Search results

 1. MENISON

  Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

  Hao watu wasio na exposure ,ni matusi kuifananisha Mwanza na Dar. Dar ni ya kuifananisha na miji mikubwa nje ya Tz labda hapo ni sawa. Dar yenye square kilo meter 1700, ambapo 1200 ni slum na unbuilt. 500 ni planned areas. Hako ka Mwanza kenye ukubwa wa 240 mji including planned and unplanned...
 2. MENISON

  Kuna kidada cheupe pale TANESCO Mbezi Beach Afrikana nani anakipa jeuri namna ile?

  Kinapenda rushwa hicho kidada nakifahamu nadhani ni njau huyo mchaga.
 3. MENISON

  Uhamiaji Tanzania badilikeni

  Hiyo taasisi ya uhamiaji ni ya kijinga sana, washamba, roho mbaya na wivu umewajaa. Umasikini utakua kwa kasi tz kwasababu ya hii taasisi inaendeshwa kishamba. Hawajui kuwa passport sio viza. All in all watoto wa mabosi na wenye connection wanapata kilaini passport. Kama huna connection pale...
 4. MENISON

  UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

  Nyie mashabiki wa Man u nyie hapo hamna raha kabisa
 5. MENISON

  Hatoi matumizi ya mtoto, kaomba nimkopeshe pesa

  Huyo jamaa mjinga sana, na wewe pia si uliambiwa uitoe. Umeamua kulea mwenyewe lea acha kulia lia, kwa kifupi wote mnashida. Kwa kifupi pambana na hali yako.
 6. MENISON

  Rais Samia Suluhu Hassan, usisahau kufumua TANESCO

  Wape hela kidogo hapo ofisini kwao,nakuhakikishia haitafika kesho kutwa wanakuwekea umeme.
 7. MENISON

  Mamlaka iwaruhusu watu waende kwenye mashamba na vijiji vya karibu wakajitafutie chakula, hapa tulipo ni nyika tupu

  Passport ni kikwazo namba moja, katika nchi hii taasisi nayoichukia kuliko zote ni uhamiaji. Jinsi nilivyopata passport inabaki siri yangu, nawajua wabongo wengi wanaamua kwenda nje hapa hapa africa bila ya passport matokeo yake hawaaminiki na wengi wao huuwawa ovyo. Passport pale uhamiaji...
 8. MENISON

 9. MENISON

  Swali Gumu: Kwanini kila ninayemsaidia huwa hana shukrani?

  Ukiona chuki inakuja jua wema ulitangulia, binadamu hana shukrani. Mimi ntasaidia yatima tu kwenye masuala ya ada, sijui mtoto wa mjomba sijui wa kaka mkubwa achana nayo kama hupendi kulaumiwa. Ukitenda wema usitegemee akurudishie.
 10. MENISON

 11. MENISON

  Huu ni ugonjwa gani? Nywele hazioti sehemu fulani ya kichwa tena katikati au nyuma ya kichwa karibu na sikio

  Hapo nakiete mwenge haijapatikana sijui ni duka gani la dawa kwa Dar inaweza kupatikana.
 12. MENISON

  Huu ni ugonjwa gani? Nywele hazioti sehemu fulani ya kichwa tena katikati au nyuma ya kichwa karibu na sikio

  Kwa Dar naweza kupata pharmacy gani nimuagize mtu anitumie
Top Bottom