Search results

 1. Ruwamangi

  Graduates sikilizeni kutoka kwa malegend wa kitaa...

  Ndugu wenye vijisenti wanakukimbia[emoji1787][emoji1787]
 2. Ruwamangi

  Ukiwa mwanasiasa hakikisha unatenga muda wa kusoma na kuwaelewa wana falsafa wa enzi. Ni hitaji muhimu la maamuzi utakayofanya

  Nantombe Mushi, kama mtu anataka kuwa msomaji mzuri na aelewe anachosoma unamshauri afanye nini?
 3. Ruwamangi

  Ukiwa mwanasiasa hakikisha unatenga muda wa kusoma na kuwaelewa wana falsafa wa enzi. Ni hitaji muhimu la maamuzi utakayofanya

  Ni kweli kabisa tunaita "ukuaji wa Teknolojia" huu mchakato umeanza siku nyingi.
 4. Ruwamangi

  Ukiwa mwanasiasa hakikisha unatenga muda wa kusoma na kuwaelewa wana falsafa wa enzi. Ni hitaji muhimu la maamuzi utakayofanya

  Ni sahihi mkuu mimi nimeanza kusoma Bible , najitahidi sana kuwa kwenye Utulivu wa kusoma ili nitoke na kitu na nafanya mazoezi ya kile nilichokisoma, nasoma habari za wafalme na Maisha kwa ujumla lengo nahitaji kuwa kiongozi bora.
 5. Ruwamangi

  Kwa kipimo hiki naghairi ndoa, sioi tena

  Sikubaliani na jamaa ku mjaribu lakini ameupata Ukweli. Kitendo cha bidada kumwekea Masharti xboy wake awe anampigia kwa utaratibu. Huyo mwanamke hafai huwezi kumwamini tena Ni heri kuvunja uchumba kuliko ndoa Vunja Haraka sana. Zinaa ni mbaya sana mkuu itakuondolea heshima yako kijamii na wewe...
 6. Ruwamangi

  Afisa wa NIDA na Watanzania Hii ni sawa?

  Haya mambo yanakera sana unaweza ukajikuta unajulikana mpaka na mfagizi maana kila siku uko ofisi za nida
 7. Ruwamangi

  Afisa wa NIDA na Watanzania Hii ni sawa?

  ni cheti cha darasa la saba Kina majina tofauti na niliyo jisajili nayo Nida je watakubali maana nahofia nisije anza huo mchakato wa kukitafuta niwaletee aseme tena hiki ni tofauti
 8. Ruwamangi

  Afisa wa NIDA na Watanzania Hii ni sawa?

  Pole sana ilikuwa ni issue ya ku change Jina?
 9. Ruwamangi

  Afisa wa NIDA na Watanzania Hii ni sawa?

  Kina majina tofauti na niliyo jisajili nayo Nida je watakubali maana naohofia nisije anza huo mchakato wa kukitafuta niwaletee aseme tena hiki ni tofauti
 10. Ruwamangi

  Afisa wa NIDA na Watanzania Hii ni sawa?

  Mkuu huu ushauri unahusiana na Mleta mada?
 11. Ruwamangi

  Afisa wa NIDA na Watanzania Hii ni sawa?

  Ndugu Wanajamiiforums Naomba kujua hili maana huyu afisa wa Vitambulisho Vya Taifa Nida amenihangaisha sana Sijui ni sahihi kutumia lugha hiyo. Lakini sijui kama kuna mwingine anapitia changamoto Kama hii au ndio mfumo wa Nida usiotaka kusikiliza kwangu tu? Nilijiandikisha Nida 2018 kwa majina...
 12. Ruwamangi

  Nyota ya Hichilema yazidi kung'ara , aitwa Bunge la Marekani , World Bank , aonana pia na maofisa wa EU na IMF

  Hechillema kifupi amepewa mzigo na utawala uliopita lazima aendelee kuwapigia wazungu magoti kama watangulizi wake ambao walikuwa watawala wa mabavu. Namfananisha hichelema kama Mke aliyefiwa na mume amebaki mjane analia hajui familia ataiendeshaje
 13. Ruwamangi

  Nyota ya Hichilema yazidi kung'ara , aitwa Bunge la Marekani , World Bank , aonana pia na maofisa wa EU na IMF

  Athari za hayo mabango huwezi kuyaona kwa sasa time will tell
 14. Ruwamangi

  CCM yawataka Wawakilishi wake kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara

  Pengine ni utoto mkuu unamsumbua, ame ni qoute na mimi huu ujinga sijamwelewa hata
 15. Ruwamangi

  CCM yawataka Wawakilishi wake kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara

  Tanzania ni kubwa mkuu huku kwetu enzi ya Magufuli walikuwa wakitatua. Uongozi ni kipawa kuna kiongozi mmoja yupo mitandaoni sana Antony mtaka ni kioo cha viongozi wanaotambua wajibu wao
 16. Ruwamangi

  CCM yawataka Wawakilishi wake kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara

  Nachelea kusema hujui shunghuli za mikutano na faida zake.
 17. Ruwamangi

  CCM yawataka Wawakilishi wake kushughulikia matatizo ya wananchi badala ya kufanya vikao vya mara kwa mara

  Ni sawa! Lakini nasikitika kuwambieni nyinyi Viongozi wa Ccm hawa wabunge, madiwani na Wenyeviti wa vitongoji waliopita bila kuchaguliwa ni ngumu kuelewa hilo. Wako bize wakijiandaa na uchaguzi mwingine ndani ya ccm
 18. Ruwamangi

  Kuna tatizo kuoa mwanamke mwenye mtoto?

  Abadilike ukiwa ulimkuta akiwa hana mtoto
Top Bottom