Search results

 1. ROBERT MICHAEL

  NMB huduma kwa wateja muitoe kama mmeshindwa kuwajali wateja

  Leo siku nzima , najaribu kuwapigia simu huduma kwa wateja simu inaita dk 30 bila kujibiwa. Hao, mliowaajiri hiko kitengo cha huduma kwa wateja kazi yao ni ipi. Badilikeni, miamala imekwama na watu wanawapigia kupata suluhisho, simu hampokei .Hamjui mnakwamisha shughuli za watu. Ndio maana...
 2. ROBERT MICHAEL

  SUMATRA: Muwe na huruma na Watu wa Kibamba na Kiluvya

  Mlipanga nauli ya mwendokasi kuwa kutoka Gerezani /Kivukoni au Morocco kwenda Mbezi ni Shillingi 800 mbona leo imekuwa 1050 .Mnaanza kuzuia magari yatokayo Mlandizi kuishia Mbezi .Je, mpo sahihi kwa hill baadae mkitumbuliwa mtasema mnaonewa maana mambo mengine kukomoana tu.
 3. ROBERT MICHAEL

  Airtel jirekebisheni

  Unampigia mtu simu hajapokea simu mnaandika call ended na mnakula salio la sh 10.Hatua inayofata nikupiga simu mbele ya wakaguzi wa TCRA ili mnirudishie sh 10 mlizozikataga .Jirekebisheni.Fedha yenyewe ngumu mtaani.
 4. ROBERT MICHAEL

  Heart attack na wanawake.

  Toka nipate ufahamu wa kutambua na kujua vitu, sijawahi kusikia mwanamke amepata heart attack.Nilikuwa naomba wajuzi wa mambo wanaoweza kuelezea uhusiano uliopo wa jinsia ya kike na huu ugonjwa .
 5. ROBERT MICHAEL

  Kongamano la maonesho ya tatu ya mafuta na gesi asilia Tanzania

  Lengo: Maendeleo ya sekta ya mafuta na gesi asilia kwa manufaa ya watanzania. Eneo: Mlimani city Wadhamini: Wizara ya Nishati,TPDC,Ewura,UDSM Wahudhuriaji: Watanzania pekee Mgeni rasmi: Steven Masele Lugha: Kiswahili Muda wa kongamano:Siku 2
 6. ROBERT MICHAEL

  Mtoto wa uwanja wa ndege Zanzibar apatikana bandarini

  Mtoto Happines Ryoba aliyetoroka kwao huko Mkuranga hapo jana apatikana leo bandarini Dar es Salaam. Akihojiwa na ITV huyo mtoto alisema huwa anaota ndoto chafu. Mama mtoto alisisitiza hayo matatizo ya mwanawe haswa ya kishirikina yamesababishwa na mumewe ambaye ni baba mtoto.
 7. ROBERT MICHAEL

  Mtoto aliyepanda ndege kwenda Zanzibar bila kuonekana ametoweka tena

  Mtoto Happiness Ryoba ambaye alisafiri Zanzibar bila kuonekanika na wafanyakazi wa kiwanja cha ndege cha Dar es salaam ametoweka tena nyumbani kwao huko kijiji cha Mkokozi ,kata ya Vikindu.Mtoto huyo alikibadhiwa kwa mama yake Sarah Zephania hiyo jana kutoka ustawi wa jamii Zanzibar. Kupotea...
 8. ROBERT MICHAEL

  Chama cha wanywa pombe kwa staha bado kipo?

  Chama cha wanywa pombe kwa staha Tanzania(TRBDA) kilianzishwa na kusajiliwa mnamo tarehe 22 /5 /2012 .Mwenyekiti wa chama hicho Gasisi Mahuti alisema kipo kwa nguvu ya kisheria kutetea wanachama wake. Mwenyekiti alielezea wapo kumtetea mwanachama kwenye masuala ya kiafya,kijamii na...
 9. ROBERT MICHAEL

  African leadership forum

  Naona kituo cha Capital tv inaonesha forum hii live. Wageni waalikwa ni marais wastaafu nao ni Festus Mogae wa Botswana,Thabo Mbeki wa Afrika kusini,Benjamin Mkapa wa Tanzania,Olesegun Obasanjo wa Nigeria. Wanaongelea masuala ya uongozi Afrika na kujikwamua hapa tulipo (Meeting the challenges...
 10. ROBERT MICHAEL

  Fedha za safari za rais zapigwa panga

  Kamati ya bajeti ambayo inayongozwa na mwanasheria mkuu mstaafu Andrew Chenge imepunguza bilioni 11 kutoka kwenye bajeti za safari za Rais kwa mwaka wa fedha ujao.Fedha hizo zitatumika kwenye miradi ya maendeleo. Mwaka wa fedha ambao unaelekea kuisha Rais alitengewa bilioni 50 kwa ajili ya...
 11. ROBERT MICHAEL

  Mazingira ni kupanda miti tu?

  Tunakaribia kusheherkea siku ya mzingira duniani kuna swali moja najiulizaga kila siku kuona viongozi wanapanda miti siku hiyo. Maana nijuavyo mm mazingira yanahusu pia kumaneji takangumu, kumeneji majitaka na kupunguza na kuzuia hewa sumu angani. ilikuwa kila ikifika siku hii serikali ije mbele...
 12. ROBERT MICHAEL

  mwanachama mpya

  Habari wana JF, naomba mnipokee maana mm ni member mpya, mara nyngi nlikuwa napita knye JF,sasa na mm ni memba mpya.asanteni
Top Bottom