Search results

 1. mayowela

  Jonijo na Gerezani: Ni idea ya Bartender?

  Wengi wa wapenda vipindi vya Tv na Redio hususani Burudani jina hili sio geni, Baada ya Kutoka Times fm alisajiliwa Wasafi Media na baadae kutimkia E FM/E-TV. Jamaa hajafanya sana program za redioni kama upande wa TV. Yes, wengi walimfahamu kwenye "Now you Know" kupitia YouTube account yake...
 2. mayowela

  Sehemu ya Kazi inapogeuka sehemu ya stress na migogoro

  Umeishawahi kukutana na changamoto zipi sehemu unayofanya kazi mpaka ukatamani kuacha, Kisa; kuna jamaa yangu anafanya kazi mwaka wa6 sasa kampuni flani ila hafurahii kazi, kwa muda wote huo anafanya nafasi hiyohiyo hapandi daraja, haongezwi mshahara na anafanya kazi sana (multitask), boss wake...
 3. mayowela

  Marketing officers at WASSHA

  20+ Job Opportunities at WASSHA Inc, Marketing Officers Marketing Officers 20+ Position: Marketing Officers REPORT TO: Group Leader Location: Simiyu, Kilimanjaro, Kigoma, Iringa, Songwe, Katavi, Dodoma, Mtwara, Manyara, Singida, Shinyanga, Tabora, Njombe, Rukwa, Lindi, Songea, Kagera, Mwanza...
 4. mayowela

  Aliyepewa viatu vya Ruge "Jasiri Muongoza Njia" vinampwaya

  Panapo majaaliwa siku ya Jumamosi Mchana tutazungumzia Viatu vya Jasiri Muongoza Njia (Ruge Mutahaba) baada ya kutangulia mbele ya haki. Viatu vyake nani alipewa, na Je aliekabidhiwa Viatu hivo vinamtosha? Rangi ya Viatu alivokuwa akivaa marehemu ndio hiyo bado ipo mpaka leo au aliepewa...
 5. mayowela

  Steve Kabuye (Steve Kafire), unafahamu yuko wapi kwa sasa?

  Any way tukiwa tunasubiri Daku ngoja tupitishane humu kwanza, Kwa kizazi cha sasa kinaweza kuwa hakilifahamu hili jina la Steve Kabuye aka Steve kafire mtu mwenye Sauti yenye mamlaka pale anapokuwa nyuma ya Mic huchoki kumsikiliza, Wengi walimfahamu huyu mtu pale alipokuwa akitangaza The...
 6. mayowela

  Jinsi "Tone Radio" ilivoibomoa "Sahara Media Group" mpaka leo inachechemea

  Wanasema zubaa uchekwe na Ujanja ni kupata/kuwahi, Unaweza ukawa uliisha isikia redio inaitwa TONE RADIO (TONE MEDIA COMPANY) Hawa jamaa waliibuka mnamo mwaka 2012 wakiwa na namna ya urushaji wao wa matangazo kwa njia ya mtandao (online), hawa walikuwa wanapatikana Kijitonyama Tone House Umoja...
 7. mayowela

  Kusepa kwa Jonijo Wasafi; Je, Lil Ommy anachangia?

  Ni muda kipindi cha Block 89, mimi hukiita kipindi mama cha Wasafi FM, yeah its true ndio kilichoanza, hakiruki hewani. Kuanzishwa kwa kipindi kipya cha The switch kulipelekea kipindi hiko kisiruke kwa sababu Maudhui yanafanana, nilishaleta uzi humu. Kulikuwa na majadiliano kabla ya The Switch...
 8. mayowela

  List ya Baadhi ya Wasanii/watu Maarufu waliopata Deals/Ubalozi/Endorsement kutoka kwenye Makampuni

  Kupata deals, ubalozi, au endorsement ya kutangaza bidhaa kutoka kwenye makampuni sio kitu kidogo na si wote wasanii/waigizaji/watu maarufu hupata Makampuni huangalia vitu vingi mpaka kujiaminisha kuwa unaweza itendea haki bidhaa/brand ya kampuni na hatimae hufunga deal na mtu husika Hawa ni...
 9. mayowela

  Ilikuwa lazima BLOCK 89 Ifutwe/isimamishwe

  Kipindi cha BLOCK 89 hakipo hewani kwa muda sasa, hii inaashiria nini..?, kimefutwa, kimebadilishwa muda..., well, kwa mtazamo wangu mimi, BLOCK 89 Ilikuwa lazima ifutwe/kusimamishwa, Why..? Mwanzo wa mwezi huu kilitambulishwa kipindi kipya cha THE SWITCH kikanirudisha nyuma nikahisi hiki...
 10. mayowela

  Content enterpreneurs: Sky Walker, Salama Jabir, Millard Ayo nk

  Tumeshasikia kitu wanaita ujasiliamali wa maudhui (content enterpreneurs), hii ikoje? Hii ni biashara kama biashara zingine na wengi wanafanya na wanapiga mpunga wakutosha. Kuna baadhi ya wadau nimewataja hapo juu wanafanya hii kitu na wengine wengi. Inafanyikaje? Kinachofanyika watu hurekodi...
 11. mayowela

  Jamal Abas (Dodi) - Soka Kijiweni

  Kwa wapenzi wa soka, kabumbu, kandanda huyu mtu watakuwa wanamfahamu, kutoka Azam Media anakipindi kinaitwa "Soka Kijiweni" kinachoruka Azam TV, kiufupi nakikubali sana hiki kipindi na kinatoa fursa ya kumfahamu mchezaji wa Timu za ndani pamoja na maskani yake, Huyu jamaa kwa jinsi anavofahamu...
 12. mayowela

  Maproducer bora wa muziki kwa wakati wote, achana na wa kizazi hiki

  Wakati Bongo Fleva inakuwa, producers wengi walikuwa wakali na kila mmoja alikuwa na radha yake kwenye muziki, ukisikia ngoma mpya tu unajua huyu ni flani, kila mtu alikuwa na jina lake na hata wasanii wake, na kila mmoja alitengeneza msanii na kumfikisha kwenye peak. Kwangu hwa ndio walikuwa...
 13. mayowela

  Je, ni Lil Ommy, Sam Misago, Dj Mafuvu na Ammy Gal kutambulishwa leo Wasafi?

  Kutokana na teaser ilianza kusambaa tangu wiki ilioisha huko kwenye mitandao ya kijamii "FUNDI BORA KWAKO NI NANI" Hatimae leo mida ya saa nane majira ya mchana fumbo litaenda kufumbuliwa, Je ni Lil Ommy, Sam Misago, Ammy Gal na Dj Mafuvu kutambulishwa rasmi Wasafi..? mimi sijui yetu macho na...
 14. mayowela

  Harmonize bado yuko chini ya Diamond, ni Mbinu za Kibiashara tu

  Hisia zangu zinaniambia Harmonize bado yuko mikononi mwa Diamond ila Umma tunaaminishwa katoka ni game well played ila kuwin kibiashara. Hebu tuone hili, hapo awali Harmonize alipokuwa anatoka Wasafi maneno mengi yalizungumzwa na mameneja wa Diamond, Babu Tale na Sallam SK, Ila Diamond hakuwa...
 15. mayowela

  Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

  Hili suala linanishangaza sana kwa upande wa media, wenzetu wa nchi za mbali huko wao huajili watu kwa kazi maalumu tu ya ubunifu na hulipwa mshahara wa juu sana, na hiyo hufanya Redio/TV kuwa midomoni mwa watu wakati wote na kuwa undisputed. Sasa tuone hapa kwetu, na wewe utakuja na orodha...
 16. mayowela

  Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

  Fred Fidelis aka Fredwaa Kipindi cha Powe breakfast kimepwaya sana kama sio kupoa, kwa muda wa alfajiri kuanzia saa11 mpaka 12, amsha amsha za Fredwaa hazipo, Utabiri wa Hari ya hewa hamna, Paza Sauti pamoja na Ripoti ya Bonge ya alfajiri hakuna. Pia zile reggae za alfajiri siku ya Ijumaa...
 17. mayowela

  Ni biashara huru au kuingiliana kwa majukumu?

  Ni biashara huru au kuingiliana kwa majukumu? Hiki kitu nimekiona muda na huwa najiuliza kama ni soko huru kila mtu anafanya awezavyo ilimradi kodi iende kwa wahusika. Kumekuwa na muingiliano wa kibiashara kwa makampuni makubwa, mwanzo kulikuwa na malalamiko ila Regulators hawakutaka...
 18. mayowela

  Tunapoomba ajira tujitahidi kufahamu haya

  Habari wadau, kwa ka uzoefu kadogo nilikonako naona kwenye usaili kuna baadhi ya vitu vinapelekea usiitwe au uitwe ili kuja kukupima uelewa wako, kuna baadhi ya mambo ya kuzingatia kwenye kuomba kazi pia kwenye usaili, unaweza ukawa unakosa kazi au unataka kubadirisha kazi ukaanza kumtafuta...
 19. mayowela

  Achana na tetesi: Lil Ommy, go and get 'em, bro!

  Baada ya Mtangazaji mwenye ushawishi wa kituo cha Times FM Ommary Rajabu Saleh Tambwe aka Lil Ommy kuaga rasmi kuwa hatoendelea kuwa mfanyakazi wa kituo hikch alichokifanyia kazi kwa muda mrefu akitokea VoT FM (Voice of Tabora FM) takribani miaka 10, tetesi zimekuwa nyingi. Wengine wanadai...
 20. mayowela

  "Times FM" Nyumba ya Mapito

  Kituo cha redio cha Times kimeanzishwa muda mrefu sana kikiwa na gazeti lake la Business times sikuhizi sijui kama lipo, ni moja ya kituo ninachokikubali sana kina misheni zake na hakikurupuki, uendeshwaji wake naupenda sana, Muanzilishi alishatangulia mbele za haki, Mwenyezi Mungu amrehemu ila...
Top Bottom