Search results

 1. ELI-91

  WHO lalalamika ukosefu wa ushirikiano kutoka Tanzania kuhusu uwezekano wa uwepo wa visa vya Ebola

  (Mods tafadhari msiunganishe uzi huu na ule mwingine wa propaganda unaodai WHO wamesema hakuna ebola nchini) Kwa mujibu wa BBC na taarifa rasmi ya WHO: Shirika la afya duniani limelalamikia ukosefu wa ushirikiano kutoka serikali ya Tanzania katika utoaji taarifa kuhusu visa vinavyoshukiwa kuwa...
 2. ELI-91

  Rwanda yatuhumiwa 'kupika' takwimu za uchumi kwa manufaa ya kisiasa

  Jarida la Financial Times (FT) linaripoti kuwa baada ya uchunguzi wa muda mrefu limegundua kuwa nchi ya Rwanda imekuwa ikichakachua takwimu zake za umasikini nchini humo, ikumbukwe kuwa France24 ilisharipoti mwaka 2015 kuwa serikali ya Kagame inachakachua takwimu zake za uchumi. Uchakachuaji...
 3. ELI-91

  Ebola yaingia Uganda. Kenya na Tanzania zachukua tahadhari

  Mlipuko wa ebola uliotokea huko mashariki ya DRC umeanza kuvuka mipaka baada ya mtoto mmoja nchini Uganda kufariki kutokana na homa hiyo hatari. Mtoto huyo na familia yake walisafiri kwenda DRC na inaonekana walirudi Uganda na maambukizi, watu wengine 7 wamekutwa na dalili za ugonjwa huo...
 4. ELI-91

  Hali ya sarafu yetu yazidi kuimarika, pongezi kwa serikali ya Magufuli

  Pongezi kwako JPM na waliokupa taarifa na ushauri juu ya hatua za kuchukua. Sarafu yetu inapopoteza thamani ni mzigo kwetu sote. Mwanzoni mwa mwezi wa tatu hali ilikua mbaya sana na shilingi haikua 'stable' kabisa, ilikua kila siku mpya inazidi kuporomoka. Lakini kwa sasa hali imetengamaa, japo...
 5. ELI-91

  Je, watumishi wa umma watarajie nyongeza ya mishahara 2019/2020?

  Swala la maslahi ya watumishi limekua kitendawili katika awamu hii ya tano, kuna mengi yasiyo elezeka, baadhi ya watumishi wamepanda madaraja na vyeo huku wengi wakiendelea kupiga 'mark time'! kima cha chini cha mishaharahakija badilika, kama TGS... ilikua TSh 200 mwaka 2016 imeendelea kuwa 200...
 6. ELI-91

  MAMBO YA KUJIVUNIA KWA RAISI MAGUFURI MWAKA 2017

  Kuna siku mheshimiwa raisi alilalamikia watumiaji wa mitandao kuwa watu wa kukosoa kilakitu kana kwamba hakuna zuri hata moja lililokua likifanywa na serikali yake, Kwa kiwango fulani alikua sahihi, pamoja na yale tusiyokubaliana nayo lakini kuna mambo mengi mazuri yaliyo washinda watangulizi...
 7. ELI-91

  Hatua 7 kuelekea udikteta kamili

  (sio lengo langu kumkosea heshima yeyote, ni uhuru tu wa mawazo kwa mujibu wa katiba) Kwa viongozi waliochaguliwa kidemokrasia kujilimbikizia madaraka huwa changamoto kidogo kwao, lakini wengi hupiga hatua zifuatazo kuelekea kuwa ma dikteta kamili 1. Kujiongezea wigo wa mamlaka kupitia...
 8. ELI-91

  CHADEMA hawana mpango wa kushika dola

  Tokea raisi wa awamu ya 5 ashike madaraka, yeye na chama chake (CCM) wamekua wakizichanga karata zao kwa umakini na mikakati ya hali ya juu kuhakikisha 2020 wanaendelea kuongoza nchi na wanaongeza idadi ya majimbo. miongoni mwa mambo waliyo yanfanya ni; kuteua wakurugenzi wa halmashauri za...
Top Bottom