Search results

 1. Msudu

  Aina nne za Wanawake Michepuko

  Kuna aina mchepuko ukikutana nayo aisee stress zake unaweza kutamani hata ushtaki kwa wife. Eee mchepuko popote unajua balaa uliloleta ukosweswe na radi
 2. Msudu

  Je, kumuona Nabii Mussa wa Kimara ni Tsh. 100,000?

  Tatizo linaanzia kwa wakristo wenyewe wanapenda muujiza kuliko mafundisho ya Neno la Mungu, wanataka kusikia pokea gari, pokea safari ya America, pokea hela muujiza, pokea kusamehewa madeni. Nk
 3. Msudu

  RC Makalla: Diamond amekataa kuwa Balozi wa usafi Dar

  Kama hajavunja sheria ni haki yake kukubali au kukataa.
 4. Msudu

  Kati ya Mayele na Kagere nani bora?

  Ushabiki wetu kwa Simba na Yanga wakati mwingine unatupofusha na kutufanya kila kitu tuamue kwa msukumo wa ushabiki wetu. Hao wachezaji ligi bado changa sana hatuwez sema nani bora
 5. Msudu

  Sakata la Martin Saanya na Nguvu za Wachambuzi Wa Soka Bongo

  Mimi ni mshabiki wa mpira, napenda mpira lakini nakiri sina utaalamu au elimu ya mpira kwangu lile ni goli halali kabisa.
 6. Msudu

  Shaka Hamdu Shaka: CCM haitavumilia wananchi kubambikwa kesi

  Bila shaka kuna Wana Ccm, kisha kuna wananchi, sasa sijajua kawalenga akina nani
 7. Msudu

  Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

  Hili jambo la hawa Makomandoo wetu linaniumiza na kufikirisha sana.
 8. Msudu

  Dkt. Slaa kusimamisha nchi trh 3/12 katika mahojiano maalum na TBC

  Hahahahaha Nchi itasimama, ila bora isimame maana imekaa muda mrefu
 9. Msudu

  Kuna aliyemuelewa vyema hapa Mchambuzi Oscar Oscar wa E FM na Tv E?

  Nadhani huyu jamaa mambo mengi hufanya kiutani zaidi, hasa kulingana na aina ya soka letu na ushabiki wetu
 10. Msudu

  Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

  Naipenda sana timu yangu ya Simba, ila mpaka sasa sijui ni vigezo gani vimetumika kulikataa lile goli. Waamuzi bado ni tatizo katika ligi yetu
 11. Msudu

  Uzalishaji wa pombe ya Banana wasitishwa kwa kutokidhi viwango vya ubora

  Rombo pana pombe za kila aina alafu bei kuanzia 300 tu vijana wamekuwa wazee gafla
 12. Msudu

  Kwanini wazungu huwa hawali sana kama sisi Waafrika?

  Wanakula kidogo kidogo mara kwa mara
 13. Msudu

  Kwanini vijana/watoto wengi waliotumikia Altareni Leo hii asilimia kubwa sio watu wa dini wala kusali

  Kuna mdogo angu enzi hizo tulikuwa tuna muita Paroko, saivi daaaa analala Bar
 14. Msudu

  Mjomba wangu anataka kuchomwa akifa, familia yake imekataa kaja kwangu, Nichukue uamuzi upi??

  Hapana usimdanganye, mwambie ajaribu kufutilia Mahakamani ajue kama linafaa kisheria
 15. Msudu

  Wakili Chavula: Watake wasitake wakili wa Jamhuri ni Wakili wa Mahakama

  Nami niliwaza jambo kama hili japo sijui kama inawesekana.
 16. Msudu

  Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

  Madaraka ni kama koti la kuazima usilivae kwa mikogo
Top Bottom