazo hawakuwa na mahusiano mazuri baina ya lebo iliyokuwa ikimmiliki na hizo media. Alianza na clouds, E Fm na sasa rasmi Ea Radio na Tv zimeanza kupiga...
 8. herman joshua

  Yaliyomkuta Stamina, Mabeste na Ally Kiba ni bora kuliko yaliyomkuta Davido

  Kwa Mabeste tunajua tatizo ni pesa; hata yeye anakiri hilo, mbaya zaidi ni kwenda kuishi na aliyekuwa jamaa yake. Pia hili suala lilimkuta king wa mziki wa TZ Ally Kiba japo yeye anakanusha suala hlo na ikiwa haishi na huyo mkewe. Kwa Stamina hatuelewi japo inadaiwa kibamia pia ni tatizo...
 9. herman joshua

  Khaligraph Jones (OG) the best hiphop artist in Africa

  Naona jamaa hataki utani amemuwashia kweli moto mwanamuziki wa hiphop kutoka Nigeria Blackbone. Na ninachoona mpaka sasa mchezo keshautawala yeye #Respect OGs, wanigeria lazima waelewe tu wanajiona wao ndo kila kitu now wamepatikana.
 10. herman joshua

  Munaposema Ali Kiba ni kipenzi cha watu munamaanisha nini?

  Naangalia chati za muziki Boomplay sijaona jina la msanii anayesadikika anapendwa zaidi Tanzania, ila sijaona hata katika Top 10.
 11. herman joshua

  B Dozen katudanganya

  Nkiwa kama moja ya wapenzi wakubwa wa kipindi cha XXL ya Clouds nlimsikia B Dozen akisema Nandy ni msanii aliyeongoza album yake ya the African Princess kuwa streamed Boomplay, kitu ambacho ni uongo. Najua isingekuwa rahisi kumtaja Diamond as number one, ila siyo adanganye umma wa Watanzania...
 12. herman joshua

  Kwa sisi wakosoaji wa mastaa

  Kunaile tabia ya kutoa comments kwenye kurasa za kijamii hususani kwa mastaa haswa pale wanapofanya mambo yanayoonekana kuwa kinyume na imani zetu mara nyingi unakuta tunawakumbusha utaona mtu kakoment "mkumbuke Allah ipo siku utakufa" Unajisahau kwamba na ww ni mtenda dhambi mkubwa kabisa we...
 13. herman joshua

  Nikimuwaza Harmonize namkumbuka Kizzy Daniel

  Sijajua zaidi ni yapi yaliyomsibu Kizzy Daniel kuachana na management yake aliyokuwa nayo ila naona ni kama visa vinafanana na cha Harmonize. Sitaki kujaribu kusema Harmonize atashuka ila najaribu kuangalia ukubwa aliokuwa nao Kizzy Daniel kipindi akiwa na management iliyomfikisha alipokuwepo...
 14. herman joshua

  Eti mziki hauna maadili wala hauelimishi.... hahaaa utachelewa sanaa

  Ukitaka mziki wa kuelimisha matafute Maalim Nash mc or Tamaduni music kwa ujumla mziki wao unaelimisha me nshaelimika kitambo kuanzia enzi za sunday school shuleni pia nlielimika na bado najifunza kwa akina Joeli nanauka na ma inspiration speaker kibao kupitia platform mbalimbali kwa sasa...
 15. herman joshua

  Mnataka nyimbo za kuelimisha au mnataka burudani?

  Inaonekana watanzania wengi mnapenda kujifunza lakini ni uongo umetujaa tu. Mara nyingi unapotokea ubishani hususan katika masuala ya kimziki haswa kati ya team Diamond na team Kiba utasikia Diamond si mwanamuziki bora kwani anaimba matusi na nyimbo zake hazielimishi jamii. Jamani kwani huu...
 16. herman joshua

  The comeback of West life

  Hv ule msemo wa kila nabii na zama zake unaweza ukawa unafanya kazi hata kwa wazungu..? nmekuwa nikifuatilia sana mziki wa hawa jamaa (westlife) tokea siku nimewajua mpaka sasa hawajawai nikinai kiukweli hawa jamaa wako vizuri kuliko hata uzuri wenyewe kila nnapowasikiliza kwa aina mziki...
 17. herman joshua

  Hivi hawa RFA wanaokota wapi hawa watangazaji..?

  Nipo nasikiliza kipinda flan hapa home kinachoitwa #weekendfever ninachovutiwa ni mziki tu unaopigwa hapa ila huyu mtangazaji cjajua n kwa nn amefanikiwa kupata kazi/kapewa kipindi na wakati hana hata uwezo wa kujieleza kiasi kwamba hata me ninisiye mtangazaji kwa 90% ninauhakika namfunika...
Top Bottom