Search results

 1. Nikifufukammekwisha

  CUF na Operesheni "Zinduka"

  Mrugaruga umezungumza mavituz. Umenikumbusha mwaka juzi nilikwenda hospitali kutibiwa na Profesa mmoja ambaye alikua anatumia reference book (British National Formulary) ya edition ya mwaka 1982, tena alikua kaijaladia (kaweka jalada) maana ilikua too old. Hicho kitabu kinakuwa updated every 6 -...
 2. Nikifufukammekwisha

  Analysis: Income gaps, corruption fuel China riots - Tunajifunza nini Tanzania?

  Tunajifunza nini Watanzania kutokana na yanayoendelea kutokea huko China? I see ourselves ending up in chaos like China maana what's going on there resembles what's going on now in Tanzania. Income disparities tangu baba wa Taifa hatutoke kwa kweli zime-skyrocket vibaya mno tena ukitilia maanani...
 3. Nikifufukammekwisha

  Nishauri Kwa nini Nirudi Kuishi Tanzania?

  Hao mafisadi wataondokaje wakati wanarithishana kwenye utawala? Umeangalia kikao cha vijana wa CCM kwenye blog ya Michuzi? Unafikiri mtoto anaweza kuja mkamata baba ake baadaye kwamba alikua mwizi?
 4. Nikifufukammekwisha

  Nishauri Kwa nini Nirudi Kuishi Tanzania?

  Ndugu yangu Mbu, Hii kadamnasi uliyoizungumzia kwenye maelezo yako, ina-occupy asimilia ngapi ya Watanzania? Na je, hao uliowazungumzia je ndugu zao wa karibu wanaoishi hapo hapo Dar ama vijijini kama kule Dar-Pori Ruvuma je nao wana uwezo wa kuchanga izo milioni 9 na kuvuta umeme? I...
 5. Nikifufukammekwisha

  Nishauri Kwa nini Nirudi Kuishi Tanzania?

  Kwahiyo ndugu Scorpion unataka niambia kwamba it is possible for individuals like you and me ku-make changes in the existing situation hapa nyumbani bongo? na una-encourage watu wengine kuja kutusaidia ku-make hizo changes? I believe in a lawless society like ours it is not easy to accomplish...
 6. Nikifufukammekwisha

  Ombi Maalum kwa Watanzania mlio nje ya Nchi:Tanzania Inakuhitaji

  Ndugu yangu Mlalahoi, Kwanza ningependa kujua where are you located... Inaonesha ni kama uko UK vile... Kama ni kweli, ningependa kujua ni lini ilikua mara yako ya mwisho kwenda/kuja nyumbani Tanzania... Nafikiri una idea nzuri sana.. ILA nasikitika kukueleza kwamba hizo ideas zako...
 7. Nikifufukammekwisha

  Rostam na Manji watoe maelezo vinginevyo watiwe pingu!

  Mimi nafikiri tatizo liko kwa Amiri Jeshi wetu Mkuu. Ujinga wote huu unaotokea sasa hivi unasababishwa na kulegalega kwa Amiri jeshi wetu mkuu katika kufanya maamuzi makubwa. Mbona Taifa Stars wakiwa na mechi kubwa tunamsikia huyu bwana mkuu akitoa matamko ya kisanii??? Tena huwa hachelewi wala...
 8. Nikifufukammekwisha

  Jailed Tanzanian car thief now linked to EPA scandal

  Kama katiba yetu ingekua na kipengere cha mtu kufungwa kwa "kuidhalilisha nchi" basi hata mheshimiwa mkubwa kuliko wote naye angekua jela tunavyozungumza sasa hivi.
 9. Nikifufukammekwisha

  Tanzania an African Model for Stability, Democratization, Education, Says Ban

  My understanding is that mtu kama Katibu Mkuu wa UN hatakiwi ku-act kama mwanasiasa. Ndugu Ban alipata wasaa mzuri wa kuzungumzia kinagaubaga the realities on the ground in terms of what he saw and what he knows about Tanzania. Ndugu katibu alipata wasaa mzuri wa kuona jinsi watanzania walivyo...
 10. Nikifufukammekwisha

  Mawaziri waghushi vyeti

  Kama kweli "Kelele za mlango hazimsumbui", basi historia inaweza kuja kum-judge kama "THE WORST PRESIDENT EVER".... worse than Mkapa, maana Mkapa alikua fisadi, then yeye Kikwete kama Rais akashindwa kuuchukulia hatua huo ufisadi wa Mkapa na wenzake... Let's wait and see.
 11. Nikifufukammekwisha

  Mawaziri waghushi vyeti

  Aliyekua Waziri wa Sheria naye akawa anavunja sheria na kukubali kuitwa "Daktari wa falsafa" wakati akiwa na ufahamu kwamba hastahili kuitwa hivyo. Kitendo hiki kinastahili kufunguliwa mashtaka na kuhukumiwa kwenda Jela kabisa. Nakichukulia kitendo hiki ni kama kuchezea utawala wa sheria. Huwezi...
 12. Nikifufukammekwisha

  Mawaziri waghushi vyeti

  Kikwete, kazi kwako baba. Wewe kama amiri jeshi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumia dhamana uliyopewa na watanzania wote kulivalia njuga suala hili. Wewe kama Rais una "Executive Powers" ambazo unaweza kuzitumia kukomesha kero nyingi zinazotusumbua sisi tuliokuchagua, na sisi kama raia...
 13. Nikifufukammekwisha

  Mzumbe dons in PhD scam

  Watu wanafoji vyeti Tanzania kwa sababu HAKUNA THE RULE OF LAW... Kama kweli tungekuwa na utawala wa sheria wenye kuheshimika then watu wasingethubutu kufanya vitu hivi. At one time, Rais alimteua waziri wa sheria ambaye alikua ana hiyo fake degree. Kungekuwa na parliamentary scrutiny kama...
 14. Nikifufukammekwisha

  SMZ yakana kufuja fedha kwa `mashangingi`

  Haya ni matokeo ya kuwa na viongozi wenye uelewa mdogo mno kimawazo. Nasikia aibu kujiita Mtanzania... Maana kama mtu aliyeaminika na kupewa madaraka makubwa kuwaongoza watanzania ana ufinyu mkubwa wa kufikiri to this extent then how about yule mtanzania wa kawaida anayelima karafuu kule...
 15. Nikifufukammekwisha

  Wabunge Dr. Slaa na Dr. Tarab wafanyiwa umafia!

  Ebu tujiulize what was the outcome of investigation ya Chenge kumwaga unga wa miujiza bungeni? Sioni tofauti yoyote kati ya kuwaita wanausalama kuja chunguza ki-device hiki leo hii na ile story ya mwaka jana ya kumpatia tenda Mkemia mkuu wa Serikali achunguze unga uliomwagwa na Chenge bungeni...
 16. Nikifufukammekwisha

  James Sinclair: A Friend or Foe?

  Zitto, Mawazo ya "Next Level" yanahitaji kufanyiwa kazi. Huu ni wizi wa kiwaziwazi. "Wawekezaji" wengi huwa wana janja ya ku-declare losses every year kama ni gia ya kukwepa kulipa kodi. Kama wanapata losses kila mwaka je tujiulize ni makampuni mangapi nchini mwetu ambayo yamefanya biashara kwa...
 17. Nikifufukammekwisha

  Kikwete ziarani Zanzibar: Ahadi, vijembe, na maagizo

  Kwahiyo Serikali "imeshindwa" kulipia gharama za kujenga tanki la maji kwa wananchi wake (kitu ambacho ni very cheap indeed) na mpaka yeye Kikwete et al waende uko Japani ndio hawa jamaa waje kutujengea hilo tanki? I think hapa ndugu Kikwete amechemsha. Tanzania ni nchi tajiri in terms of...
 18. Nikifufukammekwisha

  Wakili Masha alinufaikaje na Deep Green Finance?

  Walikwenda shopping tu Marikani... Si wanamuiga baba? Pesa ya kununulia majenereta ya ICU kwenye mahospitali mara zote huwa hawana na wanafunga masafari kwenda nje kuomba misaada kwa kutumia vigezo butu kwamba Danganyika ni nchi masikini, ila safari zisizo na tija huwa zinapata mapesa...
 19. Nikifufukammekwisha

  Wakili Masha alinufaikaje na Deep Green Finance?

  I think it is the right time for Tanzania to consider bipartisanship. Kitu hiki kikiwepo, watanzania tunaweza epuka matatizo ya dizaini za Mengi vs Masha. With bipartisanship, decision making will be based on values that both parties broadly agree on. Kutakua na kuoneana aibu katika kutenda...
 20. Nikifufukammekwisha

  Wakili Masha alinufaikaje na Deep Green Finance?

  I guess hilo "kundi la wadadisi wa mambo" litakuwa ni JF tuuu.... JF HOYEEEEE!!!!!!!!
Top Bottom