Search results

  1. Mwafwaa

    Nimeshindwa kuelewa hili jambo

    Nimesikiliza hotuba ya mkuu wa mkoa wa Dsm, mhe. Makonda na ya Kamishina wa Mamlaka ya Kupambana na Dawa za kulevya, mhe. Sianga. Katika nyakati tofauti kila mmoja kazungumzia hatima ya mtumiaji wa dawa za kulevya. Mhe. Makonda:- Watu wanasema nakosea kumkamata muathilika wa dawa za kulevya na...
  2. Mwafwaa

    AFCON 2017 inavutiaje

    Habari za jioni wanaJF, Nitangulie kumshukuru Mungu kwa siku ya leo. Na ninamshukuru kunipa nguvu hadi kuwaangalia Zimbabwe wanavyomtesa bingwa wa jangwa(Algeria). Kwa mkiki wanaoupata Desert foxes sidhani ka Tz stars wanaweza uvumilia. Kiukweli soka la bongo tupunguze siasa
Top Bottom