Search results

 1. Jitu Kabeja Diggala

  Msaada; Kuhusu mnara huu mdogo

  Mambo vp wakuu? Naomba kufahamishwa na wajuvi kuhusu huu mnara na wapi naweza upata hapa Tanzania na kwa bei gani?
 2. Jitu Kabeja Diggala

  Naomba mwenye vitabu na material mengine kwa kujifunzia ufundi magari na pikipiki anisaidie

  Mambo vipi wakuu, Jamaa yenu hapa ninayo shauku kubwa ya kujifunza kutengeneza magari pamoja na pikipiki kwani maisha niliyo nayo mara baada ya kutoka chuo hayasomeki hivo nimeona ni vema zaidi nikapata japo ufundi stadi ambao utaniwezesha kupata riziki ya kuishi wakuu. Lengo langu ni kupata...
 3. Jitu Kabeja Diggala

  Kioo cha TV aina ya ZEC 24"

  Mambo vipi wadau, kuna ka tv kangu kalianguka kakavunjika kioo,nlikuwa nauliza kama nitapata kioo saizi hiyo kwa kampuni hiyo na kwa bei gani pia,au kama vioo vinaingilianaga basi nichukue chochote cha bei ndogo. Asanteni,nawasubiri wakuu
Top Bottom