Search results

 1. kiri12

  Sua Apopo _morogoro

  Habari wadau, kuna kazi zilitangazwa kupitia Hilo jina hapo wanasema wapo chuo cha sua Moro huko, mwisho wa maombi ilikuwa tar 22 sept mwaka huu, naulizia kama kunaaliyeomba na ameitwa kwa usahili? Au kama kuna mtu amesikia wameita usahili atujuze maana Naona muda mrefu umepita.
 2. kiri12

  Job junction connect

  Habari wanajukwaa, naulizia hivi wa job junction kuna mtu alishawahi kupata kazi kupitia wao? Maana walitoa tangazo wakasema tuma cv baadae wakatuma email wakaweka namba ya simu niwapigie, mara wananiambia leta cv tena hardcopy hivi mbona wababaishaji kuna ukweli hapo wa kupata ajira? Maana hata...
 3. kiri12

  Nahitaji kufanya biashara ya kuuza pumba

  Habari wanajamvi, Nahitaji kufanya biashara ya kuuza pumba, nilikuwa naomba kufahamishwa faida zake na je, gunia moja la pumba lenye debe saba huwa linauzwa bei gani? Mwenye uzoefu anijuze tafadhali.
 4. kiri12

  Selcom machine inauzwa

  Habari, nauza mashine ya selcom mpya kabisa bei laki 4, nipo dar mbezi karibuni kwa aliye serious njoo pm tuyajenge
 5. kiri12

  ASA Microfinance

  Wanajamvi kwema? Kama kichwa cha habari kinavojieleza naulizia kama hao watu wameshaanza kuita kwenye usahili katika zile nafasi 100 walizotangaza za Afisa mikopo.
 6. kiri12

  NBS washaita watu kwa usahili?

  Habari wanajamvi naulizia zile nafasi 300 zilizotangazwa na NBS wameshaita watu kwaajili ya usahili? Maana deadline ilikuwa 14/3/2021, au ndio hadi maombolezo yaishe
 7. kiri12

  Nawezaje kupata mitungi mitupu ya gas? Kuanzia kilo sita na 15?

  Habari wanajamvi. Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Nataka kuanzisha biashara ya gas ya kubadilisha sitaki kuuza majiko yake sasa nimejaribu kuuliza uliza kwa wadau wananiambia ni lazima ninunue mtungi uliokamilika nikishauza jiko ndio nibakie na mtungi mtupu nibadilishe gas. Kwa anayeuza...
 8. kiri12

  Je, ATCL waliita watu kwenye usaili?

  Habari wanajamvi, jamani nilikuwa naulizia kuhusiana na zile kazi nyingi walizotangaza hili shirika la ndege la Tanzania mwishoni mwa mwaka jana vipi kuna mtu aliyeitwa kwenye usahili? Maana naona wamekaa kimya sana.
 9. kiri12

  Jinsi ya kuanzisha ofisi ya wakala wa bima mbalimbali

  Habari wanajukwaa, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kufahamishwa nihatua zipi natakiwa nifuate ili nifungue ofisi ya bima mabalimbali, za magari na pikipiki, pamoja na bajaji. Ofisi tayari ninayo ninachohitaji utaratibu tu wa kufuata ili niweze namie kuwa wakala wa hizo bima. Kwa...
 10. kiri12

  TANROAD Morogoro wameshaita kwenye usaili?

  Habari zenu wanajukwaa, Nilikuwa naulizia zile nafasi walitoa TANROAD mkoa wa Morogoro kama wameshaita watu kwenye usaili ama ndio tuendelee kuvuta benchi na kusubiria zaidi. Deadline ilikuwa mwezi wa sita. Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 11. kiri12

  Tenda za printing

  Napenda kupata tends zote za kila wiki.
 12. kiri12

  Marenga Millers.co.Ltd

  Ni wauzaji na wasambazaji wa chakula bora cha mifugo, wanachakula cha Ng'ombe, hiki hunenepesha ng'ombe wako na kuongeza lita ya maziwa. Chakula cha nguruwe, kuanzia watoto wa wadogo, mwenye mimba na anayenyonyesha, husaidia kuongeza kilo na kumfanya nguruwe awe imara wakati wa ujauzito wake na...
 13. kiri12

  Bado mashine ipo

  Habari wandugu, mashine ya selcom bado ipo kwa anahitaji aje dm tuongee biashara
 14. kiri12

  Biashara ya kuuza pumba

  Habari wapendwa, nilikuwa nahitaji msaada mwenye kujua hii biashara ya kuuza pumba na chakula cha kuku imekaaje faida zake na mtu anatakiwa awe na mtaji wa kuanzia ngapi, na gharama zake gunia la pumba kwa bei ya jumla ni kiasi gani, mi nipo Dar maeneo ya Mbezi Louis. Sent using Jamii Forums...
 15. kiri12

  Mashine ya selcom

  Habari wanajukwaa, kwa anayehitaji mashine ya selcom bado ipo, ipo vizuri kabisa kwa anayehitaji anipm tuongee biashara
 16. kiri12

  Tayoa na chama cha walimu tanzania

  Habari humu, naulizia jamani kama hao watu tayari washaita kwa ajili ya usahili ama bado maana mwezi wa sita walitangaza nafasi mbalimbali za kazi, asa hadi leo naona kimya
 17. kiri12

  Mobistock wakala

  Habari wandugu, napenda niwashirikishe wale wapenda maendeleo wote katika fursa ya kuuza vocha zote za mitandao yote ya simu kupitia line ya simu uliyonayo, wazungu wanaita online vocha, Nawakaribisha mje niwaunge kuwa mawakala kupitia kampuni ya mobistock kwa mtaji wa shilingi elfu 10 tu, ...
 18. kiri12

  Nauza mashine ya selcom

  Habari wanajamvi, mi ninauza mashine ya selcom, ni mpya kabisa, sababu ya kuiuza ni kurudisha pesa yangu maana eneo nililopo hakuna mzunguko wa watu wengi, mashine ni mpya kabisa mwenye laki sita na nusu anipm, maongezi yapo.
 19. kiri12

  Msaada, naombeni kueleweshwa utaratibu wa kubadilisha jina kwenye line ya tigopesa, namaanisha jina la wakala

  Habari wanajamvi jamani, tafadhali mwenye kujua ama kufahamu ni jinsi gani ya kubadilisha jina katika line ya uwakala wa tigo pesa, ni vitu gani unatakiwa uwe navyo ili wakala mkuu aweze kubadilisha jina?
 20. kiri12

  PPF Tanzania walitangaza nafasi za kazi mbalimbali mwezi wa sita, je wameita watu katika usahili?

  Habari wadau, PPF Tanzania walitangaza nafasi za kazi mbalimbali mwezi wa sita,, hvi bado hawajaita nafasi zilizobaki kwenye usahili? Maana niliona waliita kwa nafasi za madereva tu,, msaada kwa yeyote mwenye taarifa. Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom