Search results

 1. Mtayarishaji

  Ni Ujasusi Au Mapenzi Ya Dhati?

  Siku za hivi karibuni binti yake Rais Donald J Trump wa Marekani ajulikanaye kwa jina la Tiffany Trump amekuwa akionekana sana akiwa karibu na kijana wa Kilebanon ajulikanaye kwa jina la Michael Boulos na ukaribu huo moja kwa moja umetafsiriwa kuwa ni uhusiano wa kimapenzi. Kuna kipindi wawili...
 2. Mtayarishaji

  Choma meli zako zote

  Mwaka 1519 Kamanda mmoja wa kikosi cha Kihispania aliyeitwa Hernan Cortes alienda kukivamia kisiwa cha Veracruz cha nchini Mexico. Alipowasili ufukweni aliamuru askari wote 600 na mabaharia wote washuke kisha akaagiza meli zote 11 zichomwe moto. Kisha akawauliza askari wake, "mnaona nini...
 3. Mtayarishaji

  Anahisi Kupendwa

  Mazungumzo ya vijana wa kileo kuhusu mahusiano. BAE WAKE: Nakupenda kwa moyo wangu woote mpenzi wangu. YEYE: Nakupenda pia mpenzi wangu. BAE WAKE: Una ahidii kunipenda milele? YEYE: YES ..Nakuahidi sitakuachaa. BAE WAKE: Utanipa moyo wako wote? YEYE: Tafadhali baby.. BAE WAKE: Inaa maana...
 4. Mtayarishaji

  Kutoka Kwenye Taarifa

  Ukiona unaanza kummiss X wako tena aliyekuumiza mno sana, chukua Biblia/Qur an usome... huyo ni shetani.
 5. Mtayarishaji

  Ndoa: Mke Kugeuza Chupi

  Mke baada ya kumaliza kuoga akawa chumbani, mume wake alikuwa amejilaza kitandani, huku akiwa anamuangalia mkewe anavyovaa. Mara mke akavaa chupi kwa kuigeuza bila kutambua, mumewe akaona kuwa mke aligeuza chupi ila akamkaushia. Mke akamuaga mumewe kuwa anaenda sokoni, akaondoka. Alipo rudi...
 6. Mtayarishaji

  Kila Mtu Ana Time Zone Yake

  New York iko masaa 3 mbele ya Calfornia lakini hii haimaanishi Calfornia inaenda taratibu au labda New York iko mbio sana. Zote ziko sawa isipokuwa kila moja ina TIME ZONE yake. Kuna mtu yuko single sasa hivi. Kuna mtu ameolewa na kusubiri miaka 10 kabla ya kupata mtoto wakati kuna mtu amepata...
 7. Mtayarishaji

  Mtazamo Ufaao Kuhusu Makosa

  Don na Margaret walifurahia kutembelewa na binti yao na familia yake. Katika sherehe ya kuwaaga, Margaret, ambaye zamani alifanya kazi ya upishi, aliandaa tambi na jibini, chakula kinachopendwa zaidi na wajukuu wake wawili. Wote walipokuwa wameketi, Margaret alileta chakula na kukiweka mezani...
 8. Mtayarishaji

  Zawadi Bora Niliowahi Kupokea

  Binti mwenye umri wa miaka 13 alihisi hivyo baada ya kupokea zawadi ya mnyama anayempenda. Mwanamke fulani ambaye ni mfanyabiashara mwenye mafanikio alisema kwamba zawadi ya kompyuta aliyopewa na baba yake alipokuwa shule ya sekondari, ilibadili maisha yake. Mwanamume aliyeoa hivi karibuni...
 9. Mtayarishaji

  Ubachela

  Unakuta Mwanaume anakuwa yuko tayari kuingia kwenye uhusiano lakini mwanamke anakuwa bado. Anataka kuula ujana na yupo katika kile kiwango cha ‘kunguru hafugiki’. Mwanaume hata afanye nini, yeye si kutulizwa akatulia. Si wanaume pekee, hata wanawake nao wanakutana na kisanga hiki. Unakuta...
 10. Mtayarishaji

  Kumbukumbu siku yangu ya kuzaliwa

  Siku kama ya leo tarehe na mwezi kama wa leo miaka mingi tu huko nyuma nilizaliwa. Wewe si wewe pekee....ni KILA MMOJA ndani yako. Kuna watu wanaoamini kuwa FULANI ni mwema ama m'baya na kuachilia mbali kilichomfanya ama asili ya "uzuri" ama "ubaya" wake. Lakini haijalishi watafsiri vipi UBAYA...
 11. Mtayarishaji

  Aliyewahi kupost kuwa anatafuta na hatimaye akapata Mke/Mume/Mchumba kupitia jukwaa hili

  Hii inamhusu yule aliewahi kupost kuwa anatafuta na hatimaye akapata Mke/Mume/Mchumba kupitia jukwaa hili. Share angalau kwa ufupi changamoto ulizokumbana nazo ktk huo mchakato hadi ukafanikiwa. Hii sio kwamba itanisaidia mimi tu bali na yule mwenye nia ya kutafuta mwenza kupitia Love Connect...
 12. Mtayarishaji

  Thamani Ya Maisha

  "Mwalimu aliingia darasani na kuwaonesha wanafunzi noti ya fedha ya shilingi elfu kumi. Ilikuwa mpya kutoka bank. Akawauliza wanafunzi kuwa ile noti ina thamani gani, wote wakajibu elfu kumi! Akachukua noti nyingine ya elfu kumi iliyochoka mno, imepoteza rangi na kupauka. Ikaonekana...
 13. Mtayarishaji

  Kheri ya SIKU KUU ya WAKULIMA a.k.a NANENANE inayoEndeLea

  Hongera nYinGi'KimaFuriKo za kiwango cha Standadi GeJi kwa WAKULIMA, maana mnatufuturisha MAPOCHOPOCHO yenye MADIKODIKO yani! 🤣 Swali: Hivi Hii sikukuu unaweza kukumbuka imekuwa na manufaa kwa MKULIMA kwa miaka mingapi vile!? Na sitashangaa kusikiaaaa,... ...anufaikaye na SIKU KUU ya...
 14. Mtayarishaji

  Mpongeze, mshukuru na kumwambia maneno yenye hamasa mpenzi wako

  Unaweza ukawa unafanya mambo mengi mema kwa mpenzi wako lakini anaangalia na kunyamaza akifahamu ndani yake kwamba ni wajibu wako kufanya vile. Wapo baadhi ya watu wenye kiu na maneno ya kupongezwa, kushukuriwa au ya kuhamasisha. Kwa mfano, mwenzako amekusaidia kuanua nguo zako nje, akimaliza...
 15. Mtayarishaji

  Amani ni kila kitu katika maisha, kuna watu wana miiba mbalimbali inayowazuia kusonga mbele

  Kulikua na baba mmoja alikua na shamba kuuubwa limejaa miiba. Kila akitaka kulisafisha.. Miiba ilikuwa kikwazo kwake. Miaka mingi ilipita hakulima shamba lake sababu ya miiba. Kipindi cha njaa kubwa kiliingia kijijini kwake akaamua aliandae shamba lake kwa ajili ya kilimo hata kama miiba ni...
 16. Mtayarishaji

  SaiKoLoJia

  Kuna vitu viwili vyenye nguvu Pesa na Mwanamke. Kuna vitu viwili vyenye thamani Mwanamke na Ardhi.
 17. Mtayarishaji

  Uhuru wa kujiamulia jinsi ya kuishi

  Watu wengi ulimwenguni hupenda kuzungumza kuhusu usawa, uhuru, na kujikomboa. Katika sehemu nyingi za ulimwengu watu wanatamani kuwa huru kutokana na ukandamizaji, ubaguzi, na umaskini. Wengine hudai haki ya kuwa na uhuru wa kusema, wa kuchagua, na wa kujiamulia watakavyo. Inaonekana watu...
 18. Mtayarishaji

  UKUMBUSHO...

  Unakunufaishaje wewe binafsi? Huchocheaje umoja wa watu? Husaidiaje kudumisha umoja?
 19. Mtayarishaji

  Utabiri Wa Wakati Ujao

  Je, umewahi kujiuliza maisha yako na ya familia yako yatakuwaje wakati ujao? Je, unafikiri utapata ufanisi, au utakumbwa na umaskini? Je, utapata watu wanaokupenda, au utakuwa mpweke? Je, utaishi muda mrefu, au maisha yako yatakatika ghafla? Wanadamu wamejiuliza maswali hayo kwa maelfu...
 20. Mtayarishaji

  Walioichambua Almasi Sana Mwisho Waliambulia Mkaa!!

  Mwenye kutaka rafiki asiye kuwa na Dosari, basi ataishi mpweke daima. Mwenye kutaka Mke au Mume ambaye hana mapungufu, ataishi bila ya kuoa au kuolewa (Bachelor) mpaka siku ya kufa kwake. Mwenye kutaka ndugu asiye kuwa na matatizo, ataishi akimtafuta milele. Mwenye kutaka mtu wa karibu...
Top Bottom