Search results

 1. Etwege

  Wazee wa kichaga wamtaka Dkt. Kimei kuomba radhi na kufuta kauli yake

  Mbunge wa jimbo la Vunjo Dk Charles Kimei amekalia kuti kavu kutokana na kauli yake yenye ukweli usiotia shaka aliyoitoa bungeni kuwa wachaga wanapenda biashara ya magendo na kukwepa kodi. Kutokana na kauli hiyo wazee wa kichaga wameichukulia kama ni dharau na kejeli kwa wachaga wote na...
 2. Etwege

  Harmonize: Hayati Magufuli alinisaidia niliponyanyaswa na Diamond Platnumz

  Mwanamziki wa kizazi kipya na mkurugenzi wa Konde gang Hamornize ameeleza mazito yaliyomfanya aondoke Wasafi ya Diamond Platinumuz. Hamornize amesema ili kuondoka wasafi label ilimlazimu kulipa millioni 600 kama gharama ya kuvunja mkataba hata hivyo alizungushwa kupewa barua hiyo ya kuvunja...
 3. Etwege

  Mgao wa maji Dar: Hotel ya Sea Cliff yawaonya wateja wake

  Hotel ya kimataifa yenye hadhi ya nyota tano ya sea cliff imewaonya wateja wake kuacha kutumia maji vibaya pindi wanapokuwa kwenye hotel hiyo kwani wameambiwa maji hayatatoka mpaka siku ya jumamosi jioni kutokana na mgao wa maji unaendelea kwenye jiji la Dar kwa sasa. Jionee press release yao...
 4. Etwege

  Godbless Lema: Rais Samia na Makamba wanatafuta mbinu za kumbebesha lawama hayati Magufuli

  Mbunge wa zamani wa Arusha mjini aliyetimkia Ulaya baada ya maisha kumpiga kwa kuzidiwa na madeni Godbless Lema amefichua mbinu chafu za kutaka kumsingizia kila kitu na kumtafutia lawama aliyekuwa Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli. Lema amefunguka zaidi kwa kusema Rais Samia na waziri wake...
 5. Etwege

  Clouds Media: Hatuhusiki na kumshitaki Makonda

  Mtangazaji Mwandamizi wa Kituo cha Clouds Media Sam Sasally Amesema Kuwa Kituo Cha Clouds Hakihusiki na Taarifa zilizosambazwa Kwenda Kumshtaki Mahakamani Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw PAUL MAKONDA Akichambua Taarifa Iliyoandikwa Katika Gazeti la RAIA MWEMA Inayosema Wakili wa...
 6. Etwege

  Tatizo la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kusema uongo mfululizo lichunguzwe

  Alianza Waziri wa Nishati January Makamba kuwadanganya watanzania kuwa mgao wa umeme unaotikisa nchi kwa sasa unatokana na awamu ya tano kuzuia maintanance baada ya hayati Magufuli kusema hataki kusikia mgao wa umeme na hivyo vifaa kupata uchakavu uliosababishwa na kuwaka mfululizo kwa miaka 5...
 7. Etwege

  Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

  Nape Nnauye aliposimama mbele ya bunge na kuhoji matumizi ya mkopo wa Dola bilioni 9 uliokopwa na serikali ya awamu ya tano, Wabunge baadhi waliduwaa na wengine wakagonga meza, walikubali? Hatujui, walikataa? Hatujui? Aliyekuwa Rais wa Awamu ya nne, Jakaya Kikwete aliwahi kusema kwamba...
 8. Etwege

  Wakurugenzi wa Mashirika ya Umma, kama wote wangekuwa kama Masanja Kadogosa nchi ingefika mbali

  Wakurugenzi wa mashirika ya uma wengi wamelala isipokuwa mkurugenzi wa shirika la reli TRC mh Masanja Kungu Kadogosa. Kutokana na maandalizi ya sikukuu za mwisho wa mwaka jana Masanja Kadogosa amesafiri kwa Treni kutoka Dar hadi Arusha ili kukagua na kuhamasisha matumizi ya usafiri wa treni...
 9. Etwege

  Arusha: Rufani ya Sabaya yapokewa Mahakama Kuu

  Rufani ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya imepokelewa mahakama kuu kanda ya Arusha ikiwa na hoja nzito 10 za kupinga kifungo cha miaka 30 jela alichofungwa baada ya kuhisiwa kuiba simu ya Tecno na hela taslimu laki tatu na elfu sitini. === Arusha. Ikiwa zimepita siku 22 tangu...
 10. Etwege

  Mbunge Nicodemas Maganga: Mama anacheza peke yake, tunaenda kupigwa

  Mbunge Nicodemas Maganga wakati anachangia mpango wa taifa bungeni amewaonya mawaziri kuwa waache kuwa na mipango mingi isiyotekelezeka na sasa hivi wamemwachia rais Samia acheze peke yake na kila anapotoa pasi wanakutwa wamezubaa. Mh Maganga ametolea mfano serikali iliwahakikishia wananchi...
 11. Etwege

  Unabii wa Tundu Lissu unaosubiriwa kuitikisa Tanzania

  Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu ameshauriwa kama mtu mzima aombe msamaha kwa watanzania kwani mtu mzima akivuliwa nguo huchutama na siyo kukimbia uchi. Ni miaka sita sasa tangu Tundu Lisu aitabirie Tanzania mabaya ikiwemo kushitakiwa MIGA , ndege kukamatwa, uchumi kufilisika, kunyimwa...
 12. Etwege

  CHADEMA na ACT Wazalendo ni wanafiki sana tunahitaji chama kipya cha siasa

  Akiwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, CHADEMA walimchafua sana Makonda na kumsingizia mambo mengi. Ugaidi,Uuaji, utesaji n.k tena walienda mbali na kumhusisha na dhulma kubwa kubwa,rushwa na upigwaji risasi wa Tundu Lissu. CHADEMA waliuaminisha Umma kuwa Makonda atakuja shtakiwa kwa makosa yake lukuki...
 13. Etwege

  Kelele za vyuma kukaza hutakaa uzisikie tena kwa sababu wakubwa wanaogelea kwenye pesa sasa hivi

  Mara nyingi watu wa hali ya chini wamekuwa wakiimbishwa nyimbo wasizozijua hasa lengo lake ni nini. Licha ya sasa hivi watu wa hali ya chini kuwa na hali mbaya jiuchimi, huduma muhimu kwa jamii kupanda bei kwa kiwango cha kutisha, kuharibiwa biashara zao na wengine kuanza upya kabisa baada ya...
 14. Etwege

  Kimeumana Bungeni! Spika Ndugai ahoji kama kuna mgao wa umeme nchini

  Spika Job Ndugai amehoji tatizo la kukatika kwa umeme nchini na kuitaka kamati ya nishati kukutana haraka na bodi ya mpya ya Tanesco ili kuwaeleza kazi kubwa iliyoko mbele yao. Sakata hilo liliibuliwa na mbunge wa Kilombero mh Abukary Assenga aliyetaka kujua ni kwa nini Tanesco wanakata umeme...
 15. Etwege

  Dkt. Mpango: Kuna wana CCM wanahujumu ujenzi wa SGR na Bwawa la Nyerere

  Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango wakati akihitimisha ziara yake mkoa wa Pwani ameeleza kusikitishwa kwake na taarifa alizozipata kuwa kuna watu wakichochewa na baadhi ya viongozi wa CCM wanashiriki kuiba cement inayotumika kwenye ujenzi wa bwawa la Nyerere na kuiba baadhi ya vifaa pia kwenye...
 16. Etwege

  CCM: Tutamjadili kwanza Benard Membe

  Chama cha Mapinduzi kimemjibu aliyekuwa mgombea urais wa Act Wazalendo mwaka 2020 na baadae kutangaza kujitoa kwenye chama hicho, na sasa ametangaza safari ya kurudi CCM chama chake kilichomlea na baadae kumfukuza kutokana na utovu wa nidhamu kuwa kitamjadili kwanza ili wamuone kama wamkubalie...
 17. Etwege

  Bernard Membe huna sifa wala uwezo wa kuwa 'campaign manager' wa Rais Samia

  Aliyekuwa mgombea urais wa ACT Wazalendo kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 na akaishia kufanya kampeni kwenye kijiji cha Rondo huku akijinasibu kuwa anataingia na kufunga goli dakika ya 90 bwana Bernard Membe, leo mbele ya waziri mkuu ametangaza kumuunga mkono rais Samia na kusema yupo tayari kuwa...
 18. Etwege

  Simulizi ya mtu mrefu kutoka Chato hadi Marekani

  The giant Julius mwenye urefu wa futi 7 na nchi 5 aliyezaliwa wilayani Chato miaka 26 iliyopita ametajwa kuwa ndiye binadamu mrefu zaidi nchini Tanzania kwa sasa. The giant Julius amesimulia changamoto anazokutana nazo pia na alivyoanza kucheza buskatball mchezo uliomuwezesha kwenda jimbo la...
 19. Etwege

  Kwa mbinu hii MATAGA mmefanikiwa mbele ya BAVICHA

  Hivi ni nani aliwaambia Bavicha kuwa MATAGA hawamtaki mama? Naona wameingia kichwachwa kwamba ccm hawamtaki mama hivyo wanadhani wakimshangilia sana mama basi watakuwa wameuwa legacy ya Magufuli bila kujua kuwa mama mwenyewe ni legacy ya Magufuli Hiyo ni mbinu ya kurudi nyuma na kutengeneza V...
 20. Etwege

  Kauli, matamko ya Rais Samia yaliyoleta umoja na utulivu wa nchi

  Amani iwe nanyi, Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara baada ya msiba mzito wa kuondokewa na rais Magufuli. Binafsi ninazo kauli mbili ,kama na wewe...
Top Bottom