Search results

 1. 2019

  Lipa na M-Pesa ni upuuzi mtupu, hongereni sana Tigo

  Makato yakoje kwa mteja
 2. 2019

  Lipa na M-Pesa ni upuuzi mtupu, hongereni sana Tigo

  Ndio kasoro Vodacom tu
 3. 2019

  Lipa na M-Pesa ni upuuzi mtupu, hongereni sana Tigo

  Ni kweli ila naona ya tigo imekaa powa kidogo kuliko ya Selcom na m-pesa. Kwa watumiaji wa lipa ya Tigo kutoa kwa sasa hakuna makatoa kabisa
 4. 2019

  Lipa na M-Pesa ni upuuzi mtupu, hongereni sana Tigo

  Kasoro voda, mteja wa voda anakatwa kiwango sawa na kutoa pesa,kwa hiyo hakuna unafuu
 5. 2019

  Lipa na M-Pesa ni upuuzi mtupu, hongereni sana Tigo

  Ninayo hapa nataka niifutie usajili kwa shida hiyo
 6. 2019

  Lipa na M-Pesa ni upuuzi mtupu, hongereni sana Tigo

  Vip ya m-pesa umeconect na bank au unatoa kwa wakala baada ya malipo?
 7. 2019

  Lipa na M-Pesa ni upuuzi mtupu, hongereni sana Tigo

  Mimi tigo napenda huduma zao za kifedha tu ila sio matumizi mengine wako hovyo sana
 8. 2019

  Lipa na M-Pesa ni upuuzi mtupu, hongereni sana Tigo

  Hiyo sijapata ila Sina shida nayo sababu inakubali kwa tigo
 9. 2019

  Lipa na M-Pesa ni upuuzi mtupu, hongereni sana Tigo

  Habari wanajamvi? Mm niko powa kabisa, mimi ni mfanyabiashara na dukani kwangu nimeweka huduma za lipa kwa simu. Huduma toka Tigo lipa kwa tigo pesa iko powa sana, baada ya malipo unapotaka kutoa pesa zako kwa sasa hakuna makato kwa mfanyabiashara. Kwa sababu ya changamoto iliyopo kwa wateja...
 10. 2019

  Kwakuwa upinzani hauwezi kuchukua nchi, Kassim Majaliwa anafaa sana kuwa rais wa Tanzania 2025

  Tunaitegemea CCM mkuu, wakifanikiwa kumkata basi hana chake tena
 11. 2019

  Kwakuwa upinzani hauwezi kuchukua nchi, Kassim Majaliwa anafaa sana kuwa rais wa Tanzania 2025

  Umuhimu wa kitu kizuri huonekana baada ya kutoweka. Jiwe walilolikataa waashi lilikuwa jiwe kuu la pembeni. Hakuna nabii anaekubalika kwao. Mimi ni mmoja wa mtu aliemkosoa sana Magufuli, baada ya kufa nimegundua ukweli wa misemo hiyo hapo juu. Rais Samia alianza kwa kuwapa tumaini Watanzania...
 12. 2019

  Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

  Mama anapiga pamba sana,jana ndio alionekana bila kuwa na kitambaa kikubwa kichwani (ushungi). Kuonekana huko kumeoneza urembo wake halisi, binafsi alipendeza sana. Napendekeza,sio lazma avae ushungi mara zote,anaficha uzuri wake kwenye shungi, tunaona hata uarabuni kwenyewe hawazingatii sana.
 13. 2019

  Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

  Ukiona mtu mweusi ujue shida tu. Apate pesa uone rangi yake halisi
Top Bottom