Search results

 1. Dagger-v

  Dunia inaenda kasi mnoo kumsubiria mwanamke akupende kwa jinsi ulivo ni kupoteza muda

  Habarini wakuu, Maendeleo ya sayansi na technology yamechangia sana swala la mahusiano kuzidi kuwa complicated,Unaweza ukawalaumu sana hawa viumbe ( Wanawake) kwamba labda wana tamaa sana, wamesahau majukumu yao, wanapenda sana status na watu wenye pesa Lakini ukweli ni kwamba ,mwanamke wa...
 2. Dagger-v

  Relationship is a team work, wanawake msiyachukulie mahusiano kama sehemu ya kutatua matatizo yenu ya kiuchumi

  I hope everyone is fine, Mahusiano yeyote ili yaweze kufanikiwa inabidi pande zote mbili ziwe na ushirikiano, ila hali ni tofauti kabisa kwa asilimia kubwa ya wanawake tulio nao, wamegeuza mahusiano kama ndo kitega uchumi kikuu kwao. Kwa dunia ya sasa sio swala la ajabu kukuta mwanamke akiwa...
 3. Dagger-v

  Fundi hata umbane vipi akitaka kukuibia atakuibia tuu

  Habarini wakuu, Fundi yeyote ana taaluma ambayo wewe huna jifunze namna ya kuishi na fundi kupunguza chances za kukuibia Fundi yeyote yule unapo mpa kazi mpe uhuru wa kuifanya ile kazi cha muhimu ni kuzingatia ubora wa kazi yako Fundi asipokuibia hela ,atakuibia materials, asipo kuibia...
 4. Dagger-v

  Utajiri wa kizazi Cha kwanza (First Generation) Huwa mgumu sana

  Nawasalimu Kwa Jina la Jamhuri Kazi iendelee Utajiri wa kizazi Cha kwanza Huwa mgumu mno kwakua ,muhusika anakuwa Hana rasilimali za kumuwezesha kufanikisha mambo yake hvyo bhac ...mtaji pekee alionao ni Akili yake Tofauti na utajiri wa kurithi ambayo muhusika anakua na jukumu la kuendeleza...
 5. Dagger-v

  Ukitaka kujua Watanzania wengi hawapendi kazi, zunguka maofisini muda wa lunch

  Habarini wakuu, Kwa Tanzania hapa, asilimia kubwa ya watu wafanya kazi Ile basi tuu, wachache tuu wana uzalendo na kazi lakini wengi hawana moyo kabisa wa kufanya kazi. Ukipita maofisini utagundua wafanyakazi wengi iwe private sector au serikalini wanazingatia muda wa lunch kuliko muda wowote...
 6. Dagger-v

  Tamaduni Music Punchlines Special Thread

  Wakuu Umofia kwenu, Karibuni katika Special Thread ya Tamaduni Music Hapa tutakua tunatupia Line Kali tulizowahi kuziskia kupitia tracks za members wa Tamaduni Tamaduni Music members Nikki mbishi Stereo One the incredible Songa P the mc Zaiid Azma Ghetto ambassador Kad go Dizasta...
 7. Dagger-v

  Tendo la ndoa linahitaji ushirikiano, gawaneni majukumu muwapo kitandani

  Nawasalimu kwa Jina la Jumhuri wakuu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Tendo la ndoa ,ili lifanyike vizuri na Kila mmoja aweze kufika kilele Cha Raha ni jukumu la Kila mmoja kuwa na utayari wa akili na mwili , Ikitokea mmoja wapo hajawa tayari kiakili bhac ni wazi ataulazimisha mwili tuu na...
 8. Dagger-v

  Utayarishaji chapati kwa kutumia sponji ni tishio kwa afya ya mlaji

  Habari zenu, Kumekuwa na mtindo mpya wa kuchoma chapati nyingi kwa wakati mmoja kwenye 'maframpeni' makubwa sehemu za migahawa mikubwa ili kuweza kukidhi huduma kwa wateja kwa haraka. Lakini kutumia sponge (yako kama godoro) katika utengenezaji inaharatarisha afya ya mtumiaji kwakuwa particle...
 9. Dagger-v

  Ukiweza kuishi na watu, Umekubali kuwa mtumwa

  Hi everybody .... Kumekuwa na kawaida ya Watu wapole wanaokubali kila wanachoambiwa bila kupinga ...wanajua kuishi na watu Watu wenye kutoa msaada muda wote pindi inavohitajika kufanya hvyo...wanajua kuishi na watu Watu wanaofanya yale yanayowapendeza wengine machoni wanajua kuishi na watu...
 10. Dagger-v

  Fixed account NMB Tanzania

  Habari wakuu, Naomba kujua ,kuhusu issue za fixed account Nmb bank. Nimesikia skia kuwa rate inaanzia 5% to 9.5% per year Sasa nataka mwenye ufahamu wa hz rates zao atolee ufafanuzi. Kuanzia 1000,000 to 10,000,000 kwa mwaka. Rate ikoje kwa mwaka. Asanteni.
 11. Dagger-v

  NMB Chap chap Account

  Habari za muda na wakati huu wapendwa Nimewahi kusikia kuwa hii aina ya Bank account (Nmb chap chap Account ) huwa haina makato kabisa labda wakati wa Ku withdraw tuu ...Lakini naskia ukiwa unafanya saving kupitia hii account ...haitakiwi kuzidi 5m ....Ikizid hapo wanaifanya hii account kuwa...
 12. Dagger-v

  Happy birthday to Me

  Leo ni moja Kati ya siku muhimu sana kwangu ...Nimeongeza mwaka mwingine ...A very happy birthday to me Thank you Lord ,[emoji120].....
 13. Dagger-v

  Watu wengi wanapenda kwenda sehemu za starehe, Ila wanaofanya starehe ni wachache. Wengine wanaenda kushangaa na kuzunguka zunguka tuu

  Habari wakuu, Ikawe heri sikukuu hii ya kuzaliwa kwa Yesu christo Kumekuwa na hii kasumba ya watu kupenda kujazana sehemu za starehe ambazo zinabamba.. kwa mfano kwenye bar zinavovuma na kujaza watu hata club. Ila Cha ajabu wengi wanakuja kushangaa tuu na wengine hushindwa hata kulipa...
 14. Dagger-v

  Kitendo cha wanawake kuona kuolewa ni bahati, Ni ishara tosha kuwa wamepoteza tumaini na wameshakata tamaa

  Nimekua nikitafakari sana, visa na migogoro ya wanandoa na mahusiano ya kawaida , ni matokeo ya utandawazi , asilimia kubwa ya wanawake wanataka kushindana na wanaume, Kiasili mwanamke aliumbwa kutawaliwa lakini baada ya miaka mingi kupita kiumbe huyu anataka kupindua matokeo , Lengo lao kuu ni...
 15. Dagger-v

  Bifu ya Nikki Mbishi na P the MC

  Wakuu habari zenu, Kuna beef mpya Kati ya Nikki Mbishi na P the MC, bado sijajua chanzo hasa. Ila nimeona Twitter wakipeana madongo na Kuna Track P the MC kaachia inaitwa ‘Futi Sita’ akimdiss Nikki mbishi By the way P amemchana sana Nikki nasubiria comeback ya Nikki Mbishi One love
 16. Dagger-v

  Mfanano wa wasaniii katika Sanaa na tansia kwa ujumla

  Habari za muda huu jf members , Poleni na Covid19's fever Let's us Go back to our topic. Katika Sanaa huwa ni nadra Sana kutokea wasanii wawili au zaidi kuwa na aina moja ya Sanaa ambayo ukiiangalia n km zinafanana iwe kwenye kuimba, au kuigiza ...katika Sanaa yetu hapa Bongo tumebahatika...
 17. Dagger-v

  Wakuu nimefarijika Sana kujiunga katika forum hii

  Habari zenu wakuu ,Natumaini wote ni wazima ... Nafarijika kuingia katika forum hii, Tuendelee kupeana support kupitia mada mbali mbali zinazotupa elimu,burudani na faida mbali mbali One love
Top Bottom