Search results

 1. Kamarada

  Arusha: Wafanyabiashara wa maduka watishia kuandama, wafunga maduka

  Waache longo longo, waweke bidhaa zao ndani, zinazo zidi waweke kwa stoo or waongeze fremu. Mbona Mini na Supermarkets wanauza bila ya kuweka sample nje..?? Analetaje bidhaa nyingi kuzidi space aliyonayo ya kuuzia..? Washikishwe adabu hao, wasiturudishe nyuma tena.
 2. Kamarada

  Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

  You nailed it all.!! Na hiyo ndiyo Demokrasia ya kweli..👏 You nailed it all.!! Na hiyo ndiyo Demokrasia ya kweli..👏
 3. Kamarada

  Tuache chuki binafsi, RC Chalamila anafaa

  Nakubalina na wewe, I wish wangempeleka Dsm angefit sana.
 4. Kamarada

  Huyu ndiye mpori mpori

  Duuhhh
 5. Kamarada

  Serikali yaanza mchakato wa ujenzi wa Mradi Mkubwa wa Umeme Mto Ruhudji Njombe

  MW358, huu ni umeme ni mwingi sana. So far kwa vyanzo vyote hivi tena vya umeme wa maji, tuwe na imani tutapata umeme wa uhakika na gharama za uzalishaji zitashuka. Hivyo, tuamini pia na bei za bidhaa zitashuka kwa kiwango fulani. Hongera sana kwa Govt na wa-TZ wote..!!
 6. Kamarada

  Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

  Ni kweli Mkuu kuwa gari ni gari tu lakini kuna gari zinahitaji kuendana na status ama heshima ya mtu ktk jamii. Ni kama vile kusema mavazi ni mavazi tuu, kisha mtu mzima mwenye staha ukavaa tight jeans zile za kuchanwa chanwa, micheni mikubwa mikubwa na mapete vidole vyote kumi.. Hii lazima...
 7. Kamarada

  Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

  Hawa vijana ni bange sana kwa kweli hahahaaa..
 8. Kamarada

  Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

  Hahahaaa wewe Mkuu nimekukubali sana. Yaani hawa padogo wakisoma comments kama hizi ndipo watajitambua kumbe wao si lolote wala si chochote kwenye game ya kumiliki ma Private Transport..
 9. Kamarada

  Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

  Duuhhhh aiseeehhh hii inaitwa kushikisha adabu. Asante sana kwa kumuadabisha huyu na hatimaye mkafanikisha kumbadili tabia ya kiburi. Well done Mkuu..!!
 10. Kamarada

  Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

  Hahahaaa teh teh teh teh, yaani nimecheka kwa sauti sana Mkuu hahaaaa. Asante sana kwa experience yako..
 11. Kamarada

  Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

  Hii inaukweli kabisa, hata mimi nimewahi kuwaona baadhi..
 12. Kamarada

  Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

  Teh teh teh, mjadala upo wazi kwa watu wote Mkuu, hata sisi wa TD 11 tunashiriki. Hebu tupatie uzoefu wako uwajuavyo madereva hawa..
 13. Kamarada

  Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

  Kwa akili za hawa jamaa nadhani wanajuaga ma V8 yote ni ya serikali.. Yaani akili zao wanazijuaga wenyewe..
 14. Kamarada

  Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

  Duuhhhh, Mkuu hapo umewahambua vizuri sana. Sina nyongeza..
 15. Kamarada

  Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

  Upo sahihi Mkuu ingawa kwa mtu mzima/ wa umri mkubwa na mstaarabu nikimuona anendesha magari ya aina hiyo yaani huwa namfikiria kitofauti sana.
 16. Kamarada

  Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

  Maranyingi wanakuwaga mademu wenye chenga chenga..teh teh teh..
Top Bottom