Search results

 1. xtaper

  Wazo kwa ving'amuzi (DStv, AZAMtv etc)

  Kwa kawaida makampuni haya yanauza airtime za TV zao kwa packages mfano DSTV family, compact, premium etc... ikiwa na idadi ya channels kulingana na aina ya package. Kiuhalisia mtu huwezi kuangalia all the channels (kuna channels kadhaa tu ndio your favorite). Mfano, Unaweza lipia kifurushi cha...
 2. xtaper

  Nataka niuze story kwa msanii wa bongo movie, nipeni utaratibu na mbinu

  Wakuu habari zenu, Mimi ni kijana na nimepitia mengi katika maisha yangu ya kimahusiano. Nimekua na kila aina ya wanawake tangu nilipokua kapuku mpaka leo naweza kwenda 4ways na kulipia bill wateja wote waliopo kwa muda huo. Kutokana na love life yangu nimeiona ni story nzuri na itauza sana...
 3. xtaper

  JF KUNA WANAWAKE WAZURI NA WIFE MATERIAL

  Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda? Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa nakupenda, niamini mpenzi *°·.¸¸.° [emoji813] °·.¸¸.°* Felister yna2 doughter feysher Jamani shemeji/wifi yenu ni mmoja...
 4. xtaper

  Dstv, tatizo ni nini leo?

  Wakuu habarini. Nimetoka mihangaikoni leo narudi nyumbani naweka miguu juu ya kochi nachukua remort controller nawasha TV nakutana na message hii (chini) kuonyesha kuna tatizo mitambo ya DSTV leo. Ni masaa matatu sasa na sioni dalili za kuona chochote? Nyie DSTV, kwahiyo Tshs. 109,000/= yangu...
 5. xtaper

  Ukweli Mchungu: Kijana shtuka! Hatma ya maisha yako iko mikononi mwako

  Salute folks, Ni matumaini yangu wote mu wazima wenye afya njema kutuwezesha kuendelea na shughuli zetu za kila siku za uzalishaji. Nimekua member humu kwa muda mrefu kiasi chake, na leo nikaona sio mbaya kushirikiana na wanaJF wenzangu maneno mawili matatu. Najua kuna mada nyingi nimepost back...
 6. xtaper

  Uzi maalum wa funny quotes za watu maarufu

  Na we tupia yako
 7. xtaper

  Mpenzi analalamika sina muda naye

  Wakuu poleni na uchovu wa siku nzima. Nina demu wangu ambae tulifahamiana na kuanza mahusiano kwa muda sasa. Ila kuna tatzo kidogo katika mahusiano yetu. Mpenzi huyu ananilalamikia almost kila siku kwanini simtafuti kwenye simu wala face to face ilhali anajua ugumu na ubusy ninao kuwa nao...
 8. xtaper

  Ushauri: Wapi ilipo bata/starehe ???

  Wakuu habari zenu. Muda kidogo nilipiga deal flan na limelipa nimeingiza 25M kwa mtaji wa 2M tu kwa muda wa miezi miwili. Nimetenga 6M kwa kure-invest, 8M for savings, 5M for normal expenses nikisubiri return nyingine after two months tena, 3M for emergencies and another 3M for fun. Kama...
 9. xtaper

  Madereva tusimuliane vituko vya mabarabarani

  Wakuu habari zenu Ni matumaini yangu mu wazima. Leo nimekaa nikakumbuka baadhi ya vijistory vya kijiweni kuhusu vimbwanga vinavyotokea mabarabarani hususani safari za mikoani na nje ya nchi ambazo mara nyingi hufanyika mida ya usiku. Vimbwanga ni vingi kama kukuta mawe yamepangwa barabarani...
 10. xtaper

  New Avatar alert: My real photo

  Baada ya maombi mengi ya wadau (especially wadada) ninaokutana nao PM kutaka tufahamiane zaidi kikubwa kikiwa ni kuonyeshana pic zetu halisi. Nimeamua kuweka pic yangu halisi kama avatar. Nb: nitakua makini kwenye uchangiaji wa mada coz watu wasiojulikana wapo na hawajulikani wako wapi...
 11. xtaper

  Mada korofi: prostate massage faida na hasara zake

  Wakuu hivi mshkaji kufanyiwa prostate massage na mke/manzi wake kuna effects gani? Je faida zake ni zipi na madhara yake ni yapi? Wavuji wa mambo sogeeni hapa.
 12. xtaper

  Msaada. Nimejikuta nimezama kwa mchepuko

  Dah nashindwa hata kuandika. Niko na majonz makubwa baada ya kutibuana na mchepuko ambaye nafanya nae sehem moja ya kaz. Nilikua natamani nimuache coz alikua na vizinga vilivyopitiliza. Mfano anaweza akakuambia naumwa naomba hela ya dawa na mchana akakuambia naomba hela ya nguo ya kuendea kwa...
 13. xtaper

  Special thread: Uzi maalum kwa tuliowahi kugegeda wake za watu

  Wakuu habari zenu. Baada ya majaribu ya hapa na pale na penzi la mke wa mtu naomba kuleta mrejesho kwa kufungua uzi huu. USHAURI: Mke wa mtu anadai ananipenda - JamiiForums Wakubwa wameelewa. Ila sio siri mke wa ntu ntamu sana sijui wanawekaga nini kwenye pochi manyoya zao.
 14. xtaper

  Tunguli zimenibamba, Mobetto

  Kijana Diamond tena katika mashairi ya wimbo wa "Katika"
 15. xtaper

  Kuna athari yoyote kuendesha gari bila funguo?

  Habari zenu wanaJF, nina swali kidogo kama heading hapo juu. Je kuna athari zozote kuendesha gari (automatic) ukiwa umechomoa funguo? Sent using Jamii Forums mobile app
 16. xtaper

  Kuna athari yoyote kuendesha gari bila funguo?

  Habari zenu wanaJF, nina swali kidogo kama heading hapo juu. Je kuna athari zozote kuendesha gari (automatic) ukiwa umechomoa funguo? Sent using Jamii Forums mobile app
 17. xtaper

  Live kutoka TBC 1: Sherehe ya kuchangia ujenzi wa vyoo mashuleni

  Aiseeeee kuna broken english zinatandikwa huko mbaka kichwa kinaniuma. "..... because there is no women teachers to teach girls...." Magret Sitta Sent using Jamii Forums mobile app
 18. xtaper

  Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi wanapenda kuwachungulia walio kwenye daladala?

  Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi au wanapenda kuwachungulia kwa kuwashangaa walio kwenye daladala? Unakuta barabarani dreva anaacha kuangalia mbele badala yake anachungulia kwenye daladala Sent using Jamii Forums mobile app
 19. xtaper

  USHAURI: Mke wa mtu anadai ananipenda

  Habarini wakuu Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje. Kuna binti fulani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizingatia na mimi nilikuwa namtamani enzi akiwa hajaolewa?
 20. xtaper

  Nataka kununua social network

  Mdau yeyote mwenye social network na ameshindwa kuiendeleza njoo na jina la social network yako na web or app niione then tuongee business
Top Bottom