Search results

 1. Idrisa1510

  INAUZWA Epson Printer inauzwa

  Printer ya EPSON L382 kwa Tsh 280,000/= tu . Iko clean kama mpya haijawahi kurefill tangu upya wake. Ina 1. photocopy colored na black &white 2. printing colored na black & white 3. scanning 4. Photoprinting ( picha za passport na size nyingine Wino wake ni bei mdogo sana. Chupa ni TSh 3000 tu...
 2. Idrisa1510

  Canon Sigma lens 70-300mm f/4-5.6 DG inauzwa

  Canon Sigma 70-300mm f/4-5.6 DG Macro Telephoto Zoom Lens for Canon SLR Cameras Condition: Used Price: 200,000/= Call/SMS 0743534388
 3. Idrisa1510

  Nauza vifaa vya saluni ya kiume kwa bei ya jumla

  Habari! Ninauza vifaa vya saluni ya kiume. Saloon iko maeneo ya Ubungo Riverside, mtaani Kama mita 500 kutoka barabara kubwa. KAMA UKIHITAJI KUENDELEA KUFANYA KAZI KATIKA FREM HII HII NAKUACHIA MPAKA MWEZI WA 12, MAANA KODI NIMELIPIA MPAKA MWEZI WA 12. Baada ya hapo kila mwezi kodi ni Tsh...
 4. Idrisa1510

  Jipatie Nikon D3200 kwa bei ya kuchukua.

  Nauza Kamera aina ya NIKON D3200 . Inapiga picha na kushoot video kwa quality ya juu. Lens 18-55mm Nakupa na -Battery -Card 8GB -Begi la camera -Charger -Wire wa kuhamishia picha au video kutoka kwenye camera. Bei Tsh600,000/= Napatikana Tegeta nyuki. Delivery ndani ya Dar es salaam...
 5. Idrisa1510

  Uchaguzi 2020 Namuona Magufuli akishinda Uchaguzi Mkuu 2020 kwa zaidi ya 50%

  Habari za mihangaiko watanzania wenzangu! Binafsi mimi siyo mfuasi wa chama chochote cha siasa hapa Tanzania. Mimi ni mtanzania ambaye kura yangu ninaitoa kwa mgombea kulingana na sera zake na ushawishi wake kwangu. Nimekua nikifuatilia baadhi ya kampeni za wagombea mbalimbali wa vyama tofauti...
 6. Idrisa1510

  Nahitaji godoro used kampuni yoyote

  Habari zenu wakuu. Nahitaji godoro la size ya 5 kwa 6, 4 kwa 5 au 6 kwa 6. Nimechoka kulalia mkeka, mbavu zinauma. Likiwa inchi 5 na kuendelea inapendeza. Sichagui kampuni kikubwa liwe kwenye hali nzuri inayoridhisha. Offa yangu Tsh 60,000/= mpaka Tsh 80,000/= LOCATION: DODOMA MJINI...
 7. Idrisa1510

  America in equivalence to africa

  Katika mifumo yangu ya maisha nilijikuta tu napenda mambo ya wamerekani weusi, nlikuwa napenda uvaaji wao "CASUAL" napenda namna wanavyochukulia maisha poa poa, kiasi kwamba nikajikuta na mm navaa zaidi kiamerica, nachukulia vitu poa tu mpaka nione hali imebadilika. Kuna kipindi ilinigharimu...
 8. Idrisa1510

  Covid-19 lockdown: Mtu mmoja aanguka na kufa India akijaribu kutembea 300KM kuelekea nyumbani

  Mwanaume mwenye umri wa miaka 39 ambaye alitembea kwa miguu kutoka Delhi kuelekea nyumbani kwake Madhya Pradesh kutokana na kizuizi cha kukaa nyumbani nchini India kufuatia mlipuko wa Covid19 aanguka na kufa baada ya kutembea kilomita 200. Mtu huyo alikua akifanya kazi katika restaurant moja...
 9. Idrisa1510

  Natafuta frame kwa ajili ya saloon ya kiume hapa Dar es Salaam

  Kama kichwa cha habari kinavyojieleleza. Natafuta frame kwa ajili ya kuanzisha SALOON ya KIUME. Frame iwe dar es salaam na iwe maeneo yaliyochangamka zaidi kama barabarani au mitaa yenye watu wengi. Offer yangu ni Tsh 50,000 kwa mwezi na nitakua tayali kulipia kwa miezi tutakayo kubaliana...
 10. Idrisa1510

  Ushauri: Kutokwa na uchafu kama maji mengi yasiyo na harufu sehemu za siri inaashiria nini?

  Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina mchumba wangu wa kike mwenye umri wa miaka 21. Anasumbuliwa na tatizo la kuamka akiwa ameloa na kuloanisha kitanda kwa uchafu kama maji mengi yanayomtoka sehemu za siri akiwa usingizini. Maji hayo hayana harufu na huwa yanamtoka usiku akiwa...
 11. Idrisa1510

  SEX AND FEELINGS

  A man can have sex with a lady and still don't have any feelings for her, men only need space to have sex but women need reason to have sex. A woman cannot have sex without feelings except sex workers. A man can travel for eight hours 'just to have sex with a female friend and yet, not love...
 12. Idrisa1510

  MSAADA LAPTOP AINA YA LENOVO THINKPAD T440P INASHINDWA KUSOMA DVD/CD

  Kwa mwenye welewa anisaidie sababu ya hili tatizo maana kila niki insert DVD disc inashindwa kisomwa kwenye computer. Either kuna driver yoyote inanipasa niwe nayo au vipi?. Mwenye welewa anisaidie, asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Idrisa1510

  Tujifunze kupitia kwa wenzetu wa Libya ya Muammar Gaddafi

  KIFO CHA MUAMMARY COLONEL GADAFI NA MPANGO WAKE WA GOLD DINAR KATIKA HARAKATI ZA KULIKOMBOA BARA LA AFRICA . Mapigano ya sirte Muammary Gadaf alianza kuhama hama kutoka nyumba moja kwenda nyumba nyingine (apartment) yote hiyo ni katika kuhakikishaa anaokoa maiasha yake na mda wote majeshi ya...
 14. Idrisa1510

  Nilichokikuta kwenye simu ya mpenzi wangu nimebaki njia panda, niendelee naye au nimuache?

  Kama heading hapo juu inavojieleza, nina mpenzi wangu na nimwaka watatu sasa tangu tulipoanzisha mahusiano. Yeye anasoma chuo cha Kati Mbeya diploma ya ualimu mwaka wa pili na Mimi Niko hapa UDOM mwaka wapili bachelor of science with Education. Walikua na rikizo ya mwezi hivi mmoja ambayo...
 15. Idrisa1510

  Muda kutoka Dodoma kwenda Mbeya

  Waungwana naomba anayefahamu muda utakaotumika Kwa isafiri wa bus kutoka Dodoma kwenda mbeya na nauli za mabasi anaweza kushare apa Sent using Jamii Forums mobile app
 16. Idrisa1510

  Nina Hali fulani kama ukungu mweupe kwenye ulimi

  Nina Hali fulani kama ukungu mweupe kwenye ulimi ambao umefanya nihisi kama ulimi umeungua na chai yamoto vile. Nimejaribu kwenda kwenye Duka la dawa nikapewa vidonge vya vitamin C. Nimetumia Kwa siku tatu bila mafanikio zaidi nakua kama natokwa na vijidonda vya mbalimbali kwenye nyama ya...
 17. Idrisa1510

  DISPLAY SCREEN YA LAPTOP HAIWAKI

  Ninatumia laptop aina ya Lenovo T440p. Nimeiwasha inaonyesha kua imewaka lakin screen imegoma Ku display (kuwaka). Mwenye shortcut ya namna ya kufix hili tatizo anisaidie tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
 18. Idrisa1510

  Naweza kufanya application za kuomba chuo mwakani hali yakua ni mwanafunzi wa chuo fulani

  Mimi tayali ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Dodoma, nilichaguliwa katika Program ambayo sikua interested nayo na harakati za kubadili zilishindikana. Hivi mwakani ninaweza kuomba tena chuo kingine au hikihiki program nyingine hali yakua tayali ni mwanafunzi ninayeebdelea na masomo? Wakuu...
 19. Idrisa1510

  Naomba ushauri: Nataka kuhairisha masomo kwa kushindwa kukidhi gharama

  Naombeni msaada wa mawazo. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wakwanza wa chuo kikuu Dodoma (UDOM). Nilichaguliwa chuoni hapa kusoma BACHELOR OF SCIENCE WITH EDUCATION bahati mbaya sikufanikiwa kupata mkopo wa kujikimu nakugharamikia masomo. Mzazi ni masikini na alijichangachanga nikafanikiwa kulipa...
 20. Idrisa1510

  Ushauri nataka kuahirisha masomo kwa sababu za kushindwa gharama za masomo

  Naombeni msaada wa mawazo. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wakwanza wa chuo kikuu Dodoma (UDOM). Nilichaguliwa chuoni hapa kusoma BACHELOR OF SCIENCE WITH EDUCATION bahati mbaya sikufanikiwa kupata mkopo wa kujikimu nakugharamikia masomo. Mzazi ni masikini na alikichangachanga nikafanikiwa kulipa...
Top Bottom