Search results

 1. MKEHA

  Usibweteke kisa tu kiongozi mkubwa anatoka kwenu au ni wa dini yako

  Huwa najiuliza sana kwa nini watu wakisikia mmoja ya watu kutoka mkoani kwao, wilayani kwao wanashangilia sana kana kwamba wamepata uokovu. Watu wamekuwa wakabila na wadini sana kiasi kwamba hushangilia kila mmoja ya watu kutoka kwao hupata uteuzi kama vile uwaziri, naibu waziri na vyeo vingine...
 2. MKEHA

  Yaliyotokea Burundi 2015 yanaweza kutokea Tanzania 2025?

  Habari waungwana wa jukwaa hili la Great Thinkers? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mwaka 2015 Burundi iliingia kwenye fujo za uchaguzi baada ya aliyekiwa rais wakati huo hayati Nkurunziza kugombea kiti cha urais kwa muhula wa tatu mfululizo. Ikukumbwe kuwa rais Nkurunziza alipata urais...
 3. MKEHA

  Sakata la mahindi litaondoka na serikali?

  Kumekuwa na kelele sana juu ya anguko la bei ya mahindi kote nchini. Kiasi ambacho imebidi CCM iingilie kati. Nimewaona wabunge wote hasa wa CCM wakionyesha kutorodhishwa kwao jinsi NFRA inavyonunua mahindi toka kwa wakulima. Ongezekeo hili la wingi wa mahindi ni mwitikio wa wakulima kwani...
 4. MKEHA

  HESLB na Serikali wawafutie madeni wapiganaji wote wa vyombo vya Ulinzi

  Habari waungwana? Nimekuwa nikipita mitaani na kuongea na marafiki na jamaa zangu walioko serikalini, kwa kweli wanaumizwa sana na deni la HESLB. Sheria inatoa mwanya kuchukuliwa kwa % 15 ya mishahara yao ghafi kulipia deni hilo la elimu ya juu. Sio mbaya sana kwani dawa ya deni ni kulipa...
 5. MKEHA

  Mrisho Gambo anogewa na Ubunge. Kugombea tena 2025

  Akiongea na umma kwenye uzinduzi wa bodi ya maji Arusha( AUWASA) amesema ikifika mwaka 2025 haoni sababu ya kuacha kuhudumia wana Arusha kwani uwezo anao sana na wamemkubali sana wana Arusha kwa huduma anayowapa kama mwakilishi wao
 6. MKEHA

  #COVID19 Hospitali ya Amana na usumbufu wa mtandao kwenye chanjo ya UVIKO-19

  Sijui ni leo tu au siku zote. Sijui ni Amana tu ama na kwingineko. Kupata chanjo inakubidi uwe na subra. Toka saa tano nipo hapa mpaka muda huu saa nane na dakika ishirini bado sijachanjwa. Na wahudumu siwaoni sijui wameenda kula. Gwajima wawili kila mtu akivutia kwake wengine tumeamua...
 7. MKEHA

  Kazi za Bunge ni zipi katika kulisaidia Taifa kupiga hatua zaidi?

  Moja ya matumizi makubwa ya serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania ni kuliendesha Bunge. Suna uhakika mpaka sasa Bunge letu lina wabunge wangapi lakini hawapungui 370. Ni miongoni mwa wabunge hao wa kuchaguliwa majimboni, wa kuteuliwa na rais na wale wa viti maalum rais huunda serikali...
 8. MKEHA

  Inasikitisha Naibu Waziri Marekani kukutana na Vyama vya Siasa Tanzania

  Nimesikitishwa sana na kitendo cha Naibu Waziri mmoja wa Marekani kupewa muda wa kukutana na vyama vya siasa Tanzania. Nimejiuliza mara nyingi sana kichwani kuwa je, Katambi anaweza kwenda USA akapewa muda wa kukutana na Biden na akaomba kukutana na chama cha REPUBLICAN wakampa mawazo yao jinsi...
 9. MKEHA

  Nini maana ya mikoa ya pembezoni?

  Nimekuwa nikisikia mikoa ya pembezoni ila kwa uhakika huwa sijui wanamaanisha nini. Je, ni mikoa yote inayopakana na nchi jirani zetu? Je, ni mikoa yote iliyo mbali na makao makuu ya nchi yetu kwa maana ya Dodoma? Je, ni mikoa yote iliyoko mbali na DSM? Je, na DSM nayo ni mikoa wa pembezoni...
 10. MKEHA

  Katiba mpya bila utekelezaji ni kazi bure

  Kumekuwa na movement na msukumo kutoka makundi mbali mbali ya kutetea haki za nimadamu, NGO na vyama vya siasa hasahasa vya upinzani kutaka katiba mpya. Ni jambo zuri sana japo kwa upande wa CCM hainekani kuwa ni ajenda wala kioaumbele chao. Lakini kama tunavyojua nchi hii haijawahi kuwa na...
 11. MKEHA

  CCM imwite na imuonye Nicodemas Henry Maganga mbunge wa Mbongwe

  Nimesikitishwa sana na hotuba na mchango wa mbunge wa Mbongwe bwana Nicodemas Henry Maganga wakati akichangia leo bungeni. Sidhani kama amefanya utafiti wa kutosha kuhusu mchango wake. Kawaaudhi Watanzania wengi hasahasa watumishi wa umma ambao wana miaka karibia sita bila nyongeza ya...
 12. MKEHA

  Heri James karibu Ubungo. Kwa kadri ya uwezo wako umeifanyia mengi UVCCM

  Ilikuwa ni lazima upishe urekebishaji wa chama kwa mwenyekiti mpya wa CCM na hiyo ni kawaida sana kwa kila REGIME kupanga safu yake. Baada ya Bashiru Ally na Humphrey Polepole wing ya vijana kwa maana ndani ya CCM ilikuwa lazima iguswe kama ulikuwa bado hujajianda basi ulikuwa bado mchanga...
 13. MKEHA

  Lowassa wao, Dkt. Slaa wao na Tundu Lissu wao. CHADEMA wana nani?

  Huwezi amini lakini prominent figures zote zilizogombea Urais kupiti CHADEMA zilihamia kutoka vyama vingine hasa hasa CCM. Dr Slaa alikuwa CCM kabla ya kuhamia huko, Lowassa alikuwa CCM kabla ya kuhamia huko na Tundu Lissu alikuwa NCCR kabla ya kuhamia huko. Sasa CHADEMA ni nani bila CCM...
 14. MKEHA

  Tanzania ni Simba mwenye kujihisi ana nguvu kama za Sungura

  Kila nikiiwaza Tanzania kwanini tupo kama tulivyo mpaka sasa nakosa majibu. Tanzania imashika namba tano kwa idadi kubwa ya watu nyuma ya Nigeria, Ethiopia, Misri na DR Congo. Idadi kubwa ya watu huwa ni mtaji muhimu sana katika maendelea ya nchi. Mbali na idadi kubwa ya watu wake lakini pia...
 15. MKEHA

  Mama anavutia sana; aliolewa na mwamame mmoja sasa wanaume waliokataliwa wanapiga misele tena

  Kwa urembo na uzuri wa mama, wanaume wengi walipenda kuwa nae ili awe mke wao. Lakini kati ya wanaume hao wengi ni baba tu aliyebahatika kumuoa mama. Baba alijitahidi sana kuchakarika ili familia yake iwe njema kwa kufanya kazi zake kwa juhudi kubwa sana na maarifa. Na ni kweli toka nizaliwe...
 16. MKEHA

  Uteuzi wa Dkt. Bashiru Ally, Pasco Mayalla kawa kimya

  Kweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi (CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandiko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake...
 17. MKEHA

  Kama ulitunzwa na wazazi, usipowatunza ufungwe tu

  Wazazi wamekuwa na wajibu mkubwa sana kwetu kuanzia mimba mpaka tunasoma elimu ya juu kwa kujitolea karibu kila kitu walicho nacho. Hufanya hivyo kwa moyo sana lakini mara nyingine kwa taabu kubwa. Wengine wasio na kipato cha kutosha huamua kuuza mali zao ili mtoto afikie malengo na ndoto zake...
 18. MKEHA

  Yawezekana utapeli wa mtandao maarufu kama "tuma kwenye namba hii" ukawa unaratibiwa

  Habari wana JF, Leo nimeanza kuamini kuwa wale jamaa wa TUMA KWA NAMBA HII ni matapeli walio kwenye ama makamouni ya simu ama mabenki yetu. Leo nimetumiwa kiasi fulani cha fedha kwenye simu yangu. Aliyenitumia ametumia bank kuja kwenye mtandao wa simu. Kabla hata sijamaliza kusoma ujumbe wa...
 19. MKEHA

  Mikhail Gorbachev alisaidia USA sasa Donald Trump anaisaidia China

  Kwa yanayotokea Marekani hasa baada ya Trump kushika uongozi unaweza kabisa kuyalinganisha na yalitokea Russia mwishoni mwa miaka 80 na mwanzoni mwa miaka 90. Inasemekana Marekani ilimwandaa Gorbachev kuwa kibaraka wao kwa Urusi ili Marekani iweze kuishinda Urusi katika mambo yake. Na kweli...
 20. MKEHA

  Makonda, Mnyeti, Gambo na Mwanri mapengo yenu kwenye mikoa mliyoondoka yanaonekana

  Tangu kuondoka kwa Wakuu wa Mikoa kama Makonda, Mnyeti, Gambo na Mwanri mikoa hiyo kama imesinyaa kwa baadhi ya mambo. Sisemi kuwa maendeleo ndiyo yamesinyaa ila kuna baadhi ya mambo kama hayako sawa. Ule usafi wa kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi mkoani DSM kama imekosa muendelezo wake. DSM...
Top Bottom