Search results

 1. Ajaye

  Ukishawagawa watu hutoweza kuwaongoza

  TIME HEALS ALL WOUNDS Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 2. Ajaye

  Rais Samia hawezi kugombea 2025

  Ccm hawatakuelewa hasa vijana wa mama KAUPIGA MWINGI, ila *TIME HEALS ALL WOUNDS * Urais sio lele mama hasa katika Taifa linalohitaji mabadiliko ya haraka kama Tz, then anakuja mtu kuhitaji Huruma ya wananchi! [emoji12][emoji2957][emoji1787] mama bwana!! uongozi ni uwezo wa 'A' ambao mama hana...
 3. Ajaye

  Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

  Kwa mujibu wa SSH ni awamu ya 5emoji1][emoji28][emoji28][emoji1787] ukiwa CCM bwana hata uwe Rais bado utakua huna [emoji3447]
 4. Ajaye

  Rais Samia usilalamike, unachokisikia ndio kinasemwa nchi nzima, kubali tu yaishe!

  Kumbe tunahitaji katiba ili kuwa room wapinzani?[emoji848][emoji848]
 5. Ajaye

  Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

  Taifa letu huangamia na huzidi kuangamia kwa kuwa na wananchi wa aina kama yako! Huna tofauti na vijana wanao sema MAMA KAUPIGA MWINGI. Kwa hali iliyopo ndani ya taifa letu, dhulma iliyopo na ukandamizaji wa haki then waja na kusifia upuuzi, nenda vyuoni wasikilize hao walipewa mkopo na...
 6. Ajaye

  Tatizo la umeme: Awamu ya tano haiwezi kukwepa lawama labda tu kama madai hayana ukweli

  Unamatatizo ya kufikiri ndugu, yawezekana wewe ni Wale wa MAMA KAUPIGA MWINGI. *TIME HEALS ALL WOUNDS *
 7. Ajaye

  Kwanini French speaking African nations ndio zina vita tu?

  [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi unajua ulichoandika?
 8. Ajaye

  Mwenyezi Mungu tujaalie tupate Magufuli Mwingine

  Wapo watakao mtukana na kumuita majina ya kila aina lakini wazalendo Wa hili taifa wanajua thamani yake TANZANIA, R.I.P MAGU. TIME HEALS ALL WOUNDS
 9. Ajaye

  Askofu Gwajima: Vita ya kwanza ya dunia iliizaa UN, vita ya pili ikazaa taifa la Israel, Je Corona itazaa nini? Watu wenye akili tunajiuliza

  [emoji23][emoji23][emoji23] umeambiwa wenye akili, kwa comment yako unadhani mada inakuhusu?
 10. Ajaye

  #COVID19 President Samia hires Tony Blair to help in the fight against COVID-19, and rebuild the country's reputation

  Naililia sana nchi yangu, who is Blair kwa maendeleo ya taiga hili? Tunawasomi wangapi tena wazalendo tunaoweza kusema wanaweza kazi anayopewa Blair? Ubinafsi na kudharau wasomi waliosomeshwa kwa kodi za watz ndio kinacho oneshwa na huyu mama. Ni suala la muda tu, tutaelewa mbivu na mbichi...
 11. Ajaye

  Kesi ya Mbowe: Haki Haikuonekana Kutendeka

  Haki ni mahakama kutoa maamuzi in favor of Mbowe?
 12. Ajaye

  Dhuluma mlizomfanyia Mbowe ipo siku zitawarudia. Hakuna aliyewahi mgusa Mbowe akabaki salama

  Pole sana Mkuu, lakini Mkuu ulikua ukitembea na mbowe Siku zote ukajua kila jambo alilokua akifanya? Mbowe hana sifa za binadam kwamba hawezi Fanya makosa? Au kuwa CHADEMA humfanya MTU kuwa malaika? Mbowe ametuhumiwa kuwa gaidi, na siyo gaidi tuiache mahakama itoe maamuzi baada ya hapo ndipo...
 13. Ajaye

  Kizuwizi cha askari wa Lindi, ni moja ya vizuwizi maharamia na magaidi wanakichukia sana

  Mambo mengine soma tu Mkuu , maana hawajui waandikayo
 14. Ajaye

  Chinese Vs. Tanzanians. Kuna Tatizo Serikali Inalifumbia Macho

  ELIMU ELIMU ELIMU, Ili kuondoa hili na hayo matatizo ni lazima tujitegemee na kukubali kutumia wataalam wetu, je huo uwezo tunao????????
 15. Ajaye

  Rwanda wanajenga kinu cha Nyuklia; sisi bado tuna maono ya kujenga madarasa miaka 60 ya uhuru

  Umeeleza vyema Mkuu na pole kwa uchungu uupatao kwa taifa letu, kuna wakati nilikua naumia sana kuhusu maendeleo yetu ya kinyonge laakini nikaona isiwe shida naweza pata ugonjwa Wa moyo bure na ujana wangu huu. Lakini mkuu! kizazi kijacho kama tutaendelea hivi kitatuona wazee wao kuwa wa ajabu...
 16. Ajaye

  Jinsi nilivyonusurika kifo kwa kipigo baada ya kujitambulisha kazi yangu

  [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwamba haina majani?
 17. Ajaye

  Waziri Makamba, kwenye umeme tunaweza kuwekeza wenyewe, tujikite hapo

  There is much power in giving than receiving
Top Bottom