Search results

 1. comte

  Hii itakuwa ndiyo kesi aliyoisema Rais Samia alipohojiwa na BBC na watu wakadhani anademka- Thubutu

  Matata: Wakati Wanakubeba Tangu Tabora Walikwambia Kosa lako no Nini Shahidi: Niliwahoji tangu Natoka Tabora Wakasema Utaenda Kujua Mahakamani Matata: Sasa Mlipofika Mahakama Ya Kisutu Ikawaje Shahidi: Tarehe 25 September 2020 baada ya Kufika Kisutu Nilikutana na Hakimu Na Nikasomewa Mashtaka...
 2. comte

  Marekani yachota akiba ya mafuta kupunguza kupanda kwa bei ya nishati

  President Joe Biden on Tuesday ordered a record 50 million barrels of oil released from America's strategic reserve, aiming to bring down gasoline and other costs, in coordination with other major energy consuming nations including India, the United Kingdom and China. The U.S. action is focused...
 3. comte

  Nchi hii tuna chama cha wataalam wa kilimo?

 4. comte

  Kesi ya Mbowe na wenzake: Picha ya maneno millioni moja

  Inaanza kuingia kidogo kidogo
 5. comte

  Wakili Kibatala: Mheshimiwa Jaji ukiisoma hukumu hii UGANDA Vs OKUMU REGAN AND OTHERS pingamizi letu juu ya diary ya shahidi utaliona ni sahihi

  Kibatala: Mheshimiwa Jaji niende kwenye hii Kesi ya Wenzetu ya UGANDA Vs OKUMU REGAN AND OTHERS Kama Kuna Kesi itakuisaidia basi kesi hii.. Na Kupeleka Ukurasa wa Tano, Sisi tumesema Kwamba Shahidi Ni INCOMPETENT. Kibatala: Kama unaona Kuna ugumu wa kufanya uamuzi kwenye kesi hii naomba itumie...
 6. comte

  Upon reading these notes, you will conclude that Kibatala is a novice lawyer

  Accusing a witness of “lying.” The older lawyers also taught me that I must never directly accuse a witness or a party of “lying” while I was questioning them. Yet every week I hear lawyers doing this. This is usually done by the lawyer asking the accusative rhetorical question: “Sir, you do...
 7. comte

  Hili ndilo desa la Kibatala kwa msaada wa KAS ya ujerumani

  Discrediting Evidence in a Criminal Trial Discrediting evidence can be the best line of defense. By Deborah C. England Types of Evidence In general, three types of evidence will typically be offered at trial: testimonial evidence (statements of witnesses on the stand); physical evidence (such...
 8. comte

  Wingi wa watu na uzito wa sauti zinazomtetea Mbowe zinamfananisha na Baraba wa kwenye Biblia

  6Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, Pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka. 7Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi wengine kwa kusababisha uasi na mauaji. 8Watu wengi wakamwendea Pilato wakamwomba awafanyie kama kawaida...
 9. comte

  Bwana Samatta -Liverpool 1- 1 Genk tarehe kama ya leo miaka miwili iliyopita

  SAMATTAAAAAAAAAAA LIVERPOOL 1-1 GENK Genk's Tanzanian striker Mbwana Samatta powerfully headed in the equaliser at the near post from a corner five minutes before half-time. We could have scored more often and that would have completely changed the game. But then they scored the goal, a really...
 10. comte

  Mnaotaka kuhama tiGO mhame, ila wako sahihi kwani kokote duniani Maslahi ya Taifa yako juu ya haki za mtu binafsi

  Siye siyo wa kwanza kubishana juu ya haki za mtu binafsi zinapoishia ili kupisha maslahi ya taifa. Suala hili limeibuka kwenye kesi ya Mbowe baada ya shahidi kutoka Tigo kutoa ushahidi kutokana na taarifa alizozitoa kwenye mfumo wao. Tigo wako sahihi kutumika maslahi ya Tiafa kuliyo ya Mbowe na...
 11. comte

  Siku zinaenda haraka sana

 12. comte

  Duh! Wapogoro na sangura

 13. comte

  Mzee Makamba - Msambaa, Mlutheri na Muislam

 14. comte

  Waraka kutoka Kenya kwenda kwa viongozi wa TBC

  Josiah Muthemba 2 years ago Mimi ni Mkenya na hua niko Mombasa Mtwapa. Hizi nyimbo nasipenda sanaaa na nilikua na sizikiza kwenye RTD Tanzania : vipindi mchana mwema, pole kwa kazi, usiku mwema, mambo mkwito mkwito, bendi zetu naaa kwa jumla nilikua shabiki wa radio tanzania dar es salaam. Siku...
 15. comte

  BAVICHA: Unamuenzije Nyerere huku unadhihaki Mwenge na Muungano

  Nimesikitika sana kusikia BAVICHA ati wameenda Butiama kwenye kaburi la Nyerere kumuenzi. Naomba niwakumbeshe dhihaka zao kwa Nyerere. BAVICHA-Mwenge upelekwe makumbusho Lissu- wakati wa bunge la Katiba - Nyerere alikuwa laghai- CHADEMA- serikali za ukabila za majimbo na kuvunja Muungano kwa...
 16. comte

  Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

 17. comte

  Hizo tozo kwenye umeme nazo zipunguwe walau kwa nusu kama kule kwenye mafuta

 18. comte

  Mamlaka hizi zilikuwa zinapeleka wapi toto hizi kutoka kwenye mafuta?

  Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (tozo ya miundombinu), Mamala ya Mapato Tanzania (tozo ya kuchakata taarifa), Shirika la Viwango Tanzania (tozo ya kupima ubora wa mafuta kwenye meli na gharama ya uwekaji wa vinasaba kwenye mafuta),” Wakala...
 19. comte

  #COVID19 Gazeti la Mwananchi mmepotosha kuhusu dawa ya kutibu Uviko-19

  Habari hii iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwanachi mtandaoni ina upotoshaji mkubwa. Dawa ya molnupiravir imekuwepo kwa mda sasa ikitumika kuwasaidia wagonjwa wanasumbuliwa na maambukizi ya virusi. Wataalamu walichofanya ni kuitumia dawa hiyo kwa wagomjwa wa UVIKO 19 na wala si kugundua kama...
Top Bottom