Search results

  1. ARUSHA01

    TARURA mkoa ARUSHA tunaomba ufafanuzi juu ya hili

    Juzi jumamosi nilkuwa nimepaki gari hospitali ya mkoa sehemu husika pale nje Wakati natoka nikakuta nimewekewa chuma na agent wa Tarura (Ngare) kwa madai gari inadondosha maji ya AC na fine ni shilingi 60,000 ,I was shocked on this, kwa ufahamu wangu nilidhani ni mafuta (diesel+oil) wao wana...
Top Bottom