Search results

 1. kimbendengu

  Msaada wakuu Bachelor degree in gender and development

  Wakuu naomba mwenye kujua hii course baada ya kumaliza nategemea kufanyia kazi maeneo gani,lakini pia kuna hii Bachelor degree in human resource management maeneo gani nitatakiwa kufanya kazi Asanteni
 2. kimbendengu

  Huku mtaani wanasema Bora corona KULIKO CCM

  Baada ya Jaji kiongozi Kula uteuzi hapo Jana jamii ya kitanzania imeendelea kulaani kitendo cha Rais kumteua Jaji katika kesi ya kisiasa yenye maslahi mapana ya nchi ,hivyo wananchi sasa wanaona kuna umuhimu wa katiba mpya kuwepo kwa Sasa ,wameenda mbali kwa kudai majaji na uongozi mzima wa...
 3. kimbendengu

  Wakuu naomba msaada wa kozi fupi ya computer

  Habari za usiku huu ndugu wanatech ,gadgets mimi naomba eneo liwe chuo au mahali ambapo nitasoma kozi fupi ya computer kwa muda wa miezi mitatu ,miezi sita au mwaka kwa Sasa naishi Tabata Asanteni
 4. kimbendengu

  Wanawake wanaroho ngumu

  Yaani huyu mwanamke ni mjamzito lakini anakimbia kama farasi jamaniii
 5. kimbendengu

  Mbona Watanzania sijawaona Olympics?

  Jamani wanamichezo wenzangu hapa Tanzania michezo ya Olympic inaendelea huko Japan swali langu mbona watanzania sijawaona kwenye hiyo michezo?
 6. kimbendengu

  Sikio limepoteza uwezo wa kusikia vizuri baada ya kuingia maji

  Wakuu wiki iliyopita sikio langu liliingia maji nilijaribu kutoa kwa njia ya kuinamisha lakini maji yalitoka pamoja na uchafu sasa kuanzia juzi sikio langu limekosa kusikia yaani moja linasikia lakini hili moja nasikia kwa mbali sana naomba kwa hapa Dar es Salaam Hospitali gani inahuduma bora ya...
 7. kimbendengu

  Naomba hardcopy ya Katiba

  Wakuu heshima kwenu naomba hardcopy ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Asanteni
 8. kimbendengu

  Huyu ni raia wa Arusha

  Mhhhhh[emoji3][emoji3]
 9. kimbendengu

  Picha Bora ya mwaka

  Aisee
 10. kimbendengu

  Wakuu na wanahistoria

  Habari wakubwa nilikuwa naomba mwenye picha za jiji la Dar es salaam miaka ya 1945 au 1950 nilijaribu kutafuta hapa JF niliona picha za miaka ya 1966 sasa naomba hasa za kariakoo Asanteni
 11. kimbendengu

  Waziri wa elimu apiga marufuku mitihani ya mitaani

  Kumekuwa na wimbi la kuchapisha mitihani maeneo ya mijini kwa siku za hivi karibuni nimeona video imesambaa kwenye mitandao kuwa sasa ni marufuku kununua mitihani hiyo wasiwasi wangu biashara hii wanafanya viongozi wenzake ngoja tuone hii vita.
 12. kimbendengu

  Fundi amechafua masink ya choo kwa cement

  Wakuu nimemwita fundi wa kuweka sink kwenye vyoo viwili lakini amechafua kwa kuweka cement na hivyo sink zote zimepoteza ule weupe wake sasa mwenye uelewa wa kuondoa huu uchafu kwenye haya masink anisaidie. Asante.
 13. kimbendengu

  Uchaguzi 2020 Hivi maaskofu wangu mpo au?

  Tumsifu Yesu Kristu! Bado siku nne tu taifa hili linaingia kwenye uchaguzi ambao utaamua hatma ya wananchi wake ambao miaka mitano iliyopita walichagua viongozi wao, lakini kutokana na katiba ya nchi mwaka huu na mwezi huu tena wananchi wanakwenda kuchagua tena viongozi kwa awamu nyingine...
 14. kimbendengu

  Uchaguzi 2020 Somanga: Mkutano wa Tundu Lissu wapigwa mabomu ili kutawanya watu

  Katika mkutano wa Rais Mtarajiwa Tundu Lissu polisi walifika eneo la mkutano na kuanza kuwatawanya watu kwa kutumia mabomu hata hivyo kwa kuwa Lissu ni kiongozi Wala si mtawala aliamuru watu waondoke lakini hata hivyo wanasomanga hawakusita kuimba nyimbo za ushindi kama video inavyoonekana hapo...
 15. kimbendengu

  Hapa Dar pikipiki Aina ya Haojue zimekuwa adimu

  Wakuu leo nimezunguka kutafuta pikipiki tajwa hapo juu katika Joni hili la karaha na maraha nimeshindwa kupata wenyeji wananiambia kuwa hazipatikani kwa Sasa, swali je mchina ameshindwa kuzalisha au kuna tatizo mahala.
 16. kimbendengu

  Wale waliozungusha uzio nyumba zao na hawana eneo la kuchimba shimo la takataka ,hivi takataka wanatupa wapi

  Najaribu kujiuliza maeneo ambayo watu wamemaliza kujenga viwanja vyao lakini pia wamejenga fences au uzio je wakifagia ,wakati mwingine wamekula matunda wanahitaji kutupa wanambinu gani mbadala wa kuziondoa takataka?
 17. kimbendengu

  Mwaka huu mikoa ya Dar na Pwani ina maajabu

  Wakuu wa JF, nimeishi kwenye hii mikoa kwa miaka kumi sasa lakini nikiri kuwa sijawahi kushuhudia baridi ya kiwango cha mwaka huu yaani upepo balaa baridi yenyewe hatari. Jana nyuzi joto ni 22c lakini hata leo hali ni hiyo hiyo hali ya hewa hii nimezoea kuona Iringa, Ruvuma na Mbeya kwa wale...
 18. kimbendengu

  Naomba kujua bei ya mahindi soko la Songea Mjini

  Wakuu nahitaji kufahamu bei ya mahindi pale Songea Mjini kuna mdau anafahamu basi anisaidie maana nahitaji mzigo mwingi.
 19. kimbendengu

  Tetesi: Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza pia apatikana Corona

  Rais anayemaliza muda wake Nkurunzinza pamoja na mkewe wamepimwa na kukutwa na Virusi ya Corona ======= It is now emerging that Burundi’s President Pierre Nkurunzinza could after all have contracted Coronavirus (Covid-19). Sources in Bujumbura close to Presidency indicate that soon after the...
 20. kimbendengu

  Maisha ni safari ndefu

  Kigogo huyoooo
Top Bottom