Search results

 1. kamonga

  Anayetuhumiwa kumchoma kwa Pasi Msichana wa kazi aachiwa kwa dhamana

  Yaani nimeshangaa sana na haya yafuatayo 1. Hivi watu wana roho gani kwenda kumdhamini Amina Maige? yule aliyemla nyama mfanyakazi/ ndugu yake mwenyewe. Inawezekana vipi ukamdhamini mtu mwehu kama Amina? 2. Eti utetezi wa mahakama ni walikataa kumtoa kwa kuhofia maisha yake kwa kuwa kesi hio...
 2. kamonga

  Hatua gani ichukuliwe kwa tabia hii???

  Wadau, hii nimekuta sehemu. Bidhaa ya chakula inapigwa label imetengenezwa tarehe ambayo hatujaifikia. TBS mpo wapi? Yaani hata ukiwa mstaarabu wa kuangalia expiry dates haisadii. nchi hii tunakufa kwa mambo mengi sana kwa ajili ya uzembe wa watu wengine.:frusty:
 3. kamonga

  MANDELA`S WILL, lessons learnt!!!!

  Wana Jf, Nimetapa bahati ya kupitia mirathi ya Hayati N. Mandela Nimeona mambo mengi ambayo nimejifunza katika maisha na kwake binafsi mfano: 1.Naona alipenda sana Elimu amekumbuka baadhi ya shule vyuo ktk mirathi yake 2.Tofauti na wengi ana upendo maana amewakumbuka mpaka wafanyakazi wake wa...
 4. kamonga

  Pongezi kwa matumizi mazuri ya zawadi ya BSS !!!

  . Jina lake ni Emmanuel Msuya ambae usiku wa November 30 2013 Escape One Mikocheni Dar es salaam alitangazwa mshindi wa BSS kwa mwaka 2013 na kuzichukua MILIONI 50 kutokana na matokeo kamili ya mizani hiyo ya vipaji vya muziki kwa wachanga. Unaambiwa kabla ya hapo, Msuya hakuwahi kushika au...
 5. kamonga

  Vazi la taifa mchakato ufe

  Wakuu nimemuona leo Baba rizi Kavaa nguo safi kabisa yenye utaifa ndani yake. nikawaza kua sasa mchakato wa nini tena kutafuta vazi la taifa wakati lipo hilo lake?? As much as its a waste of time and taxpayers money. tuachane na huu machakatano tulisimike vazi lake liwe la taifa ( not that i am...
 6. kamonga

  Uthibitisho / uambatanisho wa tiba ya babu

  nina furaha kuwajulisha wadau wenzangu hapa Jf kua ule mti ( mugariga) babu anaotaja kutumia ktk tiba yake akiambatanisha na maombi ulishafanyiwa utafiti huko kenya miaka ya nyuma kwa kule hautwi jina hilo!!! ila sifa zake na uoto wake na matumizi unaonesha ukaribu sana na huu mugariga.(angalia...
 7. kamonga

  Namshangaa rais kikwete kuhusu hotuba yake!!

  Nakiri hadharani kwamba sijaelewa sehemu kubwa ya hotuoba ya rais ya mwisho wa mezi huu. katika haya yalionigusa na kufanya niandike hapa ni yafuatayo:- Rais amedai kua kuna watoto ambao bado hawajatambuliwa na wazazi wao (idadi sijanukuu kwa nina imani ni mchakachuaji) ila nina jiuliza what is...
 8. kamonga

  jamani hii kweli imetokea Dar??

  Nilikua napitia blog flani nikakutana na habari kua binti mmoja wa aliyewahi kua waziri hapa Tz amechomwa visu na mpenziwe cjui mume au mchumba, baada ya kumfamaniwa mume/mchumba wake na demu mwingine aliamua kumwaga mafuta ya taa na kuchoma nyunba ya jamaa kisha akaondoka. jamaa alipata hasira...
 9. kamonga

  Khaa jamani hivi u modo huu bongo unalipa?

  leo nimejionea mambo. hivi u modo wa aina hii huku bongo unalipa? maana ugaibuni anaweza kua alikua anatangaza chadii (ch**Pi) ila hapa bongo cjui. haya fahari ya macho. http://a8.sphotos.ak.fbcdn.net/hphotos-ak-ash2/hs347.ash2/62755_118165901571379_100001339101765_94082_7530971_n.jpg
 10. kamonga

  hii ndo AFRIKA bwana

  Wana JF!! i hope mnapata the best of this weekend, anyways wakati mnarelax...... nawaletea tathmini mpya ya maendeleo ya Afrika yetu hiiiii. Take your time look at the attachments then.......... utasema mwenyewe kama ni kichwa cha mwendawazimu au laaaaa. Enjoy.
 11. kamonga

  Malipo gerezani

  Baada ya kusikia mitaani kua eti wafungwa wanatakiwa kulipwa pesa kadhaa kwa ajili ya shughuli za uzalishaji wanazofanya pindi wawapo gerezani, ikanibidi niulize locally na kugundua ni shilingi mmoja kwa siku moja( tafadhali nisahihisheni kama nimekosea) hivyo wakifanya kazi mwaka yaani siku...
Top Bottom