Search results

 1. jerrybanks

  Huenda ikawa solution la wizi na upotevu wa simu

  Kama umepoteza simu yako ya mkononi inaweza fuatiliwa na ukaipata. Kila simu ina namba yake ya IMEI ambayo ni tofauti kabisa na simu nyingine. Hii ni namba ya kifaa cha kimataifa cha utambulisho ambacho huweza kutumika kufuatilia mahali simu ilipo popote ulimwenguni. Hivi ndivyo inavyofanya...
 2. jerrybanks

  Uvaaji wa Culture (Bracelet) na tabia za ukahaba kwa dada zetu

  Habari, kwanza niipongeze serikali kwa kufungia tovuti zote za video za porn( maarufu kama X videos) uamuzi huo umefikiwa leo tarehe 19/7/2021, ambapo tovuti zote za ngono zimekuwa burned na serikali hutaweza kuziangalia kwa kupitia kifaa chochote iwe ni simu wala computer JE, SERIKALI...
 3. jerrybanks

  Nimemuonesha mke wangu wanawake wanaojiuza ili ajue thamani yake

  Habari, kumekuwa na mijadala mingi sana ya kuhusu ndoa humu ndani na wengi wakiwa wanalalamika kuhusu wake zao kuchapiwa/usaliti/mateso na changamoto mbali mbali za ndoa. Kwa upande wangu, nimeoa mwanamke mzuri i mean kwenye kila sekta tabia sura na hata matendo na tupo kwenye ndoa mwaka wa 5...
 4. jerrybanks

  Msaada wa kutrack simu kwa imei namba

  Habari, Niende moja kwa moja kwenye mada, Miezi miwili nyuma niliingia mtandaoni kupatana na kukutana na samsung m31,ambayo niliipenda na kumtafuta mhusika maana sikuwa na hela yote 500k,maana ilikuwa kama mpya. Nikamtafuta mhusika na tukakutana kariakoo maana alinambia anaishia...
 5. jerrybanks

  INAUZWA Nauza canon powershot 540

  Canon powershot 540 Ina 20.3 mega pixels Inatumia wifi Inapiga picture hd mnoo Inaweza kuchukua video kaliInakuja na betry 2 Charge 8gb memory Bag lake Nataka 380k 0623953036 whatsapp/calls
 6. jerrybanks

  Naomba kujuzwa jinsi ya kuangalia deni la gari TRA

  Habari wadau, Nilikuwa naomba jinsi ya kujua iwapo gari yako ina deni tra hasa kwa wale waliosajili commercial. Je, ni jinsi gani unaweza kuangalia deni lako mtandaoni gari yangu ina usajili wa namba T 820 DDG, maana sasa hivi watu wa TRA wako road na wenyewe kama trafic. Msaada tafadhali
 7. jerrybanks

  Hakika siku ya leo sitaisahau maishani mwangu

  Habari, Katika maisha ya binadamu kuna mapito ambayo huwezi kuyapitia nami siku ya jana na leo huenda zikawa siku ngumu zaidi maishani mwangu kwa kupata wagonjwa 3 kwa kipindi kimoja na wote kuwa hoi kwa wakati mmoja. Kwa sisi waislamu ugonjwa ni ibada lakini hakuna kitu kinachouma kama...
 8. jerrybanks

  Kisa cha abunuasi chenye kufikirisha

  KISA CHA ABUNUWASI NA MFALME JUHA. Hapo zamani za kale Abunuwasi alimuendea mfalme akamwambia anaweza kumshonea suti ya thamani sana ambayo wenye dhambi watakuwa hawaioni na wasio na dhambi tu ndio watakuwa wanaiona. Mfalme akampa kazi Abunuwasi ya kutengeneza suti ya aina hiyo kwa ajili...
 9. jerrybanks

  Msaada kwenye Tuta paso inanipasua

  mambo vip wadau, siku mbiki tatu nyuma nmenunua kipaso piston 4 cha 1290CC, kilikuwa kinashda ya kubadili gear but ukiweka reverse kinashtuka na kurud nyuma 1,nikampelekea fund wa kwanza kuna sample chini ya gear box akaitoa na kuweka mpya ikawa bado japo inabadili gear ukiiendeshea kwa manua...
 10. jerrybanks

  Erick Shigongo awa Mwanafunzi bora Chuo cha Tumaini

  MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ametajwa kuwa miongoni mwa wanafunzi bora watatu ambao ni wahitimu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (TUDARCO) katika kozi ya Shahada ya Kwanza ya Mawasiliano ya Umma (Bachelor of Arts in Mass Communication) mwaka 2020. Hafla ya kukabidhiwa...
 11. jerrybanks

  Nauza LG flat screen

  Nauza lg tv inch 32 Ni full hd Imetumika miezi 4 tu Iko full na box lake Nipo nayo Ilala Bungoni Naiuza kwa laki 3 fixed 0623953036 whatsapp/calls
 12. jerrybanks

  Tukumbushane vituko vya COVID - 19

  Leo nmejikuta nacheka mwenyewe. Nakumbuka nilikuwa najisomea mwenyewe humu humu kuhusu Covid 19 wakat huo ikiwa iko China na kuhesabia ni gonjwa la wenzetu tu kwetu halitofika. Ghafla siku isiyokuwa na jina ndo mgonjwa wa kwanza akatangazwa hali ikaanza kuwa tete watu full kuvaa mabarakoa...
 13. jerrybanks

  Boma la nyumba linauzwa

  Nauza boma lipo Majohe Kichangani Ukubwa wa kiwanja ni 31×30 Nyumba ina vyumba 3 kimoja master Pia pembeni nyumba in frame 4 za biashara Ni mjini sana na umeme, maji na barabara vyote vipo na pamepangika kimitaa. Na hatua za awali za upimaji zimeshaanza bikoni zimeshaanza kuwekwa. Naiuza kwa...
 14. jerrybanks

  Ninatafuta toyota porte

  Habari wakuu, Ninatafuta toyota porte ambayo haijaguswa ràngi wala body, iwe nzuri no D. Ninalipia 5m cash ndo budget yangu, tuwasiliane whatsapp tufanye biashara plz gari iwe nzima maana nazijua 0659756647 Sent using Jamii Forums mobile app
 15. jerrybanks

  Nauza display fridge la ice cream kubwa

  Habari, Nauza diplayed fridge la ice cream Limetumika ndani ya miezi 4 tu. Linafaa kwa kuuzia ice cream, nyama nk. Unaweza kulitumia supermarket au hata duka la kawaida. Halina tatizo lolote lile. Naliuza kwa bei ya laki 9 (900,000) Linapatikana Bunju B Dar es Salaam Mawasiliano 0623953036...
 16. jerrybanks

  Ya Mwamposa iwe fundisho wapenda mtelezo

  Wewe unawageni wamekuja kwako ghafula wakaanguka chini wengine wakazimia wengine wakafia mlangoni utakimbia nyumbani kwako kwenda mkoa mwingine ? Ndio nitakimbia Hapana kwanza nitachanganyikiwa Kama umejibu ndio utakimbia kwanini tusiamini wewe unajua A-Z kifo cha wageni wako ? Kama binadamu...
 17. jerrybanks

  Naombeni msaada wa kutatua hili kwenye desktop yangu aina ya Dell

  Habari wana jamvi la technojia, Nina pc yangu aina ya dell, juzi nilikuwa natumia ghafla tu ikazima na kila nikiiwasha inawaka then inaonyesha alama hyo ya taa then inazima je shida ni nini asanten Sent using Jamii Forums mobile app
 18. jerrybanks

  Uza na kununua gari yako kupitia Jerry Empire

  Habari wanaJamiiForums Naitwa Jerry natokea JERRY EMPIRE: Mahali pekee tunapohusika na uuzaji magari used ndani ya Tanzania na hata yale kutoka Japan. Kupitia sisi unaweza kuuza gari yako kwa haraka na bila kusahau unaweza kununua gari bora kabisa ambayo imetumika Tanzania kwa gharama nafuu...
 19. jerrybanks

  Nauza vitabu hivi vya Kiswahili kwa gharama nafuu

  Habari wapendwa, Leo nimeamua kuwaletea vitabu vya Kiswahili ambavyo vingi kupatikana kwake ni ngumu na hata vingine vilikuwa vimefungiwa kutokana na maudhui na mafunzo ndani ya vitabu hivyo na vingi vikiwa vya zamani. Kwa atakae hitaji tuwasiliane: 0659756647 0623953036 Ninapatikana Ilala...
 20. jerrybanks

  Msaada wadau nakosa mtoto wangu hivi hivi

  Habari ndugu zanguni, Nisiende mbali mwaka juzi kuna mdada nilifanikiwa kuanzisha nae uhusiano,ni raia mwenye mchanganyiko wa Marekani na Mexico. Nilimpata baada ya vijishughuli fulani hivi nlikuwa nafanya pale ubalozi wa marekani. Katika kuishi kwetu kama wapenzi alinambia kuwa anahitaji kuzaa...
Top Bottom